Housegirl katembea na mwanangu

Jamani, nimepigiwa simu na waifu sasa hivi toka home, kuwa mtego tulioweka umenasa, HG wetu anakafundisha "matusi" ketu. Kameshamueleza mamaake kila kitu, mtoto mwenyewe ana umri wa miaka sita tu, si ataniulia mwanangu huyu jamani, akina mama na baba wenzangu, kuweni makini makini na maHG wenu.

Ntawapa feedback baada ya kupokea ushauri toka kwenu kuwa nimfanyeje sasa.
mkuu ulikosea sana. ulitakiwa wewe ndio uwe wa kwanza kuka-click hako ka-hausigeli, wala yasingetokea yote hayo!
 
Duh, huu ushauri Bab'kubwa hivi kumbe nilifanya kosa eeeh, subiri next time sirudii tena ila sasa Mpwa, kweli hillo ni suluhisho??? Ngoja tuwasikie na wengine watasemaje
mkuu ulikosea sana. ulitakiwa wewe ndio uwe wa kwanza kuka-click hako ka-hausigeli, wala yasingetokea yote hayo!
 
Back
Top Bottom