Housegirl katembea na mwanangu

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,670
86,555
Jamani, nimepigiwa simu na waifu sasa hivi toka home, kuwa mtego tulioweka umenasa, HG wetu anakafundisha "matusi" ketu. Kameshamueleza mamaake kila kitu, mtoto mwenyewe ana umri wa miaka sita tu, si ataniulia mwanangu huyu jamani, akina mama na baba wenzangu, kuweni makini makini na maHG wenu.

Ntawapa feedback baada ya kupokea ushauri toka kwenu kuwa nimfanyeje sasa.
 
Haya mambo mbona tumeshayazungumza sana?
Hawa wasichana wa kazi ni wabaya sana...mimi naona huruma sana watoto wetu tunavyowaacha na hawa watu!
Lakini kuna njia gani mbadala?
 
ako katoto kako ni kakiume?
mh pole
mwondoeni araka uyo haus gal
tena wima
asije akamletea gono mwanetu
 
Elli bora hata wewe umepata nguvu na akili ya kuuliza ufanyeje....

rafiki yangu mwezi ulopita alipat amkasa kama huo, aliona live H/G akifanya matusi na mwanae wa miaka 6 wa kiume!!!
baba wa mtoto alichangayanyikiwa na alikuwa anaishia bar tu kunywa. yalikuwa mateso kwa familia kwa kweli, hakutaka hta kumwona mwanae na yule house girl alitoroka. They needed counselling wao kwanza ili pia waweze kumsaidia mtoto. Fortunately we were hooked up kwa mshauri mmoja ambaye nadhani amekuwa wa msaada kwao.

sasa sijui solution ni nn kwa kweli, baby sitters sasa hivi ni tishio kabisa aisee!!
 
amrudishe tu porini kwao hivi hv, aaaaaaaaaaaaaah wapi mi lazima nimtie disiplini aisee....legally or illegally!!!
 
Mpeleke kituo cha police kilichokaribu na mfungulie jarada : molestation of the minor

Haraka sana : That house-girl belongs to Segerea and not anywhere near the children
 
amrudishe tu porini kwao hivi hv, aaaaaaaaaaaaaah wapi mi lazima nimtie disiplini aisee....legally or illegally!!!

Legally : Ampeleke Police. Ukimpeleke kwao ataendelea "kuua watoto"
 
jamani jamani .................hawa wafanyakazi wa kulala nyumbani hebu tuachane nao kwa kweli!

asipokuwa ni wa kulala nyumbani, akishikwa na ashki zake atamalizia kwa wakubwa wenziwe na labda inaweza kupunguza hizi kesi za abuse. zimezidi mnooo

maofisi yanahitaji kuweka day cares jamani aggrrr ............na majumbani na tuajiri ndugu zetu wa damu labda wanaweza kuwa na ahuweni kidogo.

hili lako sijui hata nikupe ushauri gani.........................ila mtoto bora mtafutieni mshauri azungumze nae
 
Legally : Ampeleke Police. Ukimpeleke kwao ataendelea "kuua watoto"

na kweli ni muuaji huyu!!! illegally ningemtenda jeuri aisee mapaka hilo chimbo lake liwe useless, lakini kuliko kumuacha bure tu hivi, nampeleka kituoni tuanze mchakato wa jalada
 
G ndugu???? naye atakufanya uishie ICU kama yale ya wifi mtu!!!!

hahaaa mama yangu mdogo yy alipata mama mtu mzima, siku ya siku akakuta anamnyonyeshea mapacha wake lol!!! she was about to collapse.

Hii maneno ni ngumu sana bana....
 
Ni kweli na Waifu ndo kawasha moto tayari huko home, nakubali kuwa nilifanya kosa kwani mwanzoni sikumwamini Waifu, nilimwona kama vile anamsoingizia lakini kila siku mtoto anazidi kuwa karibu na huyu binti ( Limama jitu zima)kuogeshwa aogeshwe nae, wale wote, dukanoi wote, kulala wote, kila kitu wote.... Kweli yamenikuta, naenda kumuondoa kwa amani tu, sina haja ya kumfanya lolote....
 
hako katoto kakifikisha miaka kumi katakuwa shababu kweli kweli si kashaanza kujua utamu mapema
 
Nashaishika kumpeleka polisi, ngoja nimsikilize waifu kwanza amefikia wapi, si ndio kaniletea kesi...
 
Ni kweli na Waifu ndo kawasha moto tayari huko home, nakubali kuwa nilifanya kosa kwani mwanzoni sikumwamini Waifu, nilimwona kama vile anamsoingizia lakini kila siku mtoto anazidi kuwa karibu na huyu binti ( Limama jitu zima)kuogeshwa aogeshwe nae, wale wote, dukanoi wote, kulala wote, kila kitu wote.... Kweli yamenikuta, naenda kumuondoa kwa amani tu, sina haja ya kumfanya lolote....

what do you mean kumuonda kwa amani??????????? yaani you will jus let her go hivo tuuu????
afu na nyie kumbe mliona dalili kabisa za mambo ya kishenzi, tena wewe ukapuuzia, kwa nn lakini?? haya ni maisha ya mtoto wenu jamani.........anything to do with life dont take it lightly jamani. ona sasa
 
Nashaishika kumpeleka polisi, ngoja nimsikilize waifu kwanza amefikia wapi, si ndio kaniletea kesi...
wewe bana, ngoja nifunge hili bakuli langu..............eti umsikilize waifu si ndo kakuletea kesi.........wtf????
 
G ndugu???? naye atakufanya uishie ICU kama yale ya wifi mtu!!!!

hahaaa mama yangu mdogo yy alipata mama mtu mzima, siku ya siku akakuta anamnyonyeshea mapacha wake lol!!! she was about to collapse.

Hii maneno ni ngumu sana bana....

maofisi yafungue day care or else kazi zitatushinda akina mama

ila hawa housegirls kama hawajafunzwa adabu wataendelea hivi hivi hawa...............(bila ya shaka na sisi waajiri tunatakiwa tuwe tunawapa haki zao zote)
 
Elli wewe ndo mwanamme ............hebu kaamue kitu cha maana

mpeleke polisi...........apate kuingia adabu
 
what do you mean kumuonda kwa amani??????????? yaani you will jus let her go hivo tuuu????
afu na nyie kumbe mliona dalili kabisa za mambo ya kishenzi, tena wewe ukapuuzia, kwa nn lakini?? haya ni maisha ya mtoto wenu jamani.........anything to do with life dont take it lightly jamani. ona sasa

Mpwa BHT nimekulewa, naogopa kufanya mambo kwa hasira, nimeuimia sana, sina kawaida ya kuongea mambo yangu publicly hivyo ujue yamenikuta, sio kuwa nilipuuzia ila nilitaka niwe na a point to start with, nimeshapata... unajua aliletwa na Ma'mkwe. Kuna mazingira magumu yaliyokuwa yananiface, na ndo imeingia SMS kali asa ivi hapa toka kwa waifu, anataka ajue msimamo wangu, nimemwambia atangulie kwa mjumbe, Mpwa, sio kuwa napuuzia ushauri wenu, asanteni by the way!
 
maofisi yafungue day care or else kazi zitatushinda akina mama

ila hawa housegirls kama hawajafunzwa adabu wataendelea hivi hivi hawa...............(bila ya shaka na sisi waajiri tunatakiwa tuwe tunawapa haki zao zote)
We ungekuwa mtu wa HR waajiriwa wangepata habari yao!
 
Back
Top Bottom