House girl huyu nimfanyajee...?

House girl huyu nimfanyajee...?

Taa yenyewe haiko ndani ya chumba kabisa. Iko right at the door peep kwahiyo ukipitisha mkono tu unaizima. Was planing to do that but mlango ulifunguka kwa bahati mbaya

@ BADILI TABIA
 
Hahahaha nimecheka sana mkuu
evelyne
 
Last edited by a moderator:
wacha kabisa,mkanye na akiendelea mrudishe kijijini uokoe ndoa yako ndugu
 
Wewe unaleta uzi huu hapa kutaka ushauri au unataka kutujaribu. Kwa umri wako wewe na huyo binti wako wa kuzaa unataka tukupe ushauri gani hapa??? Hakika kama huwezi resist vitu simple kama hivyo, what kind of a weak man you are??? Sasa mwambie mkeo uone moto wake. Mimi hizo Mercury (Hg) hata kama zingekuwa glittering kiasi gani siwezi chukua. Bora nikanunue CD kama mke sina au kasafiri. Ni kujidhalilisha!!!

Ukapimwe wewe siyo mzima!
 
Ushtakiwe wewe mpuuzi wewe, Kama lro ana miaka 18 it means ulimuajiri akiwa 14, or15 ufungwee jelaaaa
 
Ukapimwe wewe siyo mzima!

Kivipii mkuu?? Mimi ni mzima haswa!!! Kama ni kwa upande ule wa mashine mimi ni pingo!!! Ila huwa sishobokei housegirl hata kama anang'aa kama almasi!!! Shida zake na umaskini wa kwao hakusoma akaja kufanya kazi kwangu halafu nimkandamize tena?? Kama malipo ya haya tunayofanya kwa mabinti wa kazi hayatakuwa kwa watoto wetu, basi ni kwa wajukuu, vitukuu, vilembwe na vilembwekeze!!! Jihadhari!!! Mimi ni mzima, unless unazungumzia sula la uzima mwingine!! Hata kichaa sina, nina akili timamu
 
Sasa hapa ndio umeandika vitu gani?? Umeanza vizuri lakini mwishon umeharibu vibaya sana.

Usinielewe vibaya mjasiria. Ni kwamba kama kweli nitashinda kuzuia vishawishi vya Hg na kama nina kiu sana bora nitafute wa nje mtu mzima mwenzangu. Kuna wakati uzalendo unashindikana ati. Imagine wife awe nje miaka 3 je ni rahisi kama mwanaume? wenzetu wanawake wanajitahidi sana kuvumilia ila wale wa zamani si hawa dotcom maana huwa mafiga matatu ni mujibu wa sharia.
 
Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili.

Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye chumba ambacho hayupo kwa muda huo ( majanga ya Prepaid meter ).

Siku moja jioni, Niliona taa ya chumbani kwa house girl wetu inawaka na wakati huo nilihisi atakuwa jikoni anapika, nikajisemea moyoni, "hii mijitu migumu sana kuelewa" huku nikiwa naingia kwenye hicho chumba ili niizime hiyo taa only to see the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!

Nilionyesha mshituko mkubwa nilipomuona na nikahisi atanifikiria vibaya. ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ).

Nilimuomba msamaha na pia kumsisitiza kuwa awe anafunga mlango kama yuko ndani.

Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahani baba, karibu".

Tangu siku hiyo amekuwa akiniangalia kwa macho ya matamanio ( coy looks ) kitu ambacho hakuwa akikionesha hapo mwanzo.

Na pia amekuwa akijaribu kwa njia zote kuomba afanye usafi pale ambapo mke wangu anakuwa hayupo na vituko vingine vingi tu siwezi kuvitaja vyote hapa.

Sasa najiuliza je? Nimwambie mke wangu kuhusu hili jambo? Au tumfukuze huyu house gal arudi kijijini? Or Should I simply ignore and play along ?"

duh! We umri ushaenda mrudie Mungu. Hausigelo waachie wanao
 
Kuwa serious ili akuheshimu kama baba, uncle au kaka yake. Mipaka ni kitu kizuri sana.
Ma HG wengine huja kazini na malengo mengi. TAFAKARI KISHA MUELIMISHE. akiiona hutaki utani atatulia tu.
 
Hivi hawa watoto hawaogopi kuingiliwa? Wanatoa wapi ujasiri huo 37 vs 18 wap na wapi? Mmh kazi sana

Sent from Mchina
 
Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili.

Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye chumba ambacho hayupo kwa muda huo ( majanga ya Prepaid meter ).

Siku moja jioni, Niliona taa ya chumbani kwa house girl wetu inawaka na wakati huo nilihisi atakuwa jikoni anapika, nikajisemea moyoni, "hii mijitu migumu sana kuelewa" huku nikiwa naingia kwenye hicho chumba ili niizime hiyo taa only to see the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!

Nilionyesha mshituko mkubwa nilipomuona na nikahisi atanifikiria vibaya. ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ).

Nilimuomba msamaha na pia kumsisitiza kuwa awe anafunga mlango kama yuko ndani.

Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahani baba, karibu".

Tangu siku hiyo amekuwa akiniangalia kwa macho ya matamanio ( coy looks ) kitu ambacho hakuwa akikionesha hapo mwanzo.

Na pia amekuwa akijaribu kwa njia zote kuomba afanye usafi pale ambapo mke wangu anakuwa hayupo na vituko vingine vingi tu siwezi kuvitaja vyote hapa.

Sasa najiuliza je? Nimwambie mke wangu kuhusu hili jambo? Au tumfukuze huyu house gal arudi kijijini? Or Should I simply ignore and play along ?"

Mkuu nahitaji housegirl mtimue nitamchukua Mimi. Nipm namba zako tupange nitakapomchukulia
 
Back
Top Bottom