House girl huyu nimfanyajee...?

House girl huyu nimfanyajee...?

hahahah inanikumbusha tukiwa boarding, mpo kijiweni mnakunywa halafu mwalimu wa nidhamu naye anakuja hapo kijiweni halafu mnampa ofa
 
DELILA AT WORK........... ukichomoka ujue ni bahati sana!

samsoni alikiona cha moto...
 
Mweleze mkeo,thn mjue kama ni kumtimua au kumkanya coz ukimfukuza ww mkeo hatokuelewa,shetani anataka kupitia hapo kuharibu ndoa yako,mshinde pepo huyo!
 
Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili. Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye chumba ambacho hayupo kwa muda huo ( majanga ya Prepaid meter ). Siku moja jioni, Niliona taa ya chumbani kwa house girl wetu inawaka na wakati huo nilihisi atakuwa jikoni anapika, nikajisemea moyoni, "hii mijitu migumu sana kuelewa" huku nikiwa naingia kwenye hicho chumba ili niizime hiyo taa only to see the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!! Nilionyesha mshituko mkubwa nilipomuona na nikahisi atanifikiria vibaya. ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ). Nilimuomba msamaha na pia kumsisitiza kuwa awe anafunga mlango kama yuko ndani. Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahan baba, karibu". Tangu siku hiyo amekuwa akiniangalia kwa macho ya matamanio ( coy looks ) kitu ambacho hakuwa akikionesha hapo mwanzo. Na pia amekuwa akijaribu kwa njia zote kuomba afanye usafi pale ambapo mke wangu anakuwa hayupo na vituko vingine vingi tu siwezi kuvitaja vyote hapa.

Sasa najiuliza je? Nimwambie mke wangu kuhusu hili jambo? Au tumfukuze huyu house gal arudi kijijini? Or Should I simply ignore and play along ?"

Simply ignore her!wanawake sio waelewa ukimweleza tu yatakugeukia!ndo uanaume huo.
 
Mh!!!!!??

saywhat.jpg
 
Ivi wewe unajua maana ya kuitwa baba....????
Huyo ni sawa na binti yako it seems wewe ni mhuni unamtolea jicho LA kumtaka ukiwa serious binti hawezi kukuonyesha tabia za kishenz shenzi hivi
Ona aibu simama kama baba use ur brain, take ur responsibility acha Tamaa

Noted mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tungejua msimamo wako kuhusu huyo housegirl wako nadhan ningepata pa kuanzia japo cha uchache
 
Hivi unaingiaje chumba cha msichana bila kupiga hodi?
Jiheshimu na uiheshimu ndoa yako!!!
 
We naona uliingilia majukumu makubwa kuliko ukomavu wako! Haya ni maswali ya mtu anayejiita mume na baba wa watoto kweli! Naona majanga tu kwenye hizi famlia za karne hii :disapointed:!
 
Mkuu natafuta mfanyakazi wa ndani, kama hana matatizo nje ya tatizo lako hilo naomba nipe aje afanyie kazi kwangu,

Sinaga masherti ya umeme na sina mda wakushinda nyumbani amba kuwepo nafasi ya kukaa na mfanyakazi za ndani hata kwa dakika 15 tu, mke wangy mchina karate anaziweza hasaaa.
 
Asante kwa kuukubali ushauri huo kwani utakufanya wewe baba wa nyumba kuwa huru nyumbani kwako, mambo mengine inabidi ufumbe macho mwanaharamu apite.

Ushauri mwema wenye logic, maana ukichukua umri wa jamaa na HG wanatofautiana miaka 19.

Ni vizuri akauelewa ushauri wako, na mimi pia nnauchukua for future use.
 
Umri ni namba tu,
kwani na zenyewe zina umri kaka?
Ni kweli hazina umri,ila tofauti ya watu na mbuzi ni nini?
mbuzi anajali ilimradi ameiona na kwa wakati muafaka ila watu wanaangalia na vigezo vingine.
 
acha kutuinjoi..wewe ushakula mzigo sasa unawaza utafanya fitna gani umuondoe
 
Ni kweli hazina umri,ila tofauti ya watu na mbuzi ni nini?
mbuzi anajali ilimradi ameiona na kwa wakati muafaka ila watu wanaangalia na vigezo vingine.
mi hapo naona kigezo ni atamvunjia tu mke heshima na kujiabisha kumuonesha beki tatu uchi wake
la sivo kingekuwa ni kidem tu kimejileta ni kurarua tuuuuu
 
Back
Top Bottom