usihofu mdau,,,ni a.k.a tuuuunilikua napigana kama van damme utotoni..wakanitunga jina shuleni van vikoi..badae simply vaikojoel:biggrin1:Sorry nlijua ni mdada kukuita Vai, please am sorry! Ila hili jina bwana dah! Ni kweli mwanaume km hujaweka muhuri sehemu inakuwa utata (ukijiendekeza)
Sent from Mchina
Kwamba maishani mwako unahitaji mwanamke rijali au?Hope nitakuwa ninaelekea kupata ninachokihitaji maishani, pm basi
Hata wanawake rijali tupo, nitakuambia baadae jinsi tulivo...mwanamke rijali??
mi nikajua sie wanaume ndio marijali kwa sababu asubuhi lazima dushelele liwike kwa kusimama kidete!
sijawahi sikia kwa mwanamke urijali unakuwaje!!
Hata wanawake rijali tupo, nitakuambia baadae jinsi tulivo...
Sipo tayari kumbemenda mtu...niambie hapa hapa kwenye umati!
kama vipi nizame nikukague!
alikuwa anawahi kuzima taa. Umeme upo juu sana.Hivi unaingiaje chumba cha msichana bila kupiga hodi?
Jiheshimu na uiheshimu ndoa yako!!!
nani kasema hamna jinsi? kwani kawekewa upanga wa shingo?Mfanye tuu hamna jinsi
Kwamba maishani mwako unahitaji mwanamke rijali au?
alikuwa anawahi kuzima taa. Umeme upo juu sana.