Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,423
Akijikwaa tu ninae...Kimbiza mtetea hadi ajikwae.....
Akijikwaa tu ninae...Kimbiza mtetea hadi ajikwae.....
Ingia ndani uone huko nje kuna gizawanafaidi nini?
Ahsante mama, kumbe na wewe umeliona hiloKWANZA hata hukupaswa kuja kuomba ushauri kwa jambo hilo na uliponimaliza ni hapa "Or Should I simply ignore and play along " are u for really? we mwenyewe unaonekana unafurahia ndo mana anakuchezea hivyo be siriaz na hapo nyumbani aondoke mana mmeshaharibu aje mwingine uanze upya kwa adabu na heshima
Mkuu umeona eehh?Wewe hebu acha hiyo tabia ,wewe mwenyewe unamtaka...................kuwa busy na mambo yako anamwazia dada wa kazi ili.....................
37 minus 18 ni kama 19 years which would make you to be her father kama ungetaka those days.
married, having one kid. think straight using your upper head.acha na hako kakichwa kadogo ka chini.
Kwani kuna namna mbili tu za kushughulika na hili jambo? Mimi ningechukua hatua stahiki lakini sio kufanya mapenzi na msaidizi wa nyumbani.Sasa ingekuwa ni wewe mjasiria​ ungefanyaje?, ungeenda kusema kwa mkeo au?
Sasa mama kama mtoto mbichi namna hiyo ananitamani,niache kufaudu vizuri,kitu tight ukikipiga unasikia utamu mpaka kisogoniIvi wewe unajua maana ya kuitwa baba....????
Huyo ni sawa na binti yako it seems wewe ni mhuni unamtolea jicho LA kumtaka ukiwa serious binti hawezi kukuonyesha tabia za kishenz shenzi hivi
Ona aibu simama kama baba use ur brain, take ur responsibility acha Tamaa
Ushauri mwingine hatari tupu. Duh!