House girl huyu nimfanyajee...?

House girl huyu nimfanyajee...?

mi hapo naona kigezo ni atamvunjia tu mke heshima na kujiabisha kumuonesha beki tatu uchi wake
la sivo kingekuwa ni kidem tu kimejileta ni kurarua tuuuuu

Unadani hicho hakiraruriki ostaz?

wengine wanafumba macho tu qudadeki! wanavaa ndom nne wanakula wananawa wanasepa!

afu huwaga vijanja hivyo... usivione vinaoshaosha vyombo ukavidharau..
 
mi hapo naona kigezo ni atamvunjia tu mke heshima na kujiabisha kumuonesha beki tatu uchi wake
la sivo kingekuwa ni kidem tu kimejileta ni kurarua tuuuuu
Baba watoto wako amekusikia,atajitahidi avunje mifupa nje ya nyumba yenu,
kwa wale watakaojipitisha uko tayari?
 
Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili. Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye chumba ambacho hayupo kwa muda huo ( majanga ya Prepaid meter ). Siku moja jioni, Niliona taa ya chumbani kwa house girl wetu inawaka na wakati huo nilihisi atakuwa jikoni anapika, nikajisemea moyoni, "hii mijitu migumu sana kuelewa" huku nikiwa naingia kwenye hicho chumba ili niizime hiyo taa only to see the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!! Nilionyesha mshituko mkubwa nilipomuona na nikahisi atanifikiria vibaya. ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ). Nilimuomba msamaha na pia kumsisitiza kuwa awe anafunga mlango kama yuko ndani. Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahan baba, karibu". Tangu siku hiyo amekuwa akiniangalia kwa macho ya matamanio ( coy looks ) kitu ambacho hakuwa akikionesha hapo mwanzo. Na pia amekuwa akijaribu kwa njia zote kuomba afanye usafi pale ambapo mke wangu anakuwa hayupo na vituko vingine vingi tu siwezi kuvitaja vyote hapa.

Sasa najiuliza je? Nimwambie mke wangu kuhusu hili jambo? Au tumfukuze huyu house gal arudi kijijini? Or Should I simply ignore and play along ?"

Ukimfukuza ni kumharbia maisha mdada wa watu na ni sawa kumuambia mama ila najua atahisi kua ushatembea nae na unataka amfukuze ili uletewe mwingine na umtumie.Cha maana simamia kiapo cha ndoa yako na jisimamie kama Baba wa nyumba
 
Hapo ndo huwa naipenda quran make haikuacha kitu.kwenye sura ya wanawake kuna haya inasomeka hvi😱eni wake wawili watatu wanne pamoja na wale uwamilikio mkono wako wa kuume,,,,hapo nazan kutakua na mashemeji pmj na house girl,na hyo haya nafikiri itakua inarejea mambo yaliyofanywa na ibrahimu pamj na mfalme suleiman
 
kama unadhani atakufikisha pabaya, nakushauri tafuta mwingine, kama unaona yaliyo kusibu siku hiyo ni 'ajali kazini', basi mwache dogo aendelee na shughuli zake, usimwendekeze.
 
Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili. Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye chumba ambacho hayupo kwa muda huo ( majanga ya Prepaid meter ). Siku moja jioni, Niliona taa ya chumbani kwa house girl wetu inawaka na wakati huo nilihisi atakuwa jikoni anapika, nikajisemea moyoni, "hii mijitu migumu sana kuelewa" huku nikiwa naingia kwenye hicho chumba ili niizime hiyo taa only to see the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!! Nilionyesha mshituko mkubwa nilipomuona na nikahisi atanifikiria vibaya. ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ). Nilimuomba msamaha na pia kumsisitiza kuwa awe anafunga mlango kama yuko ndani. Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahan baba, karibu". Tangu siku hiyo amekuwa akiniangalia kwa macho ya matamanio ( coy looks ) kitu ambacho hakuwa akikionesha hapo mwanzo. Na pia amekuwa akijaribu kwa njia zote kuomba afanye usafi pale ambapo mke wangu anakuwa hayupo na vituko vingine vingi tu siwezi kuvitaja vyote hapa.

Sasa najiuliza je? Nimwambie mke wangu kuhusu hili jambo? Au tumfukuze huyu house gal arudi kijijini? Or Should I simply ignore and play along ?"

pepo la uzinzi lishindwe
 
Kaa na mkeo na ushauriane naye kumrudisha kwao huyo house girl, kwani dharau zitahamia kwa mkeo.
 
the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!! ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ). Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahan baba, karibu".

Sawa umeeleweka kaka.
 
Wewe unaleta uzi huu hapa kutaka ushauri au unataka kutujaribu. Kwa umri wako wewe na huyo binti wako wa kuzaa unataka tukupe ushauri gani hapa??? Hakika kama huwezi resist vitu simple kama hivyo, what kind of a weak man you are??? Sasa mwambie mkeo uone moto wake. Mimi hizo Mercury (Hg) hata kama zingekuwa glittering kiasi gani siwezi chukua. Bora nikanunue CD kama mke sina au kasafiri. Ni kujidhalilisha!!!
Sasa hapa ndio umeandika vitu gani?? Umeanza vizuri lakini mwishon umeharibu vibaya sana.
 
Mkuu acha mambo ya ajabu, umwambie mkeo ili iweje sasa!??, umfukuze kwa sababu gani!??
Acha kujivunga, hebu kula, mle huyo mtoto, tena mle vizuri hadi awe satisfied.
We jamaa leo ndio nimeamini una tatizo. Huu ndo ushauri gani unatoa?
 
Ivi wewe unajua maana ya kuitwa baba....????
Huyo ni sawa na binti yako it seems wewe ni mhuni unamtolea jicho LA kumtaka ukiwa serious binti hawezi kukuonyesha tabia za kishenz shenzi hivi
Ona aibu simama kama baba use ur brain, take ur responsibility acha Tamaa
Punguza jazba mkuu. Cut the guy some slack, si unajua kuna wanaume, kwa wanawake nguvu yao ndogo sana.
 
Back
Top Bottom