Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,783
- 66,962
Mbona anakopi na kupest hotuba aliyoitoa bungeni siku ile
Amesema sasa hospitali ya Muhimbili imekuwa na uwezo wa kupandikiza bone marrow na siku za usoni itaanza kupandikiza mimba. Siyo jipya hilo?. Hufurahii mimba kupandikizwa hapa nchini?
Mbona anakopi na kupest hotuba aliyoitoa bungeni siku ile
So Yeye alichofanya ni kuleta Tozo na Kuondoa Machinga, Kama kuna kingine mnikumbusheAnazungumzia historia ya nchi...Tumeongeza shule...Huko nyuma miaka kumi iliyopita daktari mmoja alikuwa awahudumia wananchi 25,000 kwa hivi sasa daktari mmoja anahudumia wananchi 20,000...
Sijaona umuhimu wa hotuba hii imejaa makosa ya kitarakimu na kitakwimu na haina jipyaKuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo tarehe 08 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam...
Hiii ni taarifa nzuri Kwa bwana yule Toka kolomije maana ndio ishu anayoitegemea kujaza DuniaAmesema sasa hospitali ya Muhimbili imekuwa na uwezo wa kupandikiza bone marrow na siku za usoni itaanza kupandikiza mimba. Siyo jipya hilo?๐๐๐. Hufurahii mimba kupandikizwa hapa nchini? ๐ ๐ ๐
Sisi sio mafarasi kama nyie hapo ufipa ukweli unakuwa ukweliMataga mnamkana mama yenu
Empty setSamia amemaliza hotuba.
Hivi kuna jipya na jambo lolote la maana ameongea?
Yaani hivyo blah blah zote alizozisema Samia, zilipaswa kutolewa na Msigwa mwenyewe tu, tena bila kuita vyombo vya habari, ni kushare PDF ya muhtasari wa kurasa tano tu.
Yaani tuna rais wa ovyo mnoo kuwahi kutokea kwenye historia ya Tz hasa linapokuja suala la hotuba. Yaani mwepesi mnoo.
HaaaaaaaaKamalizaaaaa nazani mmemuelewa kazii iendelee ila tumepigwaaaaaaaa hatuna raisiView attachment 2037562
Bora ufokewe lakini kazi zionekaneAna Lugha laini kweli kweli Hadi Raha na hiyo lafudhi tamu,
Sio bwana yule aliyekua anatufokea
Kyee!kyee!kyee!