Hotuba ya Rais Magufuli Vs Freeman A. Mbowe

Hotuba ya Rais Magufuli Vs Freeman A. Mbowe

Sasa unashindwa kutumia japo maji kwenye hicho kichwa chako kufikiri, ya Rais ilikuwa live TBC , Star TV na kwingine sasa hiyo ya Mbowe ilikuwa live wapi.
Watanzania wengine kama wewe mna shida kubwa ya kuelewa kama alivyo yule jamaa anayeongea uongo siku zote.
 
mkuu mtu aangalie live tbc afu tena aende na YouTube kweli jaribu ku fikilia vizuri sampling yako
Wasukuma wanapigana kweli kumtetea jamaa yao. Ukiona sehemu ya kuweka R" inawekwa L" basi ujue ni hao hao. Utaona neno "Kufikilia" KOLONA" Tiyali" badala ya Tayari au wakijitahidi sana utaona Tiyari" Wanalipwa ile waandike wanachopenda wakubwa wao.
 
Tuwe wa kweli,hotuba ya Chato,Ina maswali na mkanganyiko,Nina uhakika Mh Rais Jana atakuwa amepoteza wafuasi kwa kiasi fulani!
Ila ya Mbowe Kama Kuna wasililizaji walioingia YouTube kumsikiliza na haeakuwa wanamkubali Jana watakuwa wamekubali kuwa Jamaa Ni Level kubwa!
Sawaaa
 
Nimezitazama na kusikiliza hotuba zote za viongozi hawa wawili kupitia YouTube.

Ya Mbowe nimeisikiliza na kuitazama kupitia MwanaHalisi Youtube Channel na takwimu zinaonesha kuwa imesikilizwa na kutazamwa na watu 1,300,000+ hadi kufikia leo tarehe 17/5/2020 saa 5:50 usiku.

Ya Rais Magufuli, nimeitazama na kuisikiliza kupitia East Africa Radio YouTube Channel na mpaka kufikia saa 5:50 usiku leo tarehe 17/5/2020 hotuba yake ilikuwa imesikilizwa na kutazamwa (views) na watu 230,000+

Yet, bado kuna watu wanasema CHADEMA chini ya Mbowe imekufa. Je, mtu akisema wasioitakia mema Chadema wanajilisha upepo nitakuwa ninakosea kweli?

Hii ni dhahiri shayiri kuwa, takwimu hizi zinatoa taswira ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2020 iwapo uchaguzi utakuwa FREE and FAIR kama ilivyo kwa watazamaji wa YouTube channels hizi ambazo hakuna wizi wala uchakachuaji wa matokeo.

Reference: Kila mwenye computer ama simu yake aingie Youtube channels hizo ku-verify hiki nilichokiposti hapa.

Naomba nijikite hapo tu kwenye kipengele cha "Iwapo uchaguzi wa mwaka huu 2020 utakua Free and Fair" Je, huyo mgombea wa kupambana na Magufuli tayari mnaye? Au ndiyo yale yale ya kusubiria makombo kutoka Ccm?

Ni vyema mkawa na utaratibu wa muda mrefu wa kuwaandaa viongozi wenu badala ya kusubiria wale watokao Ccm ambao kimsingi watakuja kuungana nanyi kwa maslahi yao binafsi na si kwa sababu ni wazalendo waliopikwa ndani ya chama.
 
Katika hizo views waweza kuta askari na TISS walikua Milioni 1 na laki 5 na elfu 99.
 
Kwa hiyo unaikana takwimu iliyowekwa humu ya viewers milioni 1. Anyway ila Mbowe ana roho ngumu viewers wenyewe walikuwa wanamkandia lakini ameng'ang'ana kuongea tu sijui alikuwa haoni

Takwimu kaweka nani na kaipata wapi?

I cant believe talk-heads humu

Lete takwimu rasmi

Kutukanwa ni kawaida,the issue ujumbe umefika either way!

Na pia usisahau,anapotoa speech Chadema CCM wanaenda kwa wingi kutukana na wanapotoa speech CCM then CDM wanaenda kwa wingi kutukana,ndio vice-versa theorem hiyo!

Either way,Mbowe is the best orator and smart motherfvcker the country can produce!

Mawe yupo bottom of the toilet aisee!
 
Sasa unashindwa kutumia japo maji kwenye hicho kichwa chako kufikiri, ya Rais ilikuwa live TBC , Star TV na kwingine sasa hiyo ya Mbowe ilikuwa live wapi.
Na mimi nilitaka nimjibu hivi,

Ya raisi imeonyeshwa sehemu nyingi haina haja mtu kupoteza mb zake, ya mbowe ilikua lazima ununue gazeti au uingie mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimezitazama na kusikiliza hotuba zote za viongozi hawa wawili kupitia YouTube.

Ya Mbowe nimeisikiliza na kuitazama kupitia MwanaHalisi Youtube Channel na takwimu zinaonesha kuwa imesikilizwa na kutazamwa na watu 1,300,000+ hadi kufikia leo tarehe 17/5/2020 saa 5:50 usiku.

Ya Rais Magufuli, nimeitazama na kuisikiliza kupitia East Africa Radio YouTube Channel na mpaka kufikia saa 5:50 usiku leo tarehe 17/5/2020 hotuba yake ilikuwa imesikilizwa na kutazamwa (views) na watu 230,000+

Yet, bado kuna watu wanasema CHADEMA chini ya Mbowe imekufa. Je, mtu akisema wasioitakia mema Chadema wanajilisha upepo nitakuwa ninakosea kweli?

Hii ni dhahiri shayiri kuwa, takwimu hizi zinatoa taswira ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2020 iwapo uchaguzi utakuwa FREE and FAIR kama ilivyo kwa watazamaji wa YouTube channels hizi ambazo hakuna wizi wala uchakachuaji wa matokeo.

Reference: Kila mwenye computer ama simu yake aingie Youtube channels hizo ku-verify hiki nilichokiposti hapa.
Very objective analysis...hapo hakuna cha Lubuva wala mataga.
 
Back
Top Bottom