MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,051
Mkuu;Ya magufuli ilikwenda live kwenye vituo vyote vya televisheni na redio,pia ilirudiwa tena saa moja usiku,pia utafiti wako haukugusa channel.ya ikulu mawasiliano.
Ya mbowe ilipatikana vichochoroni,ndio mana ukaona hao 1.3 wamejazana,ukute hao ni wote wa ughaibuni
Yaani katika watanzania milioni 55,unajivunia kutazamwa na watu milioni 1.3!
Hao watu milioni 1.3 atawatoa wapi kwenye channel yenye subscriber 1,220?
Hii hapa chini ndio idadi ya watu walioangalia hotuba ya Mbowe.
Mpaka ninachukua screenshot, walioangalia ni watu 2,714