Hotuba ya Rais Magufuli Vs Freeman A. Mbowe

Hotuba ya Rais Magufuli Vs Freeman A. Mbowe

viewer million mnadhani ni mchezo eeenh, mbna mnaitamka bila staha hapa Africa mashariki anaeweza kufikisha viewer million moja ndan ya saa 24 ni diamond pekee ake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudia kuusoma uzi wako ndio utajua nimemaanisha nini!

Nirudieni nini ndugu na mimi ndiye niliyeandika hicho?

Wewe ndiyo urudie kusoma ili unielewe. Hujanielewa bado....

Kama ingekuwa kura hizo, huwezi jua kila aliyepiga kura ni chama gani...!!

Mimi sijaandika wazo hili, bali ni la kwako wewe....
 
Takwimu kaweka nani na kaipata wapi?

I cant believe talk-heads humu

Lete takwimu rasmi

Kutukanwa ni kawaida,the issue ujumbe umefika either way!

Na pia usisahau,anapotoa speech Chadema CCM wanaenda kwa wingi kutukana na wanapotoa speech CCM then CDM wanaenda kwa wingi kutukana,ndio vice-versa theorem hiyo!

Either way,Mbowe is the best orator and smart motherfvcker the country can produce!

Mawe yupo bottom of the toilet aisee!
Inaelekea hujasoma post ya huu uzi. Soma tena ndie aliyetoa takwimu 1,300.000
 
viewer million mnadhani ni mchezo eeenh, mbna mnaitamka bila staha hapa Africa mashariki anaeweza kufikisha viewer million moja ndan ya saa 24 ni diamond pekee ake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijaandika kwa kuhisi ama kufikiri tu....

Hata wewe you are accessible kutembelea hizo channels ili uthibitishe...
 
Kamalizie na takwimu za kwenye runinga, sa we unakuja kumuelezea mtu aliepo tv online za youtube aise umlinganishe na yule ambae watu wanamtazama kwenye runinga bila bundle uwalinganishe,wewe mwenyyewe ulikuwa unamtazama kwenye simu au computer ukiwa mwenyewe lakini wenzako walikuwa wanamtazama Magufuli wakiwa wamestay home na familia zao wakichukua tahadharu,wewe kuhangaika na mavocha,kijana stay home, chukua tahadhari, nawa mikono kwa sabauni na maji yanayotiririka.

What exactly is your point here?

Kwamba kutazama kupitia computer ama simu ni risk isiyo na tahadhari ukilinganisha na kuangalia live on TV?

Really? Really?

Let me tell you something dude....

Hata kama ungeweka TV mbili somewhere na hawa viongozi wawili wakawa wanahutubia live on the same issues....

Trust me, a big number of people wata opt kwenda kumtazama na kumsikiliza Freeman Aikael Mbowe anasema nini kuliko Magufuli bila kujali yeye ni Rais wa nchi ama vyovyote....!!

Sababu ya kwanini iwe hivi unaifahamu hata kama utakimbilia uvunguñi mwa kitanda chako kujificha kama njia yako ya kuukataa ukweli....
 
Kitaturu,

Wewe ni lijinga fulani, hivi hiyo analysis isiyokuwa na evidence nani atakuaamini ewe kiumbe uliyelaanika?? Kwanza hizo view watu huwa wanaweza kufake, wanatengeneza ghost viewers na ndiyo maana ewe mpumbavu ukisaini hata kwenye google wanataka wajue kama wewe ni binadaamu. Hivyo usilete siasa za kijinga kijinga, huyo mnayempa kichwa pumbu zake sasa hivi zinauma sana maana hana pakutokea lijinga kabisa.

Umeweza kutumia bando lako kuandika na kurusha matusi ewe kiumbe mwenye nafsi na mdomo mchafu lakini umeshindwa kuingia ktk channels hizo za YouTube u - verify menyewe....

Basi, kwa hili pekee ni sahihi kabisa kusema kuwa wewe ndiwe lijinga...!!
 
Ukisikiliza hotuba ya Mbowe utagundua yafuatayo;
Imejaa busara na hekima kubwa
Imesheheni weledi na funzo kubwa kwa watawala
haina 'mihemko' wala uswahili wa mh.spika
Ukomavu na ushauri maridhawa kwa ustawi wa nchi yetu.
Kusamehe na kusahau imekuwa DIRA ya CDM tofauti na chama tawala!
Bravo kamanda Mbowe, Bravo kamati kuu CDM. Mola aendelee kuwalinda.
 
Ya magufuli ilikwenda live kwenye vituo vyote vya televisheni na redio,pia ilirudiwa tena saa moja usiku,pia utafiti wako haukugusa channel.ya ikulu mawasiliano.

Ya mbowe ilipatikana vichochoroni,ndio mana ukaona hao 1.3 wamejazana,ukute hao ni wote wa ughaibuni
Yaani katika watanzania milioni 55,unajivunia kutazamwa na watu milioni 1.3!

1. Hueleweki unaongea kitu gani in relation na mada yangu....

2. Mimi nimelinganisha jambo moja ktk platforms zinazofanana.....

3. Wewe unaingiza mambo ya Ikulu na live TV broadcasting kuhusu mtu mmoja tu kati hao...

4. Ungeeleweka kama ungekuwa unaziongelea platforms hizo (Ikulu Channel & TV live broadcasting) na kisha kulinganisha iwapo tu kama na CHADEMA/Mbowe wangetumia platforms hizo hizo....

Honestly, mpaka hapo sijakuelewa na sina hakika kama na wengine wanakuelewa...
 
Naomba nijikite hapo tu kwenye kipengele cha "Iwapo uchaguzi wa mwaka huu 2020 utakua Free and Fair" Je, huyo mgombea wa kupambana na Magufuli tayari mnaye? Au ndiyo yale yale ya kusubiria makombo kutoka Ccm?

Ni vyema mkawa na utaratibu wa muda mrefu wa kuwaandaa viongozi wenu badala ya kusubiria wale watokao Ccm ambao kimsingi watakuja kuungana nanyi kwa maslahi yao binafsi na si kwa sababu ni wazalendo waliopikwa ndani ya chama.

Hata kama utaweka Gogo kavu la mti lipigiwe kura dhidi ya Magufuli - CCM hiyo ndiyo assumption ya matokeoya kura...!!!

Huelewi kitu gani ndugu yangu...???
 
Mkuu;
Hao watu milioni 1.3 atawatoa wapi kwenye channel yenye subscriber 1,220?

Hii hapa chini ndio idadi ya watu walioangalia hotuba ya Mbowe.

Mpaka ninachukua screenshot, walioangalia ni watu 2,714
Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020) - JamiiForums
VS
Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020) - JamiiForums
Kifupi ni home and away boss! Kuangalia hawezi, watu wanaongea kuhusu maono. Stupid kabisa.
Huyo makengeza anadai wanafikiria namna ya kuwasaidia watumishi kwenye sekta ya afya, miezi miwili tangu ugonjwa uingie na wakiwa wameshafanya kila kitu ambacho ni kipaumbele kwao (pamoja na kuiba pesa za umma). Ndiyo wanafikiria, yaani kufikiria. Siyo mataahira kweli hao...
 
Kumfananisha Mbowe na Mchattle nikumkosea heshima Mbowe achilia mbali kupima mapapai na PhD fake
 
What exactly is your point here?

Kwamba kutazama kupitia computer ama simu ni risk isiyo na tahadhari ukilinganisha na kuangalia live on TV?

Really? Really?

Let me tell you something dude....

Hata kama ungeweka TV mbili somewhere na hawa viongozi wawili wakawa wanahutubia live on the same issues....

Trust me, a big number of people wata opt kwenda kumtazama na kumsikiliza Freeman Aikael Mbowe anasema nini kuliko Magufuli bila kujali yeye ni Rais wa nchi ama vyovyote....!!

Sababu ya kwanini iwe hivi unaifahamu hata kama utakimbilia uvunguñi mwa kitanda chako kujificha kama njia yako ya kuukataa ukweli....
Huwezi linganisha utumiaji wa video za online kwa mtanzania na matumizi ya vyombo vya habari vya kale.
Kifupi kabisa,matumizi ya mtandao wa internet kwa mtanzania ni madogo mno hasa kufuatilia mambo kama haya,hapa acha ubishi,si kila kitu uwe unabisha mkuu.
 
Sasa unashindwa kutumia japo maji kwenye hicho kichwa chako kufikiri, ya Rais ilikuwa live TBC , Star TV na kwingine sasa hiyo ya Mbowe ilikuwa live wapi.
Upweke ni shida sana...yaani bado mpo online muda wote kutetea mapapai..! Mpate hata corona basi mlazwe na dawa.
 
Na Elius Ndabila
0768239284

Jana sikupata muda wa kusikiliza hotuba ya Mh Mbowe, lakini leo nimeingia kwenye mitandao hususani mtandao wa twitter. Nikiwa ninapitia kwenye kurasa mbalimbali nimejaribu kuona baadhi ya twitter zilizonukuu hotuba ya Mh Mbowe na nikaona hata ukurasa wa CHADEMA ukiwa umeandikwa Mh Mbowe atalihutubia taifa(jana).

Makala hii fupi haita jikita kuchambua hotuba ya Mh Mbowe kwani sijaisikiliza zaidi ya kusoma twitter, nikisha sikiliza hotuba ya Mh Rais ndipo nitapata wasaa wa kumsikiliza Mh Mbowe. Lakini hapa ninahitaji kupata ufahamu wa pamoja ili kama kuna dhana ya upotoshaji tuikemee?

Ni kweli kuwa Mh Mbowe anayo anayomamlaka ya kulihutubia Taifa? CHADEMA wanapotosha ili kupata attention? Nani mwenye ligalilty na legitimacy ya kulihutubia Taifa?

Nijuavyo mimi, na ninadhani wabobevu wa humu jf mtanisaidia ni kuwa Mh Mbowe anayo mamlaka ya Kuzungumza na vyombo vya habari, Kuzungumza na wanaCHADEMA na kuzungumza na WanaHai lakini hana mamlaka(authority) ya kuzungumza na Taifa.

Mtu mwenye uwezo na mamlaka ya kuzungumza na Taifa ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt John Joseph Pombe Magufuli. Huyu popote pale awapo anapozungumza anakuwa anazungumza na Taifa na inakuwa ni sauti ya mamlaka. Ndiyo maana chochote anachoagiza Rais ni sheria. Kwa mazingira hayo kama mwenye uwezo wa kuzungumza na Taifa ni Rais basi maamlaka anaweza kuwa nayo Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na wasaidizi mbalimbali wa Rais wakiwemo Mawaziri.

Viongozi wa vyama vya siasa hawana uwezo wa kuzungumza na Taifa wala maneno yao si utekelezaji kama alivyo Rais. Wao wanaweza kutumia vyombo vya habari kushauri au kukosoa lakini si KUZUNGUMZA NA TAIFA.

Kuzungumza na Taifa ni neno zito, si neno la mchezo mchezo. Ninadhani ilifaa kusema Mh MBOWE Mwenyekiti wa CDM atazungumza na vyombo vya habari na si kusema atazungumza na Taifa.

Mwisho tuendelee kujikinga na corona kwa kufuata maelekezo ya serikali na wataalamu.

karibu kuwekeza Ileje. Tunayo ardhi ya kutosha yenye rutuba.
 
Utafiti wangu hauwahesabu hao...

So, don't even mention that....

BTW, hata kama ungeweka TV mbili hapo...

Moja ikimuonesha Mzee wa anga Mh Mbowe na nyingine Mzee Magufuli, nakuhakikishia polisi watakuja na maji washa na mabomu ya machozi kusambaratisha wanaomsikiliza na kumtazama Freeman Mbowe...!!

Pole sana...
Naona uko sahihi. Takwimu hazisemi uongo ikiwa mazingira ya uchaguzi yatakuwa huru na haki. Tusibishane. Tusubiri kuona.
 
Na Elius Ndabila
0768239284

Jana sikupata muda wa kusikiliza hotuba ya Mh Mbowe, lakini leo nimeingia kwenye mitandao hususani mtandao wa twitter. Nikiwa ninapitia kwenye kurasa mbalimbali nimejaribu kuona baadhi ya twitter zilizonukuu hotuba ya Mh Mbowe na nikaona hata ukurasa wa CHADEMA ukiwa umeandikwa Mh Mbowe atalihutubia taifa(jana).

Makala hii fupi haita jikita kuchambua hotuba ya Mh Mbowe kwani sijaisikiliza zaidi ya kusoma twitter, nikisha sikiliza hotuba ya Mh Rais ndipo nitapata wasaa wa kumsikiliza Mh Mbowe. Lakini hapa ninahitaji kupata ufahamu wa pamoja ili kama kuna dhana ya upotoshaji tuikemee?

Ni kweli kuwa Mh Mbowe anayo anayomamlaka ya kulihutubia Taifa? CHADEMA wanapotosha ili kupata attention? Nani mwenye ligalilty na legitimacy ya kulihutubia Taifa?

Nijuavyo mimi, na ninadhani wabobevu wa humu jf mtanisaidia ni kuwa Mh Mbowe anayo mamlaka ya Kuzungumza na vyombo vya habari, Kuzungumza na wanaCHADEMA na kuzungumza na WanaHai lakini hana mamlaka(authority) ya kuzungumza na Taifa.

Mtu mwenye uwezo na mamlaka ya kuzungumza na Taifa ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt John Joseph Pombe Magufuli. Huyu popote pale awapo anapozungumza anakuwa anazungumza na Taifa na inakuwa ni sauti ya mamlaka. Ndiyo maana chochote anachoagiza Rais ni sheria. Kwa mazingira hayo kama mwenye uwezo wa kuzungumza na Taifa ni Rais basi maamlaka anaweza kuwa nayo Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na wasaidizi mbalimbali wa Rais wakiwemo Mawaziri.

Viongozi wa vyama vya siasa hawana uwezo wa kuzungumza na Taifa wala maneno yao si utekelezaji kama alivyo Rais. Wao wanaweza kutumia vyombo vya habari kushauri au kukosoa lakini si KUZUNGUMZA NA TAIFA.

Kuzungumza na Taifa ni neno zito, si neno la mchezo mchezo. Ninadhani ilifaa kusema Mh MBOWE Mwenyekiti wa CDM atazungumza na vyombo vya habari na si kusema atazungumza na Taifa.

Mwisho tuendelee kujikinga na corona kwa kufuata maelekezo ya serikali na wataalamu.

karibu kuwekeza Ileje. Tunayo ardhi ya kutosha yenye rutuba.
Hawa eti ndo wanasubiri teuzi? Jpm anaona mbali kuteua vijana wa cdm vijana wengi ccm ni njaaaa subir upigiwe simu
 
Back
Top Bottom