bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,371
- 3,946
Hivi mandela alipewa maharage ya wapi uko jela mpaka akawasamehe hawa watu?
I am very sad to agree with this and some of what we he said. Just llok at how many Bastards we have in Tanzania. Just look at how many polygamists we have in Tanzania, what for! Cruel but true!
Botha anastahili ukiranja kwenye himaya ya mashetani.
ukimsikiliza anasema mmoja aliyeuawa alichomwa visu gerezani, mimi nilijiuliza hivi SA wanaruhusu wafungwa kuingia na visu gerezan?Hatuwezi kufikiri zaidi ya mwaka mmoja, Hatuna hofu ya Mungu na kuwa na huruma na wenzetu. Ona wao wanatubagua sisi lakini inapofika mambo yao wanashirikiana kutafuta ufumbuzi.
Sisi tumejaa unafiki, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe anasema watanzania hawauawi katika hiyo Xenophobia tusiwe na hofu. Lakini mimi nilivyoangalia video moja jinsi mtu anavyopigwa kikatiri bila kujali yule anatoka nchi gani NILIHUZUNIKA SANA.
sisi hatuwezi kujitawala na wala hatuoneani huruma, WAKATIRI, NGONO, UBINAFSI
Hiyo hotuba mkuu siyo ya kibaguzi, bali ni hotuba ya tabia za mwafricaHii hotuba japo ni kali, ningetamani ingechapishwa kwenye gazeti la uchambuzi makini ili watu wajisomee. Pamoja na ubaguzi hayo mambo aliyoyasema miaka30 iliyopita kimsingi yanatokea sana barani Afrika. Ukimsoma betweeen lines utajifunza kuwa yale aliyoyasema kuhusu Waafrika hasa Viongoz ni kweli tupu. Lakini pia pale alipogusia Wazungu kuwa wanawalaumu Makaburu wakati wao ni wale wale, lakini pia akasema wanawalaum tu ili kuuhadaa ulimwengu kwani wanunuz wakubwa wa madini ni US, UK, France, Germany et al! Kwa kweli huyu jamaa hotuba yake ya kibaguzi imenipa mazingatio mengi.
Naomba muanzisha uzi ani pm maana nataka kuirudia kwa makini hii hotuba alimaanisha nini huyu mtangulizi wa Fredrick de Clerk!
So we have to stay away from TBL beers as well as Cocacola in TZ for they owned and run by the same!!!Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today
Botha speech 1985
My scientists have come up with a drug that could be smuggled into their brews to effect slow poisoning results and fertility destruction. Working through drinks and manufacturing of soft drinks geared to the Blacks, could promote the channels of reducing their population. Ours is not a war that we can use the atomic bomb to destroy the Blacks, so we must use our intelligence to affect this. The person-to-person encounter can be very effective.
As the records show that the Black man is dying to go to bed with the White woman, here is our unique opportunity. Our Sex Mercenary Squad should go out and camouflage with Apartheid Fighters while doing their operations quietly administering slow killing poison and fertility destroyers to those Blacks they thus befriend. We are modifying the Sex Mercenary Squad by introducing White men who should go for the militant Black woman and any other vulnerable Black woman. We have received a new supply of LovePeddlers from Europe and America who are desperate and too keen to take up the appointments.
My latest appeal is that the maternity hospital operations should be intensified. We are not paying those people to help bring Black babies to this world but to eliminate them on the very delivery moment. If this department worked very efficiently, a great deal could be achieved.
In my opinion, Botha was purely racist by thoughts and deeds, he considered himself, 'a bright star' for the same. Going through his speech one can clearly learn that he intended to erode the true identity of Africans. This was the strong weapon he and the then SA government had. That's why in the words of one of the great Ghanaians, Dr. JE Kwegyir Aggrey said:
"My people of Africa, we are created in the image of God but men have made us think we are chickens, and we still think we are, but we are eagles".
In my opinion again, I think, until recent, the Africa tragedy is not in politics alone, or economics as some of us would try to make us believe but the core problem from which all other problems stem is; mind-set.
The role of the mindset in spurring or deterring Africas economic, social and cultural advancement has been ignored, despite the fact that it has been, and continues to be at the heart of Africas past, present and future experiences, particularly Tanzania.
Ukweli unaouma