Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

I am very sad to agree with this and some of what we he said. Just llok at how many Bastards we have in Tanzania. Just look at how many polygamists we have in Tanzania, what for! Cruel but true!

Hii hotuba japo ni kali, ningetamani ingechapishwa kwenye gazeti la uchambuzi makini ili watu wajisomee. Pamoja na ubaguzi hayo mambo aliyoyasema miaka30 iliyopita kimsingi yanatokea sana barani Afrika. Ukimsoma betweeen lines utajifunza kuwa yale aliyoyasema kuhusu Waafrika hasa Viongoz ni kweli tupu. Lakini pia pale alipogusia Wazungu kuwa wanawalaumu Makaburu wakati wao ni wale wale, lakini pia akasema wanawalaum tu ili kuuhadaa ulimwengu kwani wanunuz wakubwa wa madini ni US, UK, France, Germany et al! Kwa kweli huyu jamaa hotuba yake ya kibaguzi imenipa mazingatio mengi.

Naomba muanzisha uzi ani pm maana nataka kuirudia kwa makini hii hotuba alimaanisha nini huyu mtangulizi wa Fredrick de Clerk!
 
The difference exist between us Black Africans and Whites:
Blacks (Africans)
*we are unscrupulous/unprincipled
*we don't care about work ethics
*we love starehe more than work
*we love hours/days/weeks/months off work more than on work
*we love being paid handsomely regardless of what we offer (input) to the employer.

Whites are absolutely behaving the opposite that's the reason why they are and will always be many kilometres away from us Africans.
 
Myahudi Neta"pusi"...aliposema watu weusi na waarabu ni maamuma wanaojua kuoa wake wengi tu na kuuana wao kwa wao hakukosea pia! ....tumetia aibu sana kwa suala la S.Afrika
 
Hatuwezi kufikiri zaidi ya mwaka mmoja, Hatuna hofu ya Mungu na kuwa na huruma na wenzetu. Ona wao wanatubagua sisi lakini inapofika mambo yao wanashirikiana kutafuta ufumbuzi.

Sisi tumejaa unafiki, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe anasema watanzania hawauawi katika hiyo Xenophobia tusiwe na hofu. Lakini mimi nilivyoangalia video moja jinsi mtu anavyopigwa kikatiri bila kujali yule anatoka nchi gani NILIHUZUNIKA SANA.

sisi hatuwezi kujitawala na wala hatuoneani huruma, WAKATIRI, NGONO, UBINAFSI
 
Hatuwezi kufikiri zaidi ya mwaka mmoja, Hatuna hofu ya Mungu na kuwa na huruma na wenzetu. Ona wao wanatubagua sisi lakini inapofika mambo yao wanashirikiana kutafuta ufumbuzi.

Sisi tumejaa unafiki, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe anasema watanzania hawauawi katika hiyo Xenophobia tusiwe na hofu. Lakini mimi nilivyoangalia video moja jinsi mtu anavyopigwa kikatiri bila kujali yule anatoka nchi gani NILIHUZUNIKA SANA.

sisi hatuwezi kujitawala na wala hatuoneani huruma, WAKATIRI, NGONO, UBINAFSI
ukimsikiliza anasema mmoja aliyeuawa alichomwa visu gerezani, mimi nilijiuliza hivi SA wanaruhusu wafungwa kuingia na visu gerezan?
 
Hii hotuba japo ni kali, ningetamani ingechapishwa kwenye gazeti la uchambuzi makini ili watu wajisomee. Pamoja na ubaguzi hayo mambo aliyoyasema miaka30 iliyopita kimsingi yanatokea sana barani Afrika. Ukimsoma betweeen lines utajifunza kuwa yale aliyoyasema kuhusu Waafrika hasa Viongoz ni kweli tupu. Lakini pia pale alipogusia Wazungu kuwa wanawalaumu Makaburu wakati wao ni wale wale, lakini pia akasema wanawalaum tu ili kuuhadaa ulimwengu kwani wanunuz wakubwa wa madini ni US, UK, France, Germany et al! Kwa kweli huyu jamaa hotuba yake ya kibaguzi imenipa mazingatio mengi.

Naomba muanzisha uzi ani pm maana nataka kuirudia kwa makini hii hotuba alimaanisha nini huyu mtangulizi wa Fredrick de Clerk!
Hiyo hotuba mkuu siyo ya kibaguzi, bali ni hotuba ya tabia za mwafrica
 
Kwani uongo?angalia majoka yenye makengeza yanachofanya!ati suti ikafuliwe ulaya badala anunue vifaa vya kufulia si ndoo ufara wenyewe?FOOLS DIE(Mario Puzzo)
 
By now every one
of us has seen it practically that the
Blacks cannot rule
themselves. Give them
guns and they will kill
each other. They are
good in nothing else but making noise, dancing,
marrying many wives
and indulging in sex. Let
us all accept that the
Black man is the symbol of poverty,

Ngumu kumesa ni machungu kuyatafakari kichwa kinapata moto...kweli kuna siku kutatokea weusi wakaachwa kudharauliwa na kukejeliwa..,.?
 
Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today

Botha speech 1985

My scientists have come up with a drug that could be smuggled into their brews to effect slow poisoning results and fertility destruction. Working through drinks and manufacturing of soft drinks geared to the Blacks, could promote the channels of reducing their population. Ours is not a war that we can use the atomic bomb to destroy the Blacks, so we must use our intelligence to affect this. The person-to-person encounter can be very effective.

As the records show that the Black man is dying to go to bed with the White woman, here is our unique opportunity. Our Sex Mercenary Squad should go out and camouflage with Apartheid Fighters while doing their operations quietly administering slow killing poison and fertility destroyers to those Blacks they thus befriend. We are modifying the Sex Mercenary Squad by introducing White men who should go for the militant Black woman and any other vulnerable Black woman. We have received a new supply of LovePeddlers from Europe and America who are desperate and too keen to take up the appointments.

My latest appeal is that the maternity hospital operations should be intensified. We are not paying those people to help bring Black babies to this world but to eliminate them on the very delivery moment. If this department worked very efficiently, a great deal could be achieved.

So we have to stay away from TBL beers as well as Cocacola in TZ for they owned and run by the same!!!
 
In my opinion, Botha was purely racist by thoughts and deeds, he considered himself, 'a bright star' for the same. Going through his speech one can clearly learn that he intended to erode the true identity of Africans. This was the strong weapon he and the then SA government had. That's why in the words of one of the great Ghanaians, Dr. JE Kwegyir Aggrey said:

"My people of Africa, we are created in the image of God but men have made us think we are chickens, and we still think we are, but we are eagles".

In my opinion again, I think, until recent, the Africa tragedy is not in politics alone, or economics as some of us would try to make us believe but the core problem from which all other problems stem is; mind-set.

The role of the mindset in spurring or deterring Africa’s economic, social and cultural advancement has been ignored, despite the fact that it has been, and continues to be at the heart of Africa’s past, present and future experiences, particularly Tanzania.

Chanzo cha matatizo ya bara la Africa sio uchumi au siasa, chanzo halisi ni matatizo, shida na ufukala wa hao watu tofauti na weusi na hizo lagha na dhana za ubaguzi wamezihamasisha na kuzifanya wao, hivi kiukweli kabisa nani ni mbaguzi? Na hizo dhana za kuwa mwafrika ni kielelezo cha umaskini ni wao waliozijenga na kuoandikiza kwa watu wao toka vizazi vya enzi mpaka sasa. Sasa kama afrika ni kielelezo cha umaskini ni kwanini wanaendelea kuja na kuwekeza? Si wajawekeze kwao? Sema wamefanikiwa Ktk kuwahonga, kuwahadaa na kuwatisha viongozi wetu kiuchumi.
 
We do not pretend like other Whites that we like Blacks. The fact that, Blacks look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles simply because they look alike. If God wanted us to be equal to the Blacks, he would have created us all of a uniform colour and intellect. But he created us differently: Whites, Blacks, Yellow, Rulers and the ruled.
 
Hii ni hotuba ya aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, p. w. Botha alipohutubia baraza lake la mawaziri wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo. Katika hotuba hiyo iliyochapishwa na gazeti la "SUNDAY TIMES" la nchini humo toleo la Agosti 18, 1985, Botha anapojigamba eti ardhi hiyo ni mali yao na haipaswi kuingiliwa.

Ikumbukwe kuwa katika utawala huo, mtu mweusi aliteswa na kunyimwa haki zake za msingi na alifanywa kuwa kiumbe dhaifu kisichostahili kuishi kwa raha katika nchi hiyo.

"Kaka zangu na dada zangu, Pretoria imetengenezwa na watu weupe kwa ajili ya watu weupe na hatuna haja ya kuuthibitisha umma au mtu mweusi kuwa sisi ni watu bora, tumekuwa tukiwaambia watu weusi jambo hili kwa njia elfu.

Africa kusini ya leo haikutengenezwa katika mawazo ya kawaida, tumeitengeneza kwa kutumia akili nyingi, jasho na damu. Mnaposema kuwa tunawabagua weusi sielewi.

Hivi ni Afrikaners ndio waliojaribu kusitisha kizazi cha Aborigines wa Australia? Je ni Africaners waliotenga na kuwanyanyasa watu weusi Marekani kasikazini kwa kuwaita niggaz?

Je, ni Africaners waliowatenga na kuwanyanyasa watu weusi huko England kwa kuwatungia sheria ya kuwakandamiza? Canada, Ufarasa , Russia, na Japan nao wana njia zao za kibaguzi. Hivi kwanini hasa kuna kelele nyingi dhidi yetu? Huu ni uendawazimu! Kwanini wanatukaba koo kiasi hiki? Hawatundendei haki hata kidogo.

Nataka kuwaeleza kuwa hakuna kibaya tunachokitenda hapa ambacho hao wanaojihita wako katika dunia ya ustaarabu wameacha kufanya. Sisi ni watu wema tusio na hatia na ambao tumeweka wazi mfumo wa maisha ya tunayotaka tuishi kama watu weupe.

Sisi sio wanafiki kama wazungu wenzetu wafanyavyo kwamba wanapenda watu weusi.

Ukweli kuwa weusi wanaofanana na binadamu na kutenda mambo kama binadamu hayawahalalishi kuwa wao ni watu wenye akili timamu au binadamu aliyetimia. Kanunguyeye si nungunungu na mijusi hawawezi kuwa mamba kwa sababu eti wanafanana.

Kama mungu alitaka tufannane na weusi angetufanya wote tuwe na rangi moja na fikra sawa. Lakini alituumba tofauti, weupe, weusi, wanjano, watawala na watawaliwa. Katika upeo sisi ni bora kuliko weusi na hilo halina ubishi kwani limejidhihilisha kwa miaka mingi iliyopita.

Naamini kuwa Africaner ni mtu safi, mwenye hofu na mungu. Ni mtu mbaye ameonyesha kwa vitendo njia sahihi ya utu. Hata hivyo inafurahisha kuona Ulaya, America, Canada, Australia na wengine wengi wako nyuma yetu achilia mbali maeneo yao.

Kuhusu uhusiano wa kidemokrasia, sote tunafahamu lugha inayotakiwa kutumika. Na kwa ushaidi ulio wazi hivi kuna mtu hapa asiyejua kuwa nchi nyingi za Ulaya zina tamani kuwekeza Afika kusini.

Nani anayenunua dhahabu yetu, nani anayenunua almasi yetu? Nani anafanya bihashara nasi? Nani anatusaidia katika kuendesha siraha za nyukilia? Ukweli ni kwamba sisi ni watu wao na wao ni watu wetu. Hii ni siri kubwa. Nguvu ya uchumi wetu inajengwa kwa kiasi kikubwa na America, Uingereza, na Ujerumani. Ni jambo kubwa sana hili na kwa maana hiyo, mweusi ni malighafi kwa mweupe.

Hivyo basi, kaka na dada zangu hebu tuungane kumpiga vita huyu mweusi. Napiga mbiu kwa Africaners wote kujitokeza kwa hali na mali kupigana vita hii. Kwa hakika mungu hawezi kuwatupa watu wake ambao ni sisi. Hadi sasa imeonekana kwa vitendo kuwa weusi hawawezi kujitawala. Wape bunduki kama hawataanza kuuana.

Hawana lolote jema isipokuwa mashujaa wa kupiga kelele, kucheza ngoma, kuoa wanawake wengi na kupenda sana ngono. Hebu sasa tukubali kuwa mtu mweusi ni alama ya umskini, udumavu wa akili, uvivu na aliyekosa ushindani. Hivi hapo je, si kweli kwamba mtu mweupe aliumbwa ili kumtawala mtu mweusi? Hivi utajisikiaje unaamka asubuhi unakuta Kaff*ir amekaria kiti cha utawala? Hivi unajua kitakachotokea kwa wanawake wetu?

Hivi kuna mtu anaweza kwamba mweusi ataitawala nchi hii. Kwa hiyo tuna sababu nzuri ya kuwapeleka akina Mandela jela waozee huko na katika hili nadhani upo umuhimu wa kupewa pongezi kwani tungekuwa na uwezo wa kuwaangamiza lakini sasa wanaishi.

Napenda kuwatangazia mikakati mipya ya kuwaangamiza hawa weusi. Tutumie sumu kuwamaliza.
Kamwe tusirushusi idadi ya watu weusi iendeleekukua vinginevyo tutakwisha. Tayari nimeshawaleta wanasayansi ambao wamekuja na sehemu kubwa ya mzigo wa sumu na ninawasaka watafiti wengine zaidi waangalie sehemu murua za kuitumia sumu hiyo kwa lengo la kuwaangamiza weusi.

Sehemu nzuri za kuwaangamiza kwa sumu ni hospitali na pia katika usambazaji wa chakula inaweza kutumika. Tumetengeneza sumu inayoua taratibu na kupunguza uwezo wa uzazi. Lakini hofu yetu ni kwamba itakuwaje kama sumu hiyo itaangukia mikono yao.

Hata hivi tunafanya kila yuwezalo kuhakikisha kuwa sumu hiyo inabaki katika himaya yetu. Pili, watu weusi wanapenda sana pesa kwa hiyo tunaweza kuwatenga kwa njia hiyo. Wataalamu wetu wanalifanyia kazi suala hilo ili mtu mweusi amchukie mweusi mwenzake.

Hawana upeo wa kufikiri na huyo ndiye kiumbe dhaifu kisicho na akili ya kuona mbali.
Kuna umuhimu mkubwa wa kupanga mambo hayo yaendelee kwa muda mrefu ili wasibaini kuwaua. Kwa kawaida mtu mweusi hapangi mikakati inayozidi mwaka mmoja. Na hapa napenda niwaombe kina mama wa ki Afrikaner wazae kwa fujo kuongeza idadi.

STEVE BIKO: ALIYEUAWA WAKATI WA SIASA ZA UBAGUZI AFRIKA KUSINI
Litakuwa jambo la maana pia kama kutatengwa vituo maalumu ambako vijana wa kike na kiume watakaa na serikali kuwawezesha ili wazae kwa idadi kubwa iwezekanavyo ili kuongeza idadi yetu. Wakati hilo likiendelea, lazima tuwabane watu weusi waachane na wake zao.

Ninayo kamati inayoratibu na inayoangalia njia nzuri ya kuwafanya watu hawa wachukiane na wauane wenyewe kwa wenyewe. Adhabu kwa mweusi aliyemuua mweusi iwe ndogo ili kuwapa hamasa ya kuendelea na mauaji.

Wanasayansi wangu wameshauri pia kuna ulazima wa kuwawekea sumu kwenye pombe, sumu ambayo itakuwa inawaua taratibu na kumaliza uwezo wa kuzaa pia. Njia kama hii na nyingine zifananazo na hii itawarahisisha kuwapunguza idadi.

Rekodi zinaonyesha pia kuwa mtu mweusi anapenda sana mwanamke mweupe. Hii ni nafasi nzuri kwetu. Wanawake wetu warembo wanaotumika katika mbinu za kuwaangamiza wapinzani wetu watatumika kuwaua hao wanaopinga ubaguzi wa rangi.

Hili jeshi letu la mwituni la mapenzi huku tukiwa na jeshi kama hilo kwa upande wa wanaume ambao watatafuta wanawake weusi. Pia serikali imeagiza Malaya kutoka Marekani na ulaya kwa ajili ya kukidhi haja yao.

Ombi langu la mwisho ni kwamba wajawazito wanapozaa hospitalini, watoto lazima wauwawe pindi tu wanapotoka tumboni. Hatuwalipi wale wauguzi kwa ajili ya kutuletea watoto weusi katika dunia hii bali kuwaangamiza.

Serikali yangu imetenga fungu maalumu la pesa kwa ajili ya kufanikisha mpango huo. Pesa inafanya lolote na kwa vile tunazo tuzitumie ipasavyo.

Kwa muda huu ndugu zangu weupe, msiyaweke moyoni wala msione aibu kuitwa wabaguzi na wala sijali mhandisi wa Mfalme wa ubaguzi.
Siwezi kugeuka nyani eti kwa sababu mtu kaniita nyani.

Nitabaki kuwa nyota inayong'aa ….mtukufu Botha.

Leo naondoa mawingu;

kesho nitajalibu mlima".
 
Back
Top Bottom