Ivi bado yupo hai huyu mtu au amekufa na kama kafa alikufa kifo gani na maiti yake ilizikwa au ilipazwa?
khaaa mbona kama ugomvi tena?!
kuna ukweli fulani juu ya mtu mweusi kupenda sana ngono kuliko mtu mweupe kwa hilo botha alisema ukweli , makaburu yakautumia udhaifu huo wa kupenda ngono kama silaha
Kha! Mwenye picha ya huyu shetani Botha tafadhari aiweke hapa.
Picha hizo mkuu
P.W.Botha, pichani,aliewahai kuwa Raisi wa Afrikan Kusin kuanzia mwaka 1984 mpaka 1989 wakati wa enzi za ubaguzi wa rangi,inadaiwa aliwahi kutoa speech ambayo inaelezwa kuwa iliwadharau sana waafrik.
Naomba niseme tu,leo hii kuna tukio moja limenifanya nikubali maneno ya Kaburu huyu ingawa matamshi yake yanauma ila ni sisi wenyewe leo hii ndio tunamfanya aonekane yuko sahihi.
Wafuatiliaji wa mambo mtanielewa na hata hili tukio la leo ambalo hakuna alielitarajia linaeleweka na limeonekana kwa wengi.
Nimeharibu wapi?Unaweza ukawa na pointi lkn ukaharibu uzi wako kama ulivyofanya.
Uzi wako umeuleta kama unaongea na girlfriend kilabuni. Fafanua ni tukio gani na kwa nini umefikiri hivyo.Nimeharibu wapi?
Wewe ni "she"? Mbona unapiga kelele huku umefumba mdomo? Kama mwanaume weka mambo wazi, hit the nail on the head and stop beating around the bush!!Nimeharibu wapi?