Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Magufuli kajitakia haya yote, mtu gani alikuwa hashauriki kazi kujipa majina ya ajabu, mara JIWE mara MALAIKA, acheni watu waseme haya ndio malipo ya kuwafunga watu midomo akiwa hai, japo yeye hasikii wala hatajibu ila wafuasi wake salamu wanazipata na bila shaka watajifunza na wataenda kutubu kutokana na dhambi ya Mkubwa wao.

Na bila shaka tutasikia mengi sana siku zijazo.
 
Magufuli ni mwaribifu, Mbowe yupo sahii.
Magufuli aliona tulio mlengo tofauti na MaCCM, hatukua na haki ya kuishi.
Nilichofurahi leo, Mbowe anasimama kama Kiongozi wangu anaongea, Mtupoli katiwa gundi la mbao mdomoni na MaCCM wenzie kwa mdomo wake mchafu, 😂
Nyie acheni tu Mungu fundi nyie mjue... Unatusimanga tubaki na mavi yetu.
Na wewe nenda na mavi yako huko.
🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️
 
Magufuli alikuwa na
Mazuri yake machache na mabaya yake mengi, Hana tofauti na Hitler au Mussolini, pamoja na mabaya yako yasiyofaa kuigwa na binadamu yeyote, wana mazuri yao ya kuiga.
Sasa tunasema mabaya Ili taifa lisije kuingia kwenye mkondo uleule, tunasema mazuri Ili tuyaenzi.

Tukiweza mizania mabaya ya mwendazake ni mengi kuliko mazuri yake.Lakini Mungu ndiye anayehukumu.Binafsi sipendi nice na roho ya huyu kiumbe wala asirudi Tanzania kwenye nafsi ya mtu yeyote,nafsi yake na ikawe chuo au mti wa Mwarobaini.
 
Back
Top Bottom