Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Ni kweli kabisa Rais Magufuli alikuwa ni mbaya kiasi hicho?

Mbowe anadokeza pia inawezekana Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wa kutoka nje ya nchi....

Scandalous!!

Kweli hotuba ya Mbowe ilikuwa kali, na watu wataujua ukweli taratibu, kumbe magu alikuwa ka shetani!
 
Hizo za kulindwa na watu kutoka nje mwanzo nilidhani ni uzushu, baadae ikathibitika ni kweli japo waliondolewa baadae. Ukaribu wake pia na Tall ulipitiliza, baadae ghafla ukakata. Kuna mengi sana ya kushangaza kipindi kile mengine hatuwezi kuyasikia
Maswali ni mengi kwanini ule uswahiba na tall ulikata ghafla
 
Pamoja na yote, wanasiasa wafikirie familia ya JPM. Wamuache apumzke. Familia inaumia zaidi wakati huu wanapotoka watu na kumshambulia mtu ambaye hawezi kujibu chochote.

Kwa maana nyingine, lolote litakalosemwa kwa sasa litabebwa hivyo, mwenyewe hayupo kulisemea.
 
Mbona kumbukumbu zipo kuwa walisema haya hata kipindi akiwepo,nadhani hata familia yake siyo ya kuitetea Kama baba aliumiza familia zingine na wao wakijua pasipo kumkemea Kama sehemu ya familia basi wacha wale matunda ya kazi ya baba yao.
 
Kifo ni hukumu ya Mungu?
Magufuli alikuwa na
Mazuri yake machache na mabaya yake mengi, Hana tofauti na Hitler au Mussolini, pamoja na mabaya yako yasiyofaa kuigwa na binadamu yeyote, wana mazuri yao ya kuiga.
Sasa tunasema mabaya Ili taifa lisije kuingia kwenye mkondo uleule, tunasema mazuri Ili tuyaenzi.

Tukiweza mizania mabaya ya mwendazake ni mengi kuliko mazuri yake.Lakini Mungu ndiye anayehukumu.Binafsi sipendi nice na roho ya huyu kiumbe wala asirudi Tanzania kwenye nafsi ya mtu yeyote,nafsi yake na ikawe chuo au mti wa Mwarobaini.
 
Anayehukumu naye atahukumiwa.Mm sioni sababu ya kumhukumu mtu ambaye hayuko duniani nao huo ni ushetani.Huu ushetani tunautoa wapi?Kama tuna guts si mgemsema wakati Yuko hai?kwa wakristo hii haikubaliki samehe saba mara sabini na utabarikiwa uje hukumu si hukumu la mwanadamu Bali ni Mungu
To positive respond to deliberate miss representation is for you to responds sarcastically. given to using irony in order to mock or convey contempt.
 
Ni kweli kabisa Rais Magufuli alikuwa ni mbaya kiasi hicho?

Mbowe anadokeza pia inawezekana Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wa kutoka nje ya nchi....

Scandalous!!

Dikteta Magufuli alikuwa MHALIFU wa kiwango cha kutisha mno, hakika jina la Bwana lihimidiwe.
 
Sawa tu wacha wamshambulie, alipokuwa hai marehemu hakutaka kusemwa! Amekufa watu wanatoa nyongo zao!

And we will eventually become the winner? The dead person or us in a million number, who were waiting for the guy to disappear?
 
Pamoja na yote, wanasiasa wafikirie familia ya JPM. Wamuache apumzke. Familia inaumia zaidi wakati huu wanapotoka watu na kumshambulia mtu ambaye hawezi kujibu chochote.

Kwa maana nyingine, lolote litakalosemwa kwa sasa litabebwa hivyo, mwenyewe hayupo kulisemea.
Mchuma janga...
 
Ni kweli kabisa Rais Magufuli alikuwa ni mbaya kiasi hicho?

Mbowe anadokeza pia inawezekana Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wa kutoka nje ya nchi....

Scandalous!!

Panga hoja usilete vimistari viwili kinafiki hiyo hotuba kama imekupenya vumilia maana kuchomoa izo point huwezi!! Mwanaume wakweli husimamia ukweli hafati mkumbo kutetea upumbav
 
Ni kweli kabisa Rais Magufuli alikuwa ni mbaya kiasi hicho?

Mbowe anadokeza pia inawezekana Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wa kutoka nje ya nchi....

Scandalous!!

Apumzike kwa amani shujaa wetu wa Afrika.
Tumkumbuke kwa mazuri
 
Similar Discussions

53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom