Wachawi bwana utawajua tu maana wamejaa wivu usiokuwa wa maendeleo hata kidogo! Hata kama hotel ni ya Lowasa kosa ni nini hapo? Kama lilikuwa ni eneo la magereza mbona wenyewe magereza pamoja na serikali haijalalamika kuwa eneo lao limeporwa na kuchukua za kulirudisha? Hiyo hoteli imeajiri wadengereko wenzenu wangapi ambao pengine isingekuwa Nashera wangekuwa wanauza vitumbua vyao na mishikaki yao mtaani mbona hilo hamalisemi!
Kama kweli nyinyi wachawi mna uchungu na nchii hii mbona hamlalamikii kuhusu fedha zilizofichwa uswisi na nchi nyinginezo, mbona mabilioni ya escrow yametoweka na bosi wa nchi anadai siyo hela za watanzania lakini vigogo wa serikali wanawajibishwa kwa hela zisizokuwa za wananchi mmeufyata!
Mmeona nashera tuuuu hamuoni EPA, ESROW, IPTL, RICHMOND?