jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Kuna jamaa mmoja amenitonya kuwa iliyokuwa hoteli ya fisadi flani ikienda kwa jina la Nashera imefungwa.
Mwenye taarifa zaidi kuhusu hili atiririke!
KWA HISANI YA WATU WA TANZANIA!
Mwenye taarifa zaidi kuhusu hili atiririke!
Mmiliki wake ni mmarekani anaitwa Wilbur Colom. Ni mwanasheria ila tapeli tapeli ivi
Nashera ni hoteli ya mmarekani mwekezaji si ya mtanzania acheni upotoshaji.
Siyo ya Mmarekani.
ilichofanyika pale, jamaa alienda USA akaleta wazungu wawili pale kusimamia ujenzi wa ile hotel, nilijaribu kuwauliza sana wale wazungu maana tulikaa nao hotel moja pale kwa siku kama tano wakati nafanya mambo yangu hapo Moro, kwa kweli wao walisema sisi tumeletwa hapa na Bwana Lowasa, na ndiye anatulipa sisi tukimaliza hapa kujenga kuna hotel nyingine kule Sadani tunaenda kujenga pia mmoja wa wale wazungu alikuwa anatoka Misisipi.
Kuna siku moja walilala hotel moja uhuru road mmoja akaibiwa nguo zake na wale vibaka wa usiku wanapita kucheck kama dirisha hujafunga wanachukuwa mti mrefu na ndoano na kulowa nguo.
Msimamizi mkubwa wa pale alikuwa kijana wa Dada yake Lowasa wanafanana sana utafikili mtu na kaka yake, yeye ndo alikuwa coordinator wa ujenzi na vifaa vyote vinavyotumika kujenga pale, Wale wazungu wawili walikuwa kama boya tu kwamba kuna mwekezaji toka Marekani ndo anajenga hapo lakini hotel ilikuwa ya Lowasa 100%. Alikuwa anakuja mara moja moja usiku kama saa 3-4 kuangalia maendeleo ya ujenzi.
Pia eneo hilo lilimwegwa toka shamba la megereza hapo Morogoro magereza walikuwa wamelima machungwa pale, mpaka leo kuna sehemu ambako hakuna jengo machungwa yapo.
mimi niko morogoro nakaa fokoland jiran na hiyo nashera kabla hata haijajengwa kweli kulikua na michungwa na walikua wanaihudumia magereza likiwa kama shamba la magereza anzia ujenz unaanza paka unamalizika mji mzima unajua kua lowasa ndie aliyejimilikisha hilo eneo na kujenga hiyo hotel na pia nina marafiki zangu wanafanya kazi hapo wanasema ni mali ya lowasa
KWA HISANI YA WATU WA TANZANIA!