Ishu za Hoteli MOROGORO.Kwa sasa ni kuuzwa kwa Gwami Hotel.Nashera IPO wazi.Gwami ndo amefilisiwa na kupigwa mnada kwa hotel na lodge zake
Tuendelee kufunguka labda tutapatiwa ufafanuzi kama ule wa general tyremimi niko morogoro nakaa fokoland jiran na hiyo nashera kabla hata haijajengwa kweli kulikua na michungwa na walikua wanaihudumia magereza likiwa kama shamba la magereza anzia ujenz unaanza paka unamalizika mji mzima unajua kua lowasa ndie aliyejimilikisha hilo eneo na kujenga hiyo hotel na pia nina marafiki zangu wanafanya kazi hapo wanasema ni mali ya lowasa
Kuna jamaa mmoja amenitonya kuwa iliyokuwa hoteli ya fisadi flani ikienda kwa jina la Nashera imefungwa.
Mwenye taarifa zaidi kuhusu hili atiririke!
KWA HISANI YA WATU WA TANZANIA!
Ishu za Hoteli MOROGORO.Kwa sasa ni kuuzwa kwa Gwami Hotel.Nashera IPO wazi.Gwami ndo amefilisiwa na kupigwa mnada kwa hotel na lodge zake
Hii nayo ni siasa au biashara?
Ishu za Hoteli MOROGORO.Kwa sasa ni kuuzwa kwa Gwami Hotel.Nashera IPO wazi.Gwami ndo amefilisiwa na kupigwa mnada kwa hotel na lodge zake
Una tatizo na umiliki? Au ndio wale mnachukia matajiri?