Nashera ni hoteli ya mmarekani mwekezaji si ya mtanzania acheni upotoshaji.
Ishu za Hoteli MOROGORO.Kwa sasa ni kuuzwa kwa Gwami Hotel.Nashera IPO wazi.Gwami ndo amefilisiwa na kupigwa mnada kwa hotel na lodge zake
Nashera hotel ya lowassa kwenda huko.
Lowassa han uhusiano hata kidogo na Nashera. Mmarekani anaimiliki na mtanzania mmoja mpare ana share chache.
Mwneye Hotel ni Bw Davis Senkoro. Nashera ni jina la mama yake,
Kuna jamaa mmoja amenitonya kuwa iliyokuwa hoteli ya fisadi flani ikienda kwa jina la Nashera imefungwa.
Mwenye taarifa zaidi kuhusu hili atiririke!
KWA HISANI YA WATU WA TANZANIA!
Yeyote mwenye hoteli hii kuna kila aina ya ufisadi na kuhusika kwa wanasiasa wakubwa. Kuna vituo pia vya mafuta vilivyojengwa sehemu za kulazimisha.
Nashera ilijengwa kwenye shamba la machungwa la chuo cha serikali cha LITI. Kuna habari za uhakika kwamba chuo hicho kilinyang'anywa shamba kwa nguvu. Wengi tulishangazwa na kitendo hicho maana ktk sheria za nchi hakuna mtu mwenye madaraka ya kuchukuwa ardhi ya serikali na kumpa mtu binafsi. Tuchunguzane juu ya tabia hizi.
Hoteli ya Midland pia niliikuta pale morogoro ikiwa ndani ya eneo la hifadhi ya barabara. Tunaambiwa nayo ni mali ya mnene wa serikali. Mzunguko wa msamvu pia kuna kituo cha mafuta, sehemu ya hatari kabisa kwa magari yanayozunguka hulazimishwa kupishana na wanaoingia kituo hicho. Nacho tunaambiwa ni mtoto wa mwanasiasa. Kama ni kweli huo ndo ulevi wa wanasiasa kuamini sheria haziwahusu.
Tusubiri uadui wao ktk siasa ili tufahamu mengi ya kipuuzi.
Halafu Tanga Resort ya Tanga na Malaika ya Mwanza ni za nani? Tusiibue hoja ambazo nia na mashiko yake ni dhaifu sana.
Kuna shida gani Lowassa kumiliki hoteli mbona wengine wanamiliki pale Serengeti na Arusha kwenye hifadhi ya barabara maeneo ngulelo hamsemi? Lowassa ni namba nyingine hatishiwi nyau NGO! Kumbe ndiyo maana Mkapa Jana alikuwa uneasy mpaka anatukana watu kuwa ni wapumbavu. Na Kikwete badala ya kuzungumza Kama mkuu Wa nchi anasema watu wana makandokando kwa nini asiwakamate na anavyo vyombo vyote vya ulinzi na usalama(dola)
Hii nayo ni siasa au biashara?
Lowassa han uhusiano hata kidogo na Nashera. Mmarekani anaimiliki na mtanzania mmoja mpare ana share chache.
Mbona ndio alikolala kada mmoja wa ccm na hawara mpk akaibiwa fedha na silaha?
Watu wanadhani ufısadi wa Lowasa nı Richmond tu.Lowasa ni jamba wa hatari.Hapa Dar amejimilıkishia maeneo mengi yaliyokuwa ya wazi toka Masa,fukwe za Ununio,Kijitonyuma,Bagamoyo na hata miji ya Arusha,Morogoro na Kibaha.Watzania tusiwe mazuzu, huyo n mpgaji alıyepiku wapgajı wote wa CCM.
Mume wako kakuambia kwavile ni muhudumu wa pale nini?Nashera hotel ya lowassa kwenda huko.
Kuna jamaa mmoja amenitonya kuwa iliyokuwa hoteli ya fisadi flani ikienda kwa jina la Nashera imefungwa.
Mwenye taarifa zaidi kuhusu hili atiririke!
KWA HISANI YA WATU WA TANZANIA!
Mwneye Hotel ni Bw Davis Senkoro. Nashera ni jina la mama yake,