Hoteli ya kitalii Arusha hali tete

Hoteli ya kitalii Arusha hali tete

Asijali serikali italeta wateja kulala hapo... kama korosho tumenunua hatuwezi kushindwa kuleta wateja hapo, over!
 
Reviews nyingi za trip advisor huwa ni negative, kwa Hotel nyingi sana utapata hivyo.

Isitoshe mpaka Mgeni aingie kule ku comment ni baada ya kuchafuka, ni mara chache Wanaofurahia kuingia huko.

Acha uongo.. si mahoteli wamiliki wangeshalalamika..
Naona upo bizi kujitetea
Kuna websites zingine pia..

Muhimu jiongezeni
 
Umeona lkn wanaolalamika walikuja kipindi gani? Embu lete screen shot za kabla ya 2015.

Naona unajitahidiiii kutaka kusingizia awamu hii..
Hao wageni je walikaa juu ya paa la hoteli au?
 
MWENYE MALI AKISHAFARIKI NI LAZIMA BIASHARA ZAKE ZINAPITIA MISUKOSUKO NA KISHA KUINUKA AU MARA NYINGI HUFA KABISA.
KUNA MSEMO ETI MAREHEMU HUFA NA CHAKE.
 
Hiyo itakuwa Ngurudoto maana nimelala pale siku nne, vyumba vingine vimejaa mijusi tu. Uchumi umebana
 
Nimemuona na kumsikia Meneja wa moja ya Hoteli kubwa na maarufu ya Kitalii ya Arusha kwenye taarifa ya habari usiku huu anasema/anajitetea kwa Maofisa wa Serikali kuwa Hoteli ile ina vyumba mia tatu (300) na hakuna Mgeni hata mmoja pale ndani.

Sasa nimejiuliza ni kwamba wao ndio hawapo kwenye right track ama?

"Walikuwa ni wapiga dili" in jiwe's voice.
 
Hope so, nimeshatajiwa Ngurdoto mkuu.

Ila issue ya kuwa 5-Star hairelate na idadi ya vyumba mkuu.
Hiyo ni moja,kuna Ngorongoro Crater Lodge,kuna Four Season Mountain Lodge nafikiri hii inaweza kuwa kubwa East Africa and Central,kuna Manyara Serena Lodge...,hizi ni baadhi tuu,hiyo Ngorongoro Crater Lodge inaweza kuwa vyumba zaidi ya 300.

Tembelea Arusha Mjomba uende mbuga za wanyama unaweza sema uko nchi nyingine nje ya Tz.
 
Halafu hii kitu kila kitu jeshi jeshi,nahisi tunaelekea kuwa na tawala ndani ya tawala.Nahisi mliopiga kura mlichagua mgambo bila kujua.anyway tusubirie yajayo.
 
Hata Bush alipokuja ali mbonji pale....Maraisi wa East Africa pia walipokutana mara kwa mara walilala pale.
halafu kuna vimbwa vya kizungu juu hapo vinadai hapakuwa hata na ac.Sometimes zeruzeru wenye nywele za uzi huwa wanafiq sana.
 
Back
Top Bottom