Inahuzunisha ukiwafikiria Walioajiriwa pale.
Tutapeleka watu wetu wakalale kama ilivyokuwa kwa Koroo........................sho
Ipo, mojawapo NgurdotoSiyo mwenyeji sana Arusha, ila hotel yenye vyumba 300?
Vingi sana aisee.
Yes, hiyo niliisahau kabisa.Ipo, mojawapo Ngurdoto
Hivi hizi hotel ni kweli zina vyumba mpaka 300 au kuna namba zimerukwa katikatiSiyo mwenyeji sana Arusha, ila hotel yenye vyumba 300?
Vingi sana aisee.
Siyo mwenyeji sana Arusha, ila hotel yenye vyumba 300?
Vingi sana aisee.
hahaha wapeleke wanajeshi wakalale mle😣😣😣😣
Alafu hapo ni Hoteli moja sijajua huko kwingine, maana hata yule Meneja alikuwa anajitetea ishu tofauti kabisa akajikuta analazimika kutoa hali halisi ya pale Hotelini....nadhani alikuwa anajitetea kuhusu mishahara ya Wafanyakazi.alafu ukute ni mtu ana familia yake
Usiangalie namba za kwenye vyumba mkuu, hizo huwa siyo idadi ya vyumba.City link hiko maeneo ya mianzini ina vyumba zaid ya 250 ila sina hakika Kama inaanzia namba 1 mpaka 200...?
Idadi ya vyumba na namba za vyumba ni vitu viwili tofauti Mkuu.City link hiko maeneo ya mianzini ina vyumba zaid ya 250 ila sina hakika Kama inaanzia namba 1 mpaka 200...?
Wengi huwa wanapita kwenda zenj mkuu, na bagamoyo season ikichanganyaga kama kipindi kile miaka ya 2007 wakati mkwere anautagaza utalii na kabla uchumi hauja shake,posta kila sehem ulikuwa huwezi tembea nusu kilometer hujagongana na kundi la wataliiSema Dar ni jiji la kibiashara, sidhani kama wanategemea sana Utalii kama Arusha.