Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,067
- 51,643
Meku hata pale naura hawana hivyo vyumba mkuu. Mount meru hawazid 100 na kitu. Hiyo yenye vyumba 300 itakuwa ya kona ipi jomba?Siyo mwenyeji sana Arusha, ila hotel yenye vyumba 300?
Vingi sana aisee.
kweliii, sema mi nahisi wanashindwa kucheza na mda inabid wawe wabunifu nakuongeza baadhi ya vionjo na ikiwezekana wapunguze bei ya vyumba, watu wasipo Kuja basi ktakua na ttzo sehem.