cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,669
- 78,166
Umeona lkn wanaolalamika walikuja kipindi gani? Embu lete screen shot za kabla ya 2015.
Alicholalamika Meneja
Hizo kazilete wewe.. komwa kutuma
Umeona lkn wanaolalamika walikuja kipindi gani? Embu lete screen shot za kabla ya 2015.
Hivi hizi hotel ni kweli zina vyumba mpaka 300 au kuna namba zimerukwa katikati
Hiyo hoteli tangu mmliki wake afariki imekuwa shamba la bibi... Hakuna kiendacho sawa.. Tusiweke siasa kwenye hili wenyewe wameshindwa kuiendesha. Huduma mbaya!!Wahenga walisemaaa " ukiona ngoma inalia saana ,jua INA karibia kupasuka" !!!
In short kuna hali ngumu ya uchumi muda utazungumza
Nimemuona na kumsikia Meneja wa moja ya Hoteli kubwa na maarufu ya Kitalii ya Arusha kwenye taarifa ya habari usiku huu anasema/anajitetea kwa Maofisa wa Serikali kuwa Hoteli ile ina vyumba mia tatu (300) na hakuna Mgeni hata mmoja pale ndani.
Sasa nimejiuliza ni kwamba wao ndio hawapo kwenye right track ama?
kwani hoteli yao lazima iwe na wageni kila siku , na bila shaka itakuwa ngurudoto tuNimemuona na kumsikia Meneja wa moja ya Hoteli kubwa na maarufu ya Kitalii ya Arusha kwenye taarifa ya habari usiku huu anasema/anajitetea kwa Maofisa wa Serikali kuwa Hoteli ile ina vyumba mia tatu (300) na hakuna Mgeni hata mmoja pale ndani.
Sasa nimejiuliza ni kwamba wao ndio hawapo kwenye right track ama?
na ngurudoto ilianza kuyumba toka enzi za mwisho za mkwere,nakumbuka SADC moja ilifanyika pale wageni walikuwa ni hao hao wa mkutano.Ngurudoto ni uwekezaji mkubwa sana, ni hatari kusikia hawana Wageni.
Mrema alijiri nini pale upuuzi mtu toka ngurudoto mshahara wa kati haukuwahi kuvuka 120,000 wala siwaonei hurumaInahuzunisha ukiwafikiria Walioajiriwa pale.
Ngurudoto sehemu kubwa ilikuwa ikivuma kwa semina makongamano,warsha Na vikao vya viongozi na wafanyakazi wa serikali Na mashirika ya umma ndio walikuwa wakiijaza .Baada ya serikali kusema vitu hivyo vifanyike kumbi za serikali na mashirika ya umma na vyuo vya umma naona hotel imekuwa mhanga.Ziko hotel zilikuwa wala hazina hata marketing officer kazi yao ilikuwa kujuana Na mtu ofisi ya serikali anakuletea seminar Na wafanyakazi.Zingine zilijengwa Na mafisadi mabosi wa serikali anatoa maagizo seminar nk lazima zifanyike kwenye hotel zake au za maswahiba Wake.Hotel zinazo survive ni zile za wapambanaji ambao hawakuwa Na godfather serikalini wa kuwapa wateja wao walikuwa wakisaka wenyewe mtaaani.Hao wengi wanadunda maisha tu.Wategemea godfather serikalini wengi wako hoiNgurudoto ni uwekezaji mkubwa sana, ni hatari kusikia hawana Wageni.
Kumbe huduma zao ni hovyo!!
Mkuu wezakuta ni mtikisiko wa kiuchumi dunianiNdo matokeo ya;
Ujuaji mwingi,
Ushamba,
Ulimbukeni
Roho ya visasi
(3URV)
Wazee wambeleko wajibebe .Hawakawii kuipiga beiNgurudoto sehemu kubwa ilikuwa ikivuma kwa semina makongamano,warsha Na vikao vya viongozi na wafanyakazi wa serikali Na mashirika ya umma ndio walikuwa wakiijaza .Baada ya serikali kusema vitu hivyo vifanyike kumbi za serikali na mashirika ya umma na vyuo vya umma naona hotel imekuwa mhanga.Ziko hotel zilikuwa wala hazina hata marketing officer kazi yao ilikuwa kujuana Na mtu ofisi ya serikali anakuletea seminar Na wafanyakazi.Zingine zilijengwa Na mafisadi mabosi wa serikali anatoa maagizo seminar nk lazima zifanyike kwenye hotel zake au za maswahiba Wake.Hotel zinazo survive ni zile za wapambanaji ambao hawakuwa Na godfather serikalini wa kuwapa wateja wao walikuwa wakisaka wenyewe mtaaani.Hao wengi wanadunda maisha tu.Wategemea godfather serikalini wengi wako hoi
mkuu uko sahihi kwa asilimia 1000%Ngurudoto sehemu kubwa ilikuwa ikivuma kwa semina makongamano,warsha Na vikao vya viongozi na wafanyakazi wa serikali Na mashirika ya umma ndio walikuwa wakiijaza .Baada ya serikali kusema vitu hivyo vifanyike kumbi za serikali na mashirika ya umma na vyuo vya umma naona hotel imekuwa mhanga.Ziko hotel zilikuwa wala hazina hata marketing officer kazi yao ilikuwa kujuana Na mtu ofisi ya serikali anakuletea seminar Na wafanyakazi.Zingine zilijengwa Na mafisadi mabosi wa serikali anatoa maagizo seminar nk lazima zifanyike kwenye hotel zake au za maswahiba Wake.Hotel zinazo survive ni zile za wapambanaji ambao hawakuwa Na godfather serikalini wa kuwapa wateja wao walikuwa wakisaka wenyewe mtaaani.Hao wengi wanadunda maisha tu.Wategemea godfather serikalini wengi wako hoi
hiyo ya 120000Alafu hapo ni Hoteli moja sijajua huko kwingine, maana hata yule Meneja alikuwa anajitetea ishu tofauti kabisa akajikuta analazimika kutoa hali halisi ya pale Hotelini....nadhani alikuwa anajitetea kuhusu mishahara ya Wafanyakazi.
Kwa Arusha ni kawaida kabisa,maana hapa nchini tuna hotel 11 ambazo ni Five Star,ambapo 6 kati ya hizo ziko jijini Arusha,4 ziko Zanzibar na 1 iko Dar-es-salam.Siyo mwenyeji sana Arusha, ila hotel yenye vyumba 300?
Vingi sana aisee.
Nimeumia sana kwa hii sentesi kwakwelialafu ukute ni mtu ana familia yake
Mimi hata sijasema hivooo ndugu yangu..cybercrime..sasa unategemea nini??Vyumba 300...si mchezo kikose watu..then hapo wafanyakazi walipwa nini?Unajua tuache tu unafiki kuna watu wanapitia hali ngumu sana hasa maskini.
Ipo nimelala kwenye mojawapoSiyo mwenyeji sana Arusha, ila hotel yenye vyumba 300?
Vingi sana aisee.
Tumeshapata majawabu huyo meneja aache kulia lia afanyie kazi utumbo wake hapa