NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,898
Ni kweli hamna viyoyozi,maana zeruzeru wamekomenti hivyo hapo juu mkuu.Hiyo itakuwa Ngurudoto maana nimelala pale siku nne, vyumba vingine vimejaa mijusi tu. Uchumi umebana
Ni kweli hamna viyoyozi,maana zeruzeru wamekomenti hivyo hapo juu mkuu.Hiyo itakuwa Ngurudoto maana nimelala pale siku nne, vyumba vingine vimejaa mijusi tu. Uchumi umebana
Peleka matafede huko,ww sijui ni mtanzania wa wap kila kitu cha kaskazini lzm ukikosoe au sababu basha wako DAB anatokea kanda maalumAibu sanaaaaa
Hawajui mtu ataogopa hata kubook asije kumbana nayo hata kama kuna vyumba vichache vipo na uafadhali kidogo..
Mimi ni mmoja wa wanaopenda kusoma reviews kwanza.. nikisoma kama hayo siwezi hata pafikiria ni inakuwa imetoka hiyooo.
RIP Mrema,yule jamaa alikuacha kweli nasikia alikuwa na tabia ya kutafuna wafanyakazi wakeMimi nilifanya kaz hotel.hio 11 yra ago, ni kweli ina vyumba 300, tena huyo manager katoa idadi ya vyumba vya kawaida. Nikimaanisha standars rooms and delux rooms,,,kuna presidential rooms pale ambazo ziko 7, ni za marais tuu na huwa hawa shei
Mkuu acha bas kunivunja mbavu...et inakata roho....ila vyumba 300 ni vingi sana unless ndo hotel kubwa ArushaNgurdoto ina kata roho mkuu, baada ya Mrema kufarik hakuna kitu pale
Aliwatafuna sawa sawa ila sasa si wanawake kwani alikua anatafuna wanaume? Alikua hana mambo ya Amber RuttyRIP Mrema,yule jamaa alikuacha kweli nasikia alikuwa na tabia ya kutafuna wafanyakazi wake
Alaf sa hv ushindan n mkubwa Hotel nying zinajengwa, zingine ndogo tu lakni huduma zake zimekaa mkao....Tatzo hawaendi na nayakati, kuwa hotel kubwa af mnaiacha ovyoovyo et jina litaibeba mtasubir sana.....Mfanya biashara huwa habweteki hata kama biashara ipo vizur mana anajua lolote laweza tokea mbeleni...hawaoni MO jicho kodo kuangalia wapi kuna fursa awekeze mana anajua alipo sa hv kuna washindan waweza tokea wakamzid kete.....Ifanye hotel ionekane mpya dailyMuwe mnasoma reviews kujua kwanini biashara inaanguka.. Meneja anayejua kazi angekaa chini kwanza na kuangalia yasiyo sawa hotelini na sio kulalamika huku hoteli imejaa majanga..
Kama ni wewe jiongezeni huko.. msilaumu yasiyo huku chanzo ni hapo hotelini..
Okay sorry nilijua ww ni keAliwatafuna sawa sawa ila sasa si wanawake kwani alikua anatafuna wanaume? Alikua hana mambo ya Amber Rutty
hayo malalamiko mengi ukifuatilia ni ya hizi siku za karibuni baada ya biashara kubuma.halafu kuna vimbwa vya kizungu juu hapo vinadai hapakuwa hata na ac.Sometimes zeruzeru wenye nywele za uzi huwa wanafiq sana.
Yes ni kubwa..na rooms ni mchanganyiko wa room zilizopo kwenye jengo moja na zile zinazojitegemea 'Cottages' kuzunguka jengo kuu.Mkuu acha bas kunivunja mbavu...et inakata roho....ila vyumba 300 ni vingi sana unless ndo hotel kubwa Arusha
Hiki ni kipindi cha low season na hivyo occupancy huwa chini. Katika kipindi hiki management za hotel zinapaswa kuwa wabunifu kama wenzao wanavyofanya nje.Nimemuona na kumsikia Meneja wa moja ya Hoteli kubwa na maarufu ya Kitalii ya Arusha kwenye taarifa ya habari usiku huu anasema/anajitetea kwa Maofisa wa Serikali kuwa Hoteli ile ina vyumba mia tatu (300) na hakuna Mgeni hata mmoja pale ndani.
Sasa nimejiuliza ni kwamba wao ndio hawapo kwenye right track ama?
lini wamewahi kukupenda kwa dhati mkuu,mbona ubaguzi ni kama wenyewe pia unajibagua.Ila usiwaite Zeruzeru unawakosea binadamu wengine.
nimeelewa asilimia mia moja.hayo malalamiko mengi ukifuatilia ni ya hizi siku za karibuni baada ya biashara kubuma.
Kama hakuna mapato hata renovation inakuwa ngumu.
Hivi kuwe na bookings za Wageni mfululizo kwa miezi mitano, sita hata mwaka mzima mbele, kweli Management itashindwa kusimamia hoteli iwe kwenye ubora?
Ninavyoijua Arusha kukifurika Wageni hakuna Choice ya Hoteli, Operators watawapeleka popote Wageni wanapoweza kupata huduma...na hakuna Mwenye Hoteli atakubali kupokea Ma group ya Operators bila kuhakikisha huduma zipo kwenye ubora.
Mkuu umedai Tanzania in 5star hotel 11, sita zipo jiji la arusha na 4 zpo Zanzibari na moja Dsm...naomba unitajie 5star hotel mbili tuu pale arusha mjin zilizo active up to now af niingie google kudhibitisha..navyojua hotel za namna hyo kwa Arusha zpo mbugan na sio mjin..pale mjin labda moja tuu, ntoe tongotongo mkuuAcha story za vijiweni....!!!!
Ngurudoto 98% wanalala wageni.