Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,210
- 206,584
Abee😀
Abee😀
Hotel jijini Arusha toa miongozo...Abee😀
Kwanini amechagua kulala stendi kwanza 😀Hotel jijini Arusha toa miongozo...
New Hotel Aquiline Arusha kwani ipo stand ?Kwanini amechagua kulala stend kwanza 😀
Chaguzi za madiwani sio House of CommonsSir Keir Starmer chalii huko. Nigel anachukuwa nchi.
1. Ipo stand ya buses, haina utulivu kama unahitaji kupumzika.Contact nao nimeshapata wakanipa bei zao. Hawawezi kuniambia ukweli kuhusu ubora au udhaifu wa hoteli yao. Ndiyo maana natafuta third part opinion
Ipo Stand ndiyo.. ndani ya stand ya mabusNew Hotel Aquiline Arusha kwani ipo stand ?
Kama unaijua hoteli inayoitwa "New Hotel Aquiline Arusha" nipe mrejesho. Bei zao ni chee sana
Ipo stendi kuu ya Arusha.Kuwepo stendi kusikutishe sana hata Natron na 7Up zote zipo Stendi.Kupanga ni kuchagua.New Hotel Aquiline Arusha kwani ipo stand ?
Nahitaji sehemu safi na tulivu kwa kulala tu; muda wote wa mchana nitakuwa mbugani, hivyo makelel ya mchana hayanisumbui. Vile vile ninataka budget friendly; swala la budget ni relative, yaani kulinganisha na hoteli nyingine siyo kufuata idadi ya pesa nilizo nazo.Kama huna uzoefu na hotel za Arusha kwa nini umeuliza straight jina la hotel ambayo hauna ufahamu nayo?
Ushauri:
1. Omba kujua hotel nzuri kwa Arusha mjini kwa kadiri ya uhitaji wako (umesema utakuwa na familia)
2. Weka budget yako.
3. Unataka iwe maeneo tulivu au yenye kashkash (kuna hotel kama 2 zipo karibu na city centre/stand ni nzuri na bei nafuu) lakini pengine mazingira yasiwe rafiki sababu ya hekaheka...
Otherwise kama bado unakomaa kukaa hapo mjini kati basi check na Sevenskies au Venus Premier, angalau ni nzuri na well maintained...
Ukifunguka maswali ya juu hapo then recommendations zipo nyingine nyingi...
Mpe connection ile uliniunganisha nayo few years ago. Sijui kama bado ina quality ile ile.Abee😀
Point Zone bado ina ubora ule ule? Mara ya mwisho nilifika hapo 2021 I think.Premium Palace Hotel
Point Zone
Khaaah!! Hauko serious wee, LolContact nao nimeshapata wakanipa bei zao. Hawawezi kuniambia ukweli kuhusu ubora au udhaifu wa hoteli yao. Ndiyo maana natafuta third part opinion
April Nilikuwa Hapo Mambo Ni MotoPoint Zone bado ina ubora ule ule? Mara ya mwisho nilifika hapo 2021 I think.