
Wadau hii inachekesha kidogo japo inashabahiana na ukweli.
Kuna mdadisi amesema kuwa "Mövenpick" ina maanisha "Move 'n' Pick"
Kwamba investors wanaoendesha hotel katika lile jengo wamegundua kuwa Tanzania ni nchi ya kuingia na kuchukua (yaani "Move 'n' Pick" kwa Kiingereza)
Kwanza alianza Sheraton akaingia pale akachukua na kutokomea within the tax holiday. Akafuata Royal Palm naye akaingia jengo hilo hilo na kuchukua utajiri. Aliyekuja sasa hivi ndio kaweka nia yake wazi kuwa wao ni "Move 'n' Pick"