Hotel Mövenpick Dar es Salaam

watu wewe

Member
May 20, 2006
39
3
2571532.jpg

Wadau hii inachekesha kidogo japo inashabahiana na ukweli.

Kuna mdadisi amesema kuwa "Mövenpick" ina maanisha "Move 'n' Pick"

Kwamba investors wanaoendesha hotel katika lile jengo wamegundua kuwa Tanzania ni nchi ya kuingia na kuchukua (yaani "Move 'n' Pick" kwa Kiingereza)

Kwanza alianza Sheraton akaingia pale akachukua na kutokomea within the tax holiday. Akafuata Royal Palm naye akaingia jengo hilo hilo na kuchukua utajiri. Aliyekuja sasa hivi ndio kaweka nia yake wazi kuwa wao ni "Move 'n' Pick"
 
asante kwa post nzuri na thanks nimekupata ! angalau inaonekana kama ................
JE HILO LIHOTELI LENYEWE PIA WAKIONDOKA KURUDI KWAO WATARUDI NALO AU LITABAKI BONGO ? KAMA WAKIONDOKA NALI NITAAMINI UNACHOSEMA !
 
Faida tunayoipata pale, kama Taifa, ni baadhi ya watanzania kuajiriwa pale kama wapishi wasaidizi, walinzi wasaidizi, waiters etc. (wafanyakazi wengi wa ngazi za juu ni toka nje ya nchi) ; kwa kifupi tunafaidika na ajira chache za kada za chini pale hotelini; pia tunabahatisha soko la baadhi ya matunda, mboga etc. (nyingi zinaletwa tax-free toka South Africa). Hawa jamaa bado wako kwenye tax-holiday; subiri muda si mrefu utasikia jina jipya la hoteli ... halafu wata Move 'n' pick kitu kingine na kuendelea kula uroda wa tax-holiday
 
Kada yaani ndiyo kusema hadi sasa inakimbilia miongo miwili tangu hiyo hotel ianze kazi lakini bado iko ktk tax-holiday. Je hiyo ni kweli? au ni uongo? naomba hoja yako KM
 
.......
JE HILO LIHOTELI LENYEWE PIA WAKIONDOKA KURUDI KWAO WATARUDI NALO AU LITABAKI BONGO ? KAMA WAKIONDOKA NALI NITAAMINI UNACHOSEMA !

Kada, kuna mambo mengine ambayo kusimamia kwake kidete ni kulala chali au kukaa chini. Siyo lazima kwa kuwa Kadampinzani uhariibu fikra, heshima na busara kutetea kidete ubadhilifu. Ni aghali sana kuwadandganya wajinga walioanza au waliokwisha elevuka. Kwa mfano hapa JF kutetea upuuzi ni kujidhalilisha japo pia wadumuzaa fikra zako na si za wengine.Suala la kwamba je wataondoka nayo si la msingi kutetea matumizi mabaya ya Tax Holiday scheme. Natumaini Kada uko tayari "Move n Pick" management nao wafanye kama Sea Cliff. Muda wa Tax Holiday ukiisha zamu hii wasibadili jina bali wachome na kufile Insurence claim! Ilimradi tu jengo linabaki Danganyika.

UJUMBE: Ni vema kuwa mtazamo wa mustakabali wa Danganyika. Tuachane na utumwa wa vyama. Vizazi vitatuhukumu kwa kutotimiza utume wetu.
 
Ujumbe murua kabisa huo ndugu yangu

Kada Mpinzani badala ya kuijengea hoja misimamo yake, yeye anaendelea kuionyesha tu kavu kavu, kada "Emancipate yourself from mental slavery none but yourself can free your mind".Stand on the truth, dont let the truth stand on you, it is too heavy and you can not lift it pal!
 
kitila unamshauri kada apigane nini? hapo hakuna cha kupigana maana kwa kweli anapinga vitu labda apate taarifa za busara!! kila nikimsoma kada namkumbuka rafiki yangu mmoja pale udsm ambaye alikuwa ni muajiriwa wa TISS(nyie mnaiita idara ya usalama wa taifa). yeye kazi yake ilikuwa kuchokoza mada na kukaa kimya ili apate kitu cha kuweKA kwenye ripoti zake za wiki kwa wakuu wa pale kijitonyama!! hoping kitila atakuwa anwakumbuka sana watu wa nanmna hiyo maana hata daruso walikuwepo.

ndugu kada!! kutetea kitu kwa hoja ni vizuri ila kuwa kama amos makala wa uvccm amabye likisemwa neno anareact na press release halafu hatuelzezi ni nini anachokipinga bali anatupa blank denials!!
 
This guy kada has never been serious, i bet there is something wrong with him. *(born to rebel)
 
JE HILO LIHOTELI LENYEWE PIA WAKIONDOKA KURUDI KWAO WATARUDI NALO AU LITABAKI BONGO ? KAMA WAKIONDOKA NALI NITAAMINI UNACHOSEMA !

Ama kweli wewe ni kada, nakumbuka nilishakuambia waweza pinga hata bowel movements zako(i mean haja)
 
asante kwa post nzuri na thanks nimekupata ! angalau inaonekana kama ................
JE HILO LIHOTELI LENYEWE PIA WAKIONDOKA KURUDI KWAO WATARUDI NALO AU LITABAKI BONGO ? KAMA WAKIONDOKA NALI NITAAMINI UNACHOSEMA !
Kadampinjani leo majimazito bin ngomanjito....naona mafataki leo yanakuja kila kona utajiju.
 
Nafikiri Gov yetu ijirekebishe kama TAX holiday bado ipo. au wafute TAX tujue moja..sie wabongo ndugu zetu wakija na vijizawadi pale Airport si kubanwa..ww TV ya chini ya dola 100, unaikalia kidete eti VAT? wakati wajua kabisa hii personal USE. ATLEAST mtu aje na vitu vingi hapo sawa...Bongo RUSHWA imekuwa ndio MTINDO wa maisha...Tunahitaji wachamungu wa KWELI ktk NAFASI za Serikali na SI NEMBO za Majina yao au kupigiwa debe na viongozi wa DINI baada ya kulambishwa MLUNGULA.
 
Kada, kuna mambo mengine ambayo kusimamia kwake kidete ni kulala chali au kukaa chini. Siyo lazima kwa kuwa Kadampinzani uhariibu fikra, heshima na busara kutetea kidete ubadhilifu. Ni aghali sana kuwadandganya wajinga walioanza au waliokwisha elevuka. Kwa mfano hapa JF kutetea upuuzi ni kujidhalilisha japo pia wadumuzaa fikra zako na si za wengine.Suala la kwamba je wataondoka nayo si la msingi kutetea matumizi mabaya ya Tax Holiday scheme. Natumaini Kada uko tayari "Move n Pick" management nao wafanye kama Sea Cliff. Muda wa Tax Holiday ukiisha zamu hii wasibadili jina bali wachome na kufile Insurence claim! Ilimradi tu jengo linabaki Danganyika.

UJUMBE: Ni vema kuwa mtazamo wa mustakabali wa Danganyika. Tuachane na utumwa wa vyama. Vizazi vitatuhukumu kwa kutotimiza utume wetu.

sasa kama wewe kwa maoni yako unaniona mie mjinga, so who is to blame ? utanilaumu mimi au ? mie nasema what i think of wakati huo huo najua wewe pia unafikiria kitu tofauti ndio maana kil amtu ana ubongo tofauti adhawaiz kama unataka tufikirie sawa basi nashauri tungekuwa na ubongo mmoja !
 
Ujumbe murua kabisa huo ndugu yangu

Kada Mpinzani badala ya kuijengea hoja misimamo yake, yeye anaendelea kuionyesha tu kavu kavu, kada "Emancipate yourself from mental slavery none but yourself can free your mind".Stand on the truth, dont let the truth stand on you, it is too heavy and you can not lift it pal!

sawa mie slave ! LAKINI UKITAKA KUJUA KATI YA MIMI NA WEWE NANI SLAVE, NITAKWAMBIA ! WEWE NDIO SLAVE WA MAWAZO MAANA MANENO YAKO HAYO YANASOUND VIZURI LAKINI I GUARANTEE YOU HUJAFIKIRIA WEWE MWENYEWE,UMETUMIA MAWAZO YA MTU MWINGINE tena kwa vyovyote vile huyo mtu atakuwa mzungu. sasa hii inanifanya niamini waafrika kweli ./............... ! KWELI SI KWELI ??
 
kitila unamshauri kada apigane nini? hapo hakuna cha kupigana maana kwa kweli anapinga vitu labda apate taarifa za busara!! kila nikimsoma kada namkumbuka rafiki yangu mmoja pale udsm ambaye alikuwa ni muajiriwa wa TISS(nyie mnaiita idara ya usalama wa taifa). yeye kazi yake ilikuwa kuchokoza mada na kukaa kimya ili apate kitu cha kuweKA kwenye ripoti zake za wiki kwa wakuu wa pale kijitonyama!! hoping kitila atakuwa anwakumbuka sana watu wa nanmna hiyo maana hata daruso walikuwepo.

ndugu kada!! kutetea kitu kwa hoja ni vizuri ila kuwa kama amos makala wa uvccm amabye likisemwa neno anareact na press release halafu hatuelzezi ni nini anachokipinga bali anatupa blank denials!!

! nimepinga nini mie na wapi ? nimeuliza tu tena kwa busara ambazo mtu wa age kama yangu mie anatakiwa aulize ) nimeuliza kama hao watu wataondoka na hilo jengo au la, maana kuna vitu siku hizi vinaitwa PODS (portable on demand storage) unaweka vitu vyako pale unapohitaji then unarudisha hiyo storage, sasa mimi sijui sheraton ipoje, sijawahi kuiona, mnaanza kunidandia utafikiri nimekula pesa za kikao cha harusi !

ahh, pengine hapa wengi hawajawahi kutumia PODS, sasa mie siwalaumu wazee ndio maana wanalalama !
 
sawa mie slave ! Lakini ukitaka kujua kati ya mimi na wewe nani slave, nitakwambia ! Wewe ndio slave wa mawazo maana maneno yako hayo yanasound vizuri lakini i guarantee you hujafikiria wewe mwenyewe,umetumia mawazo ya mtu mwingine tena kwa vyovyote vile huyo mtu atakuwa mzungu. Sasa hii inanifanya niamini waafrika kweli ./............... ! Kweli si kweli ??

kada ona pumba zako hayo yalikuwa maneno ya bob marley dhidi ya wazungu na watu kama wewe wenye utumwa wa kiakili. Endelea kunitukana tu kuhusu uanamke wangu kama vile hujazaliwa na mwanamke. Lakini ukweli unabaki kuwa wewe ni 'kada pumba'
 
Back
Top Bottom