Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

Never! hakuna msuli! Nimefanya mtihani wa PCB 1974, taifa zima hapakuwa na A zaidi ya kumi PCB! katika kila somo kwa combination hiyo
Tumekwisha kama taifa. Hii ni zaidi ya Nightmare.

Ukishachezea elimu, na hasa katika masomo ya sayansi (secondary level) basi jiandae baada miaka michache kupata matokeo yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilatha,
unategemea nini kupata toka kwenye matibabu ya wanafunzi zaidi ya makosa yanayopelekea umauti? hata gereji ambayo ukipeleka gari zinaharibika watu wataongea sembuse watu.

Hata jina la hospital ni BAYA Mloga Nzila na si Mtibu Nzila hao ni wachawi wa kisasa,yaani wanaona watu 1000 ni wachache Wakati mtu mmoja huweza gusa kundi la watu hata zaidi ya 20 ina maana hapo ni watu 20,000 kwa uchache waoliguswa kwa uchache ...hizo hospitali nafufuli anazojisifu kuzijenga zinaweza kuwa machinjioni kama hali ndo hii
 
USSR,
Toa udhibitisho, kwanza nyie wanaccm ndio mmelea huu uzembe kwenye taasisi za umma kwa kuona kila jambo likiripotiwa ni kutaka kuichafua serikali kuwa haifanyi kazi. Pia huu mtindo wa kutisha vyombo vya habari watumishi wa umma wametumia mwanya huo kuwa wazembe kwani wanajua sio rahisi maovu yao kuanikwa. Hali hii tumeipigia kelele huku nyie mkitumia nguvu kubwa kuficha uovu ili ionekane kwa sasa serikali inafanya vizuri. Serikali kufanya vizuri haiminishi ni kuficha uovu.
 
Mbona wameruka kutaja takwimu halisi ya vifo ya kipindi cha July - Septemba 2018 ya Mlonganzila vs July - Septemba 2019 Mlonganzila, maana hapo wameirukia tu MNH - Upanga bila kuonesha ulinganifu husika..hapo waliporuka ndo penye ukweli kwamba watu wengi wanafariki..
 
Mbona wameruka kutaja takwimu halisi ya vifo ya kipindi cha July - Septemba 2018 ya Mlonganzila vs July - Septemba 2019 Mlonganzila, maana hapo wameirukia tu MNH - Upanga bila kuonesha ulinganifu husika..hapo waliporuka ndo penye ukweli kwamba watu wengi wanafariki..
mkuu mwaga mavituuz watu wajue
 
Hivi ile BRN iliishia wapi ? ila ccm mjue Mungu anawaona aiseee !!
Walipiga hela sanaa...
Kalikua ni ka mpango flani ka JK.. kitengo kilikuwa state building..

Walipiga hela hasaaa....

Magu alikavunja mwezi mmoja tu alipoingia.
 
Kwanini vifo ambavyo hata siyo vya lazima.

Kwanini watu kimbilio la kwanza ni kukata miguu na mwisho kifo.

Sie wazee acha tufie nyumbani na viungo vyetu kuliko kuja ondoka na mguu mmoja.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya sababu ambazo imeelezwa na mtoa taarifa kwamba Madaktari wanaotoa huduma MNH-Mloganzila ni wanafunzi waliopo katika majaribio si za kweli, hivyo tungependa kufafanua kwamba Hospitali ya MNH-Mloganzila ina Madaktari Bingwa 52, Madaktari wa kawaida 50 na kwa sasa ina Madaktari tarajali 53

Idadi ya madaktari ni ndogo sana hususan tukichukulia ni hospitali ya Rufaa yenye kupokea wagonjwa wanaohitaji matibabu yaliyoshindikana hospitali ndogo kutokana na changamoto za ujuzi,ubobezi na vifaa-tiba.

Hii ni aibu kubwa. Serikali ikubali kuleta madaktari toka Cuba ili kuokoa afya za wananchi hasa tukizingatia serikali inakusanya mapato ya rekodi kubwa toka uhuru upatikane kama alivyosema Waziri wa Fedha Philip Mpango wakati wa taarifa yake kwa umma wa waTanzania 31/12/2019.

"(7) Philip Mpango: Hali ya Uchumi wa Taifa Mwaka 2019 na Tathimini wa Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu Mwaka wa Fedha 2019/20 | JamiiForums"
3 
Upatikanaji wa huduma za jamii kama vile kujengwa kwa vituo vya afya katika kila kata na kuongezeka kwa upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kumepunguza gharama za matibabu kwa wananchi na kumeimarisha afya zao, hivyo kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za
source:
Philip Mpango: Hali ya Uchumi wa Taifa Mwaka 2019 na Tathimini wa Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu Mwaka wa Fedha 2019/20
 
Kuna ma Prof. Wa ajabu sana.
Sisi tunakupa habari inayotukuta live! Wewe unajaribu kutuambia sisi hatujui kujua!? Hatuoni tunavyokufa?

Anyway wekeni poll ulizeni 1. aliyetibiwa akapona
2. Aliyeuguza ndugu akapona
3. Aliyeuguza ndugu akafariki.
Aliyeuguza ndugu akapona.

Common sense is common to all.
Profesa asitutishie uprofessor.
 
Vifo 1,000 kwa robo ya Julai - Septemba binafsi ninaona kuwa ni vifo vingi sana. Hapo pia bado kuna dosari.
 
Julai-September wagonjwa 12,375 vifo 1000. Tafsiri rahisi zaidi kwa kila wagonjwa 120 kuna vifo 10

Tuombe afya njema

Sent using Jamii Forums mobile app
Death is natural mkuu. Tiba ni jitihada za binadamu kuendelea kuishi lkn lazima tufe! Hata madaktari hufa. So dont afraid, kila wagonjwa12 mmoja ataondoka, its ok. We will all die, doctors hawawezi kuzuia kifo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una pesa zako bora uende india bongo utakufa mapema madaktari waana buni tuu ugonjwa mpaka kuja kujulikana ugonjwa halisi umeshakaribia kufa.
Halafu wagumu kutoa rufa za kwenda appolo india labda mkubwa akushike mkono
 
Kama una pesa zako bora uende india bongo utakufa mapema madaktari waana buni tuu ugonjwa mpaka kuja kujulikana ugonjwa halisi umeshakaribia kufa.
Halafu wagumu kutoa rufa za kwenda appolo india labda mkubwa akushike mkono
 
Prof, definitely huwezi kukubali, admission of guilt is very rare in human nature! na data hizo authenticity yake unaijua wewe mwenyewe! We need independent verification of those data.

Two, you might have those numbers of highly qualified personnel, but the question is: Do they attend patients or they leave the duty to the interns? Laxity in our institutions is not a new phenomenon!

All in all jitahidini zaidi for better results. Tunawaamini sana tena sana.
Unawaamini sana Muhimbili? Hizi hospitali watu wanaenda sababu hamna mbadala tu.
 
Back
Top Bottom