falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
- Thread starter
- #61
Wine ?sio baadae uje kung'ang'ania watuWine je 🙂
Wine ?sio baadae uje kung'ang'ania watuWine je 🙂
hahahahaha umenichekesha kwa sautiWine ?sio baadae uje kung'ang'ania watu
Lol karibuhahahahaha umenichekesha kwa sauti
Usijali mkuu soon mtapata rahaHizo TAHMEED hebu zianze kuja na huku Mwanza ili tuone raha yake.
Basi atuletee za Mwanza-MusomaTahmeed hana ubavu wa kuleta luxury class kwenye route ndefu kama za mwanza,kigoma,kahama,mbeya,songea etc zitachoka kesho tu..hivi kuna watu bado wanapanda k'manjaro au dar exprec? Bora ukapanda BM coach au New force
Ziko za mombasa kigali sembuse kahama au mwanza?uko timamu kweli ?Tahmeed hana ubavu wa kuleta luxury class kwenye route ndefu kama za mwanza,kigoma,kahama,mbeya,songea etc zitachoka kesho tu..hivi kuna watu bado wanapanda k'manjaro au dar exprec? Bora ukapanda BM coach au New force
New force ya kwenda wapi??Tahmeed hana ubavu wa kuleta luxury class kwenye route ndefu kama za mwanza,kigoma,kahama,mbeya,songea etc zitachoka kesho tu..hivi kuna watu bado wanapanda k'manjaro au dar exprec? Bora ukapanda BM coach au New force
New force zipo za Mbeya, Songea. Kapitiwa huyuNew force ya kwenda wapi??
ndio namshangaa New Force ruti ya kaskazini sijawai kuona na BM n za MoroNew force zipo za Mbeya, Songea. Kapitiwa huyu
Kakurupuka ilimradi aonekane kachangia mada au anayafahamu mabasi, saa nyingine kama kitu hufahamu ni vyema kukaaa kimya kuliko kuanika ujinga wako hadharani...ndio namshangaa New Force ruti ya kaskazini sijawai kuona na BM n za Moro
Ya Tanzania na mmiliki ni kijana wa kiarabu anaishi Tanga, kenya kenya kila kitu kenya.TAHMED ni kampuni ya Kenya???
Kijijini kwao ni duga maforoni wamehamia tanga mjini makorora,yeye mwenyewe anaishi mombasa,unaposema muarabu unamaanishaje au kwakuwa ni mweupe na nywele za kiarabu.kama ni mwenyeji wa tanga basi huezi kusema salim kilonzo ni muarabuYa Tanzania na mmiliki ni kijana wa kiarabu anaishi Tanga, kenya kenya kila kitu kenya.
Kijijini kwao ni duga maforoni wamehamia tanga mjini makorora,yeye mwenyewe anaishi mombasa,unaposema muarabu unamaanishaje au kwakuwa ni mweupe na nywele za kiarabu.kama ni mwenyeji wa tanga basi huezi kusema salim kilonzo ni muarabu
P.S.V...Kuna tetesi kuhusu kutoa kafara kwa ajali za kutengenezwa,,.....Sasa hivi tunaelekea sikukuu hebu tushawishi(kwamba hamuhusiki) na kwanini umeamua kuja sasa kwa watu wa njia ya kaskazini nini hasa lengo lenu?Hapana usiwatetee,hao hawajapitia somo la psv na customer care
Mkuu unanikumbusha mbali sana, kipindi kile kuna ttbs, TBS, kamata, imam, lan'gata, Rombo safaris, Rombo mwelekeo, Rombo investment, masama cliff, njuweni, ngorika, hatco na mengine mengi.Kilimanjaro ni wasikivu mno na ndiyo maana wamekuwepo tangu mimi nikiwa mtoto kabisa enzi hizo zilikuwa zinaitwa KBS enzi mzee Maeda akiwa hai..
Ni kweli mkuu na KBS zilikuwa ni ma Leyland hata likiwa mbali unajua tu KBS hiyo ndo inakuja....Ni kuna mengine yalikuwa yanaitwa Ibanya sijui asili ya hili jina Ibanya'' bila kusahau Kajoi..Mkuu unanikumbusha mbali sana, kipindi kile kuna ttbs, TBS, kamata, imam, lan'gata, Rombo safaris, Rombo mwelekeo, Rombo investment, masama cliff, njuweni, ngorika, hatco na mengine mengi.
uwiii ningeenda ata kesho moshi....😛Wine je 🙂