[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hapa sio pa kukaa
Unakimbilia wapi? Rudi hapa.
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hapa sio pa kukaa
Wanajipigia ndiyo neno gani hilo nipe ufafanuzi tafadhali,Hii ndoa kama ya Kajala baada ya kumwagana na P Funk
Leo watoto wadogo wakina Quick Raka na County Boy wanajipigia [emoji23]
Simlaumu kulia but namlaum Ruge kwann amekubali kumpoteza, mi ni moja ya watu ninaomkubali zamaradi ni mzuri kwa sura lkn ni wife material kwa kwl,huyo jamaa aliempata kwl anabahati......Da mapenzi haya nasikia jamaa analia usiku na mchana kwa kuachwa na mtoto mzuri..
HahahahahHafananii kabisa na status ya mishentown ni kama mkata nyasi hivi mgogo flani wa ndyuka!!
Mbabe wa Ruge...
Hahahah kweli aisee,Uzinzi wa miaka nenda rudi na umalaya mnaona sawa sio???mtasema yote ila kiboko ya Ruge Zamaradi
Ina nini mkuu? Hebu kunjua jaladaSipendi kuchunguza kujua kazi yake lkn kama ni kweli mtu wa kitengo.....basi ndoa hiyo inalo jambo ambalo hata muolewaji halijui.
Yote tisa lkn kumi " Mungu awajalie AMANI ya ndoa"
Ex wake.Ina nini mkuu? Hebu kunjua jalada
Kwa hii comment yako inabidi naamini ile research isiyo rasmi kuwa "UKITOA PESA KWENYE MAHUSIANO YA MAPENZI, 90% YA WANAWAKE WATAONA HAKUNA UMUHIMU WA KUWA NA MPENZI"
Umeonyesha jinsi pesa zinavyokuingiza kwenye love affairs na siyo kumpenda mtu.
Wanasema hakuna madhara makubwa kama mwanamke kukosa akili. Kujihusisha kimapenzi na bosi wako tena mwenye sifa ya uhuni na kuyaanika mahusiano yenu mtandaoni ni ufinyu wa fikra. Kuzaa watoto wawili na mwanaume ambaye hajakuoa, halafu ukamuacha kwenda kwingine na ukaanika tena mtandaoni ni ufinyu wa fikra. Kubwa kuliko yote ni kushiriki kuchafua jina la mzazi mwenzio, ambaye bado ni sehemu kubwa ya maisha ya watoto wenu na yako kwa ujumla. Watoto wao watakuwa na kukumbushwa yote haya kupitia mitandao. Zamaradi amefeli sana.
Wahenga wanasema it's never too late! Hatimaye umepata kibali cha kukamilisha sherehe yako ya pili duniani, ni jambo la kheri sana hasa kwa dunia yetu hii ya leo!
Vilevile nikupongeze kwa usiri mkubwa kuanzia maandalizi mpaka ulipokuja kukamilisha tukio.... Nimeipenda sana hiyo! Ungeweka wazi hili kwa nafasi yako uliyonayo unheshavurugwa siku nyingi mno....
Pamoja na pongezi zote hizi na usiri wote huo kuna kosa kubwa la kiufundi umelifanya! Pengine ni kwa nia njema kabisa....! Kosa la kuvujisha picha za tukio la harusi lakini bado ukiwa umemficha jamaa sura...
Sio vibaya pia kwakuwa pengine ulitaka kuuthibitishia ulimwengu kuwa sasa wewe ni mke rasmi wa mtu, lakini wakati huohuo ukaacha kizungumkuti cha kuendelea kumficha sura!
Zamaradi usiendeleze hizi drama! Hazitakufikisha popote, vile utakavyo endelea kumficha ndio mashilawadu wstakavyozidi kupata hamu ya kumchimbua na kumchimba!
Baada ya fungate maisha itabidi yaendelee... Hakuna namna itabidi ajitokeze tu hadharani na movie itaanzia hapo! Just get ready.... Kumbuka ndoa ni kitu kimoja na kudumu kwenye ndoa ni kitu kingine
Jifunze kwa Diamond na Zarina kuhusiana na kashfa ya Diamond kuzaa na Mobeto... Umbea na mijadala yote ilikoma baada ya Diamond kuweka kila kitu hadharani...
![]()
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]kazi yake inahusika vp hapa. Ndio kashachukua jiko mazima mambo ya kazi peleka utumishi
Wanajipigia ndiyo neno gani hilo nipe ufafanuzi tafadhali,
Yah hongera zake kwa kweliMh oleweni aisee !unajua nyie neno ndoa watu wanalichukulia kiwepesiiiii anywys hongera zake !
Jamani mi nimeuliza tuwe nae
Hahahahahahahaaaaa aiseeeeNasikia ana uwezo mkubwa sana wa kuendesha magari ya mizigo na abiria
Haahahahahahahaaaaaa aiseeeEt mission town wanamwita [emoji3][emoji3][emoji3]
Sijajua jose wangu ila namuulizia huyo mume wakendo yule mission town?
wa kwanza au wa piliSijajua jose wangu ila namuulizia huyo mume wake
Well said brother. It's a naked truth.Wanasema hakuna madhara makubwa kama mwanamke kukosa akili. Kujihusisha kimapenzi na bosi wako tena mwenye sifa ya uhuni na kuyaanika mahusiano yenu mtandaoni ni ufinyu wa fikra. Kuzaa watoto wawili na mwanaume ambaye hajakuoa, halafu ukamuacha kwenda kwingine na ukaanika tena mtandaoni ni ufinyu wa fikra. Kubwa kuliko yote ni kushiriki kuchafua jina la mzazi mwenzio, ambaye bado ni sehemu kubwa ya maisha ya watoto wenu na yako kwa ujumla. Watoto wao watakuwa na kukumbushwa yote haya kupitia mitandao. Zamaradi amefeli sana.