Hongera Zamaradi...! Lakini....!!!

Hongera Zamaradi...! Lakini....!!!

Ruge ana tabu zake lakini hili la kuvujisha maongezi ya mzazi mwenzio sio kitu cha hekima kabisa! Upende usipende huyo mshaungana milele hata kama hamjaoana na hiyo karma itamrudia tu kama Ruge anavyokula karma yake sasa hivi
 
Ndoa kwa imani ya kislam ni kitu chepesii tena mnaweza msikae nyumba moja mkakutana tu kwa tendo na bado mkawa wanandoa. Tatizo kwa imani Yako ndoa Inaonekana ngumu kutokana nikufa na kuzikana
Weee tusikae pamoja tena mi siwezi nataka nilale mikono yake imenizunguka kila inapowezekana. Nilale nyumba yangu mwezi kusubiri zamu si nikae kwetu!! Yaani tuko 4 kila mmoja week heee huyo sio mume ni mchepuko tu sasa maana mda mwingi niko tu mimi na watoto
 
duh kweli naamini tumetofautiana hata kufikiri ! jaman neno ndoa limebeba mambo mengi mno mno !mayb waishi kisela tu wasizae nk nk ! sijui y watu wnakimbiliaga kuolewa !hiv wewe una watt wawili una maisha yako uanweza wasomesha wanao fresh suala la kuolewa unaolewa ili iwaje jaman !mhhh hapana aiseee tena unaolewa na serengeti boy uwiii atalia dabo !bora angeng'atuka tu akawa anaishi singo mama!sijui lakini uhenga unanijia vby mie

Kuwa na kila kitu ukakosa wakukidhi haja zako za kimwili, wakukufariji na kukuthamini mkaheshimiana sio kitu. Life is all about happiness! Let her be happy
 
duh kweli naamini tumetofautiana hata kufikiri ! jaman neno ndoa limebeba mambo mengi mno mno !mayb waishi kisela tu wasizae nk nk ! sijui y watu wnakimbiliaga kuolewa !hiv wewe una watt wawili una maisha yako uanweza wasomesha wanao fresh suala la kuolewa unaolewa ili iwaje jaman !mhhh hapana aiseee tena unaolewa na serengeti boy uwiii atalia dabo !bora angeng'atuka tu akawa anaishi singo mama!sijui lakini uhenga unanijia vby mie
Sasa atazini mpaka lini?
 
Hakuna ndoa inayolenga kukomoa Fulani,afu wanaume tuwe wanaume unaanzaje kulia mbele ya mwanamke,tofauti yako na yeye inakuwa wapi? Nachukia wanaume mabinti,piga moyo konde ganga yajayo,unalia lia nini? Nimejifunza kama unatafuta mtu wa kuoa usimshawishi kwa pesa au status yeyote maana anakuwa hajaungana na wewe kwa upendo wa kweli kwako ila pesa au status matokeo take in case ya hardships lazima atasepa na kufanya vituko kama huyo zama
 
Huyu mwamba kama mtu wa usalama kabisa, wanakuwaga na mikato flani huwezi ng'amua af kwa sura lazma anatokea moro au dom huyu.
Ama watu wa mtama huko kwa kina membe.
Unaweza ukawadharau na mikato yao kumbe sio kabisa
 
Eeeeh nilishamuona tangu aliporushwa.. Mshana Jr njoo kwenye sebule zingine usiwe unapitwa na udaku ucheke husizeeke haraka.. ni burudani tu
Ikibidi tuchumbiane kabisa Coco [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha haaaaa
Kweli umbeya wa celeb ni mtamu maana ni kuburudika tu hayatuingilii maisha yetu

Naona ulimpata baada eeeeeh
 
Hii ndoa kama ya Kajala baada ya kumwagana na P Funk
Leo watoto wadogo wakina Quick Raka na County Boy wanajipigia [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa iyo mkuu unamshauri Ruge akachukue wanae mapema...
 
Back
Top Bottom