Hongera Zamaradi...! Lakini....!!!

Hongera Zamaradi...! Lakini....!!!

Hii ndoa kama ya Kajala baada ya kumwagana na P Funk
Leo watoto wadogo wakina Quick Raka na County Boy wanajipigia [emoji23]


Wacha hiyo bwana.....Kajala ni mwanamke yule.....yaani yeye na Mama Diamond hawachekani, wanachapwa na watoto wadogo tu kila kukicha.
 
duh kweli naamini tumetofautiana hata kufikiri ! jaman neno ndoa limebeba mambo mengi mno mno !mayb waishi kisela tu wasizae nk nk ! sijui y watu wnakimbiliaga kuolewa !hiv wewe una watt wawili una maisha yako uanweza wasomesha wanao fresh suala la kuolewa unaolewa ili iwaje jaman !mhhh hapana aiseee tena unaolewa na serengeti boy uwiii atalia dabo !bora angeng'atuka tu akawa anaishi singo mama!sijui lakini uhenga unanijia vby mie

Kwani mtu Ukiwa na pesa Ndio hutakiw kuolewa kwa kuwa unaweza kuicontrol familia Yako. Ndoa ina umuhimu Kwenye Jamii . Binadamu tumeumbwa na ashki Atakuwa mzinifu mpaka lini. Ndoa ni kitu chepesii Ila Shetani anafanya watu waone ndoa ngumu watu Waendelee kufanya uzinifuu Ndio furaha yake.
 
Hafananii kabisa na status ya mishentown ni kama mkata nyasi hivi mgogo flani wa ndyuka!!
Mbabe wa Ruge...
Hahahahah noma,
Eti hapo ndio mtoto kafika bei lakini, wanawake wanakuaga desperate sana hasa kama alikuwa na ndoto za kuolewa halafu ni single mom tayari..Hata ukimwambia ajilipie mahari mtangaze ndoa yeye yupo tayari kwa hilo. Mradi aonekane nae katoa gundu yani ha ha ha...mambo kama haya yanatia moyo sana kuwa huko tuendapo kukosa mke itakuwa ni swala la kujitakia tu.
 
Kwani mtu Ukiwa na pesa Ndio hutakiw kuolewa kwa kuwa unaweza kuicontrol familia Yako. Ndoa ina umuhimu Kwenye Jamii . Binadamu tumeumbwa na ashki Atakuwa mzinifu mpaka lini. Ndoa ni kitu chepesii Ila Shetani anafanya watu waone ndoa ngumu watu Waendelee kufanya uzinifuu Ndio furaha yake.
Umesema ukweli kabisa.
 
Muhimu mwenyezi Mungu awape masikizano furaha na amani,Ruge atabakia kua mzazi mwenzie na ikumbukwe kua Ndoa inaandikwa mbinguni na mwenyezi mungu anakupa mwenye kheir na wewe huenda watu hawaoni kheir kwenye ndoa lakini
ni daraja kubwa sana regardless mume awe muuza genge au vyovyote watakavyo muita,hao wenye majina makubwa mbona hawakujitokeza? kuna wengine mahodari kusema ya watu sijui kaolea na maskini,sijui mume mbaya mie siwezi kuolewa na mume kama yule wakati hata kutaniwa ntakuoa hajawahi kutaniwa kutwa wanashinda kwa waganga na still hawaambulii,na wanaume wengine wanakua na tabia kama wanawake wao kuoa no ila kwenda harusi za watu na kuazima suti wanaongoza muacheni Dada wawatu na raha zake ..
Aisee!
 
Back
Top Bottom