Hongera Zamaradi...! Lakini....!!!

Hongera Zamaradi...! Lakini....!!!

Hahahahah noma,
Eti hapo ndio mtoto kafika bei lakini, wanawake wanakuaga desperate sana hasa kama alikuwa na ndoto za kuolewa halafu ni single mom tayari..Hata ukimwambia ajilipie mahari mtangaze ndoa yeye yupo tayari kwa hilo. Mradi aonekane nae katoa gundu yani ha ha ha...mambo kama haya yanatia moyo sana kuwa huko tuendapo kukosa mke itakuwa ni swala la kujitakia tu.
Uzinzi wa miaka nenda rudi na umalaya mnaona sawa sio???mtasema yote ila kiboko ya Ruge Zamaradi
 
Wanasema hakuna madhara makubwa kama mwanamke kukosa akili. Kujihusisha kimapenzi na bosi wako tena mwenye sifa ya uhuni na kuyaanika mahusiano yenu mtandaoni ni ufinyu wa fikra. Kuzaa watoto wawili na mwanaume ambaye hajakuoa, halafu ukamuacha kwenda kwingine na ukaanika tena mtandaoni ni ufinyu wa fikra. Kubwa kuliko yote ni kushiriki kuchafua jina la mzazi mwenzio, ambaye bado ni sehemu kubwa ya maisha ya watoto wenu na yako kwa ujumla. Watoto wao watakuwa na kukumbushwa yote haya kupitia mitandao. Zamaradi amefeli sana.
 
huyo wa pili utafikiri ni mrisho gombo
 
Rizki yake acha na yeye ajilie vitu..kakosa genuine hata used?
 
Back
Top Bottom