Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Wahenga wanasema it's never too late! Hatimaye umepata kibali cha kukamilisha sherehe yako ya pili duniani, ni jambo la kheri sana hasa kwa dunia yetu hii ya leo!
Vilevile nikupongeze kwa usiri mkubwa kuanzia maandalizi mpaka ulipokuja kukamilisha tukio.... Nimeipenda sana hiyo! Ungeweka wazi hili kwa nafasi yako uliyonayo unheshavurugwa siku nyingi mno....
Pamoja na pongezi zote hizi na usiri wote huo kuna kosa kubwa la kiufundi umelifanya! Pengine ni kwa nia njema kabisa....! Kosa la kuvujisha picha za tukio la harusi lakini bado ukiwa umemficha jamaa sura...
Sio vibaya pia kwakuwa pengine ulitaka kuuthibitishia ulimwengu kuwa sasa wewe ni mke rasmi wa mtu, lakini wakati huohuo ukaacha kizungumkuti cha kuendelea kumficha sura!
Zamaradi usiendeleze hizi drama! Hazitakufikisha popote, vile utakavyo endelea kumficha ndio mashilawadu wstakavyozidi kupata hamu ya kumchimbua na kumchimba!
Baada ya fungate maisha itabidi yaendelee... Hakuna namna itabidi ajitokeze tu hadharani na movie itaanzia hapo! Just get ready.... Kumbuka ndoa ni kitu kimoja na kudumu kwenye ndoa ni kitu kingine
Jifunze kwa Diamond na Zarina kuhusiana na kashfa ya Diamond kuzaa na Mobeto... Umbea na mijadala yote ilikoma baada ya Diamond kuweka kila kitu hadharani...