Basically wanawake wengi wapo hivyo okay fine umeolewa na mtu sasa hili la kuvujisha voice note for the whole world to know was it that necessary ,let assume wewe ndio ruge unampigia mtu ambaye umempa all your trust because you believe in her and you breakdown and begin to cry for her love and regret for everything na sio pombo ruge alikuwa katika the weakest point as man na hii ni rare situation maana unachoongea sio brain yako Bali ni sub conscious mind ambao ni vigumu sana MTU kutoa vitu huko lakini mtu anaudhubutu wa kukurecord sasa ili iweje for Christ sake ,for what nilijua ni siri naongea na x wangu ila una moyo Wa ajabu huyu mwanamke so maumivu yangu unayafurahia mpaka unayarecord