Ila watasema nae ni mpinzani hawatakii mema, kumbe masikini ya Mungu anatafuta ugali kama Azory Gwanda.Mabere Makubi ni reporter mzuri sana.
Sasa nimeanza kuona faida ya free air na kwa Nini Azam waliipinga sana mwanzoni niliunga sana Azamu mkono kumbe pamoja na kuwa na kisimbuzi Cha Azam tungejuta.lakini kwa wiki moja sasa Ni Kama Azam wamejirudi na wao wako vizuri.Mabere Makubi ni reporter mzuri sana.
Wapi hamnakitu hapo kazi masanja nimehama hapoSasa nimeanza kuona faida ya free air na kwa Nini Azam waliipinga sana mwanzoni niliunga sana Azamu mkono kumbe pamoja na kuwa na kisimbuzi Cha Azam tungejuta.lakini kwa wiki moja sasa Ni Kama Azam wamejirudi na wao wako vizuri.
Azam watoe hapo wachunguze vizuri magu anapewa muda mwingi alafupicha inaonyesha nawaliokuwepo hatakama hawapo nadhani umenielewa lakini lisu azam wanakapua hatanyomi wanaikata nafaster walisha itoa anabaki reporter waende huko hovyooooKwasasa chombo pekee kilicho mahiri katika kurusha habari kwa kina bila ubaguzi ni Azam Tv ( UTV)
Unapata coverage ya kutosha kila angle ya nchi wapo, watangazaji mahiri kina Charles Hillary, Ivona, Burhan Muhuza, Fatma Nyangasa etc, wachambuzi mahiri wa siasa wanaoalikwa ktk session ya habari kama kina Said Msonga, na pía ung'aavu wa picha (HD) na usikivu vyema kabisa vinanifanya niwe fully satisfied ktk upataji wa habari..!!!
Tunasemaga mpira wa pasi nyingi ni mpira biriani, basi Azam News (UTV) ni habari biriani
Unasema ITV ya Tanzania au ya UK,ITV ya kwetu haifai hata kuitazama,siku Mgombea wa CCM kama yupo garage ndiyo habari za Chadema wanazipa kipaumbeleYule Mzee wa TCRA atawafungia siku saba wasioneshe habari za upinzani
Waendelee kupendelea tu,sii Kila siku jumamosi.ITV wanazidi kusoma alama na nyakati, wameshapima (check and balance) na kuona maji yanaenda kuzidi unga, so inabidi warudishe Imani' kwa audience wao kwa kuanza 'kubalance' habari za kampeni.
Huwa siku zote,mwisho wa ubaya ni aibu. Hata hawaoni kimbunga ni Cha kokoto hivi Sasa.Kweli na Azam kidogo.TBC hakuna kitu ni ccm mwanzo mwishooo
Mi hata Azam siwaamini.Kweli na Azam kidogo.TBC hakuna kitu ni ccm mwanzo mwishooo
Mabere Makubi ni reporter mzuri sana.
Vyombo vya habari vinapaswa kufata sheria na taratibu na si tu kufanya vitu kwa msukumo na matakwa ya watu.ITV ijiandae kubambikiwa makodi, kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watafilisiwa Hadi watie adabu
Najua wengi wanaiogopa mbeleko yenye meno makali zaidi,tsiaraei.Lazima watapigwa fine na TCRA