Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV kwa kurusha habari kwa usawa kwa vyama vyote

ITV mzee Mengi ndiye alitaka kuiua mwishoni mwa maisha yake ila baada ya wao kukaa na kusoma mchezo wameona wawe katikati maana yajayo hakuna anayejuwa Nini kitatokea.
 
Mabere Makubi ni reporter mzuri sana.
Sasa nimeanza kuona faida ya free air na kwa Nini Azam waliipinga sana mwanzoni niliunga sana Azamu mkono kumbe pamoja na kuwa na kisimbuzi Cha Azam tungejuta.lakini kwa wiki moja sasa Ni Kama Azam wamejirudi na wao wako vizuri.
 
Hiki kwasasa kwangu mm ndiokituo bora kabisa itv pokeeni hongera zangu kwa heshima zote naridhika kuangalia taarifa kwakweli ninashiba
 
Sasa nimeanza kuona faida ya free air na kwa Nini Azam waliipinga sana mwanzoni niliunga sana Azamu mkono kumbe pamoja na kuwa na kisimbuzi Cha Azam tungejuta.lakini kwa wiki moja sasa Ni Kama Azam wamejirudi na wao wako vizuri.
Wapi hamnakitu hapo kazi masanja nimehama hapo
 
Kwasasa chombo pekee kilicho mahiri katika kurusha habari kwa kina bila ubaguzi ni Azam Tv ( UTV)

Unapata coverage ya kutosha kila angle ya nchi wapo, watangazaji mahiri kina Charles Hillary, Ivona, Burhan Muhuza, Fatma Nyangasa etc, wachambuzi mahiri wa siasa wanaoalikwa ktk session ya habari kama kina Said Msonga, na pía ung'aavu wa picha (HD) na usikivu vyema kabisa vinanifanya niwe fully satisfied ktk upataji wa habari..!!!

Tunasemaga mpira wa pasi nyingi ni mpira biriani, basi Azam News (UTV) ni habari biriani
Azam watoe hapo wachunguze vizuri magu anapewa muda mwingi alafupicha inaonyesha nawaliokuwepo hatakama hawapo nadhani umenielewa lakini lisu azam wanakapua hatanyomi wanaikata nafaster walisha itoa anabaki reporter waende huko hovyoooo
 
Yule Mzee wa TCRA atawafungia siku saba wasioneshe habari za upinzani
Unasema ITV ya Tanzania au ya UK,ITV ya kwetu haifai hata kuitazama,siku Mgombea wa CCM kama yupo garage ndiyo habari za Chadema wanazipa kipaumbele
 
ITV & EATV wapo vizuri sana japo azam 2 nao si hana. Ila naona mzee wa visasi anahamu ya kuzifungia kweli
 
Usuje ukamponza tu,kwa wengine wanaona kufanya hivyo ni Kama uhalifu.Ukweli ni kuwa ni sehemu ya Uhuru,na haki zinazoambaniwa.uhuru was kupata habari.
 
ITV wanazidi kusoma alama na nyakati, wameshapima (check and balance) na kuona maji yanaenda kuzidi unga, so inabidi warudishe Imani' kwa audience wao kwa kuanza 'kubalance' habari za kampeni.
Waendelee kupendelea tu,sii Kila siku jumamosi.
 
Mabere makubi tunakuomba utembee na msafara wa TL Hadi amalize kampeni zake.unaripoti habari vizuri. Hongera sana.Joyce Mhavile mkurugenzi wa ITV na radio one hongera, watanzania wote wanaopenda Kazi yako nzuri.
Mabere Makubi ni reporter mzuri sana.
 
ITV ijiandae kubambikiwa makodi, kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watafilisiwa Hadi watie adabu
Vyombo vya habari vinapaswa kufata sheria na taratibu na si tu kufanya vitu kwa msukumo na matakwa ya watu.
Kwa maana hiyo hakuna ukweli wala uhalisia wa hiki usemacho
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom