Hongera Masuguri Mkuu wa Majeshi Mstaafu kwa kuongeza umri miaka 103

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Feb 13, 2017
324
910
Leo tarehe 4 Januari 2023, Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali David Musuguri ametimiza miaka 103 ya kuzaliwa, Jenerali alizaliwa tarehe 4 January, 1920.

Ktk siku ya leo Watanzania tunakupongeza na kukuombea sana kwa Mwenyezi Mungu akupe Afya na Maisha Marefu zaidi na Zaidi.

Ikumbukwe Katika Vita ya Kagera, Jerenali Msuguri na kikosi chake ndio waliomfukuza Nduli Idd Amin kutoka Kyaka Mkoani Kagera (ambapo alikuwa ameteka na Jeshi lake) hadi Uganda. Pia Jenerali Msuguri amepigana Vita ya Pili ya Dunia.

Watanzania wote tunakuombea kheri na Afya njema. Happy Birthday General.

1672846175193.jpg
 
Kwasasa Anapambania Afya Hali Tete
Heri Heri Nyingi Kwa Kumbukizi Ya Kuzaliwa
 
Back
Top Bottom