Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

What if she went and causes those bruises to herself after the incident? As we are told she ran away before being caught.

Just thinking out of the box!

Nani asiyejua kuwa Luklu alikuwa demu wa Ray msanii mwenzie Marehemu na ambaye walikuwa na bifu kali kiasi cha magazeti kuripoti kuwa kila mmoja kaagiza bastola ili kujilinda dhidi ya mwenzie. Inavyoelekea ni kuwa baada ya Marehemu Kanumba kufanikiwa kumpora sanii mwenzie Ray demu alitaka kutumia mabavu ili Lulu asitishe mawasiliano ya simu na Ray.

Ni katika harakati hizo ndipo Lulu acted on Self defense na kifo kutokea.

Japokuwa kosa hilo ni "Manslaughter" yaani kuua bila kukusudia , vyombo vya diola vitatazama nakuchunguza ni nani alitangulia kufenya shambulio la kudhuru mwili?.

Ni vyema watanzania tukatumia matukio kama haya kujifunza. Kinachojitokeza hapa ni umalaya na wasanii kujijengea mabifu yasiyo na maana. Ni dh
 
Mbona mnajifanya Police na Mahakama, tumeumia sana lakini hili ni fundisho kwa vijana wanaojifanya vidume lamba lamba, ambao hawako tayari kuchukua mke mwema, Bongo movie imekuwa gumzo kwa kuzalisha machangu na uaribifu kwa watoto.
Hata hivyo namwonea huruma Lulu kwa kuwa kaanza na mkosi mkubwa angali kinda mdogo sana, inabidi sasa zitungwe sheria za kuwalinda vijana wadogo mastaa dhidi ya ngono zembe. Japaokuwa mtoto huyu alijitangaza mapema kuwa yeye kwa mapenzi ni moto wa kuotea mbali, akasema kama unabishi jaribu uone, sasa The Great kajaribu kanogewa kachonga nzinga, ok, aka ka jamaa nako kalikuwa akajatulia labda Mungu kakaonyehsa kuwa kuwalalua watoto wa watu hovyo bila kuwao cio sahii, hivyo pokea hii kama hilivyo sasa.
 
Kama huyu dem alikua anajitetea mbona marehem kakutwa na majeraha? Ina maana alikua anajipiga. Achtnguzwe vizuri na hata mdogo wa kanumba nae maana kikulacho ki nguoni.x

Aliyekutwa na majerahha ni Lulu, vile vile si ajabu katika ugomvi kama huo wote wawili kuwa na majeraha. Cha muhimu shahidi aliyekuwepo yaani mdogo wake marehemu Kanumba kathibitisha kuwa ugomvi ulihusu Lulu kupigiwa simu na mtu asiyejulikana na ambaye kuwa mujibu wa shahidi marehemu alitaka kufahamua mtu huyo ni nani. Ni dhahiri katika mazingira hayo marehemu alijaribu kutumia nguvu kukagua simu ya Lulu kitu ambacho ni kosa la shambulio dhidi ya Lulu; na Lulu alikuwa akilinda Privacy, utu na heshima vyake anvayopatiwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndipo kwa bahati mbaya kifo kikatokea. Katika mazingira hayo hiyo ni Self Defense? Kikubwa haikutazamiwa mtu wa calibre ya Marehemu Kanumba kutumia udhalilisahji na mabavu ya kiwango hiki dhidi ya wanawake, ambao kwa kiwango kikubwa ndio washabiki wake.

Tujiulize laita kama ni kanumba angemjeruhi Lulu na kesi hiyo kufika Polisi, heshimaya Kanumba ingekuwaje?

Katika nchi za wenzetu ambapo Polisi wanajua kupeleleza na kuchunguza kesi ikiwemo miili ya marehemu na binadamu wazima kugundua dalili zozote za mashambulio hapa hamna kesi yoyote kwa kuwa inaelekea marehemu ndio alikuwa wa kwanza kumshambulia Lulu kimwili.
 
Rafiki, Jesus huyu tunayekumbuka kufufuka kwake leo ni mwingi wa rehema na fadhili! Usishangae siku ya siku unamkuta Lulu anapanga watu pa kukaa huko Mbinguni kwa baba. Acha kuhukumu, manake hujui hata Kanumba kama kafariki na toba!
wanawake ni MAJANGA yaliyokuja duniani kwa bahati mbaya.check ***** ulioandika hapa then unajisifu unao watoto wa kiume shame on u.nahisi wewe ni majanga umeachika so ni victim wa masuala ya mapenzi go to hell.bora umesema mtetez wake ni muumba may be wa mashetani.bt not our GOD WHO RAISE THE ONLY SON JESUS from death hayupo cheap kihvyo mamaa
 
Hujui mateso wanawake wanayopata ww! So leave pi as pi!!

Mfumo jike @ work, wayajua mateso wanayoyapata wanaume kutoka kwa wake zao?!, you can imagine-after a moment of hugs ang heaps of kisses there follows season II full of tornadoes and scuds to sent some one to hell. Juzi Mch. Lusekelo katika mahubiri yake alisema kuwa wanawake ni makatili......... Na watu wote wakasema amina.
 
Kanumba, ametuumbua wanaume, I cant die bcoz of Changudoa. I hate that bi......tch. she is a trump. She wil pay for it.

Nadhani bado wengi hatujaelewa mazingira ya kifo cha jembe letu kanumba!Mtu yeyote ule anaweza kukubwa na hali kama hii bila kutegemea.kinachomponza LULU ni Mazingira ya kifo lakini sidhani kama alienda kwa dhamira ya kuua.Tuiache mahakama itoe tamko.
 
Ndugu zangu kuna wakati ni vema tukaacha masihara linapokuja suala la kuondolewa uhai mtu halafu tunaleta ulinganisho wa kijinga kabisa. Wenzetu tupo kwenye majonzi mazito ambayo hayaelezeki. Binafsi nilifika nyumbani na kuingia chumbani kwa Kanumba muda mfupi baaya kuwa tumeshaupeleka mwili wake Muhimbili. Nataka huyu alieandika upuuzi huo hapo juu ni mtu makini sana miongoni mwa walio kwenye kundi la wenye uelewa kama wake. Sisi ndio tuliompekea Kanumba kujiunga Kaole Sanaa Group kwaka 2002 akiwa anakaribia kumaliza kidato cha Sita na miaka michache baade tukampokea Elizabeth Michael na tukampa jina la uigizaji la Nem kabla ya kumbadilisha kwenye igizo lingine na kumuita Lulu.

Jamani kuna mengi msiyoyajua kuhusu watu hawa wawili. Kuna mengi msiyoyajua kuhusu Lulu na hata mama yake. Tusubiri kwa muda kidogo mtayajua mengi maana mengi wengine hatutaki kuyaweka bayana. Ila kwa wale msiojua Kanumba na Lulu walianza mahusiano ya kimapenzi miaka nne iliyopita lakini kwa siri. Nasisitiza kuna mengi mahapa kati kati.
 
Uwiiii! Kweli huu ni zaidi ya mjadala. Lulu amekamatwa akiwa na majeraha. Marehemu alikuwa ametoka kuoga,possible bado alikuwa wet,house ina tiles,uwezekano wa kusukumwa kidogo na kuteleza na kuanguka ni mkubwa ukilinganisha na udogo wa Lulu. Nauliza...hy m2 wa 3 anayedaiwa kuwepo hapo ndani mbn hatajwi? Tuwe na subira tupate majibu kuliko kulaumu. Time will tell.....
 
Angalau wewe umepanua mawazo ya watu, sishangai kuwa kulikuwa ma mtu wa tatu ambaye hatajwi. Inashangaza kuwa GT wanang'ang'ana kuonesha chuki zao bila kutumia upstairs zao vizuri: Lulu amsukume Kanumba mpaka kanumba apasuke kichwa?!, hii makitu mimi mbado kuona.

Inasemeka Kanumba alikuwa amekunywa pombe kali,kama alikuwa amelewa inawezekana.
 
one thing is for sure, kanumba amekufa.
Sasa kama lulu alikuwa anapigwa na marehemu, kwanini alikuwa ana hang kwenye relationship ambayo anateseka?

Ukombozi unaanzia hapo, sio unakaa na mwanaume anayekipiga mpaka ufe au yeye afe halafu ndo mnataka kuita ukombozi na kulifanya hilo tukio kuwa la fundisho.

As far as i know, hilo sio fundisho.....fundisho ni kwamba, kama upo kwenye mahusiano ambayo mume au mke anapigwa, then wewe unayepigwa chukua hatia leo na utambae zako.....hutaki unatambaa!! Unataka unakaa udundwe mpaka mmoja wenu afe
 
Mama yangu alinifundisha sana kuhusu maisha ya mapenzi.
Siigusi simu ya mwanamke.
Simu inaweza kukupa mapresha
 
Ndugu zangu kuna wakati ni vema tukaacha masihara linapokuja suala la kuondolewa uhai mtu halafu tunaleta ulinganisho wa kijinga kabisa. Wenzetu tupo kwenye majonzi mazito ambayo hayaelezeki. Binafsi nilifika nyumbani na kuingia chumbani kwa Kanumba muda mfupi baaya kuwa tumeshaupeleka mwili wake Muhimbili. Nataka huyu alieandika upuuzi huo hapo juu ni mtu makini sana miongoni mwa walio kwenye kundi la wenye uelewa kama wake. Sisi ndio tuliompekea Kanumba kujiunga Kaole Sanaa Group kwaka 2002 akiwa anakaribia kumaliza kidato cha Sita na miaka michache baade tukampokea Elizabeth Michael na tukampa jina la uigizaji la Nem kabla ya kumbadilisha kwenye igizo lingine na kumuita Lulu.

Jamani kuna mengi msiyoyajua kuhusu watu hawa wawili. Kuna mengi msiyoyajua kuhusu Lulu na hata mama yake. Tusubiri kwa muda kidogo mtayajua mengi maana mengi wengine hatutaki kuyaweka bayana. Ila kwa wale msiojua Kanumba na Lulu walianza mahusiano ya kimapenzi miaka nne iliyopita lakini kwa siri. Nasisitiza kuna mengi mahapa kati kati.

unajisifia, unajionyesha au unafanya nini?

miaka minne iliyopita kanumba alikuwa na 24 yrs na lulu alikuwa na miaka 14....so kanumba alianza mapenzi na huyu binti akiwa katika miaka hiyo?? unatueleza nini sasa...hauoni taratibu unamsupport mtoa maada?

hivi siku ya tukio Lulu na kanumba walikuwa wameoana? Lulu na umri ule alikuwa anafanya nini saa zile

ndio mnayoyafundisha huko kwenye sanaa??

huwezi ukajivunia kuwafahamu, kuwafundisha au kuwalea watu wapumbavu sana kama hawa..eti uko kwenye majonzi..wanakufa watu kila siku na huyu mjinga kufa kwa kujitakia ni vyema tu

Lulu ametembea na wabunge kadhaa, wazee kadhaa, wakurugenzi kadhaa..huyu kanumba alikuwa anatafuta nini kwa haka ka -changudoa?
 
Ndugu zangu kuna wakati ni vema tukaacha masihara linapokuja suala la kuondolewa uhai mtu halafu tunaleta ulinganisho wa kijinga kabisa. Wenzetu tupo kwenye majonzi mazito ambayo hayaelezeki. Binafsi nilifika nyumbani na kuingia chumbani kwa Kanumba muda mfupi baaya kuwa tumeshaupeleka mwili wake Muhimbili. Nataka huyu alieandika upuuzi huo hapo juu ni mtu makini sana miongoni mwa walio kwenye kundi la wenye uelewa kama wake. Sisi ndio tuliompekea Kanumba kujiunga Kaole Sanaa Group kwaka 2002 akiwa anakaribia kumaliza kidato cha Sita na miaka michache baade tukampokea Elizabeth Michael na tukampa jina la uigizaji la Nem kabla ya kumbadilisha kwenye igizo lingine na kumuita Lulu.

Jamani kuna mengi msiyoyajua kuhusu watu hawa wawili. Kuna mengi msiyoyajua kuhusu Lulu na hata mama yake. Tusubiri kwa muda kidogo mtayajua mengi maana mengi wengine hatutaki kuyaweka bayana. Ila kwa wale msiojua Kanumba na Lulu walianza mahusiano ya kimapenzi miaka nne iliyopita lakini kwa siri. Nasisitiza kuna mengi mahapa kati kati.

uliingia kwenye chumba cha kanumba... ha haaa haaa... what is so special in that room? ... so what and what do you want to highlight or emphasize? ...what point do you justify in this discussion .... how proud do you want to tell us by knowing kanumba? ... what did it help to rescue kanumba from this fatal death? .... what lesson do you want to tell your fellow fools?

you are a mimicker ... you are just here to do boasting
 
Mkuu, ulikuwa na maana hiyo kweli, "mateso wanayopata wanaume kutoka kwa waume zao"?

Niwie radhi, nilimaanisha mateso wanayoyapata wanaume kutoka kwa wake zao. Nafanya editing sasa hivi., pasaka njema
 
Kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?
2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?
3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?

Hongera mwanangu Lulu kwani akina Sofia na Biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha. Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( Master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe. Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.

kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.

Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa Posta - Dar.

Mtetezi wako ni Muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)

Siamin mleta thread ka una akili timamu, huwez kushabikia upumbavu na ujinga ka huu, unampongeza LULU lakn sahv yy yupo selo analia na familia yake inalia na kibaya zaid haijulikani lini ataachiwa huru mana hii kesi haina dhamana. Washauri wengine wawe makini na matendo ka ya akina lulu kuwa na wababa watu wazima ilihali shule zimewashinda. Lulu ameonywa mara ngapi kwny media?? kaonywa mara ngapi na mama yake? juzi tu alikuwa EATV MKASI na SALAMA JABIR kamuonya bt yy akasema ni mtoto mdogo na mambo hayo hajaanza. ACHENI KUSHABIKIA UPUMBAVU kama ndo ulikuwa mshauri wake basi ktk hii dhambi ww pia unahusika. "ASIYEFUNZWA NA MAMAYE, HUFUNZWA NA ULIMWENGU"

Jamani kifo ni ahadi na ndio ahadi ya mwenzetu kanumba imetimia hy ucku wa kuamkia jana na aliemuua ni Mungu ila huyo lulu ni sababu tu hata asingekuwa lulu angekuwepo mwingine kusababisha kifo cha kanumba, bwana alitoa na bwana ametwaa.
 
Back
Top Bottom