Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

Kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?
2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?
3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?

Hongera mwanangu Lulu kwani akina Sofia na Biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha. Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( Master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe. Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.

kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.

Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa Posta - Dar.

Mtetezi wako ni Muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)



we kweli shetan huwezi kufurahia na kushabikia binti kama huyo kuwa nakesi ya aina hiyo.
 
Jaman, mnamhukumu huyu mama bure, kila mtu anahaki ya kutoa maoni yake kwa jinsi anavyolichukulia jambo, katika hali ya kawaida ni dhahiri kumuonea huruma Lulu kwa jambo lililomfika maana hakuua kwa kukusudia, na katika hali ya kawaida ukiwa unapigwa na mtu anaekuzidi nguvu na tena amekunywa pombe ni lazma ujitahidi kadri ya uwezo wako wote kujinasua..ninamuonea huruma sana Lulu na ninamuombea Mungu asamehewe ktk hili janga, maana linaweza kumkuta mtu yeyote, wangapi mnagombana hata barabarani na kusukumana jaman..je ukimsukuma tu mtu aliekuwa anaku- attack akaanguka akafa utaitwa muuaji au alikuwa unajitetea? Kuweni na utu jaman, na huyo Kanumba hata kama amekufa, kwann alikuwa anatembea na mtoto wa miaka 17?
 
Back
Top Bottom