Hongera Lukuvi, kazi yako tumeiona

Akikujibu nitagg

Hakuna chochote cha maana alichofanya lukuvi ardhi zaidi ya kucheza na media tu

Nchi kila siku inazidi kuwa chafu Kwa kuenea makazi na ujenzi holela alafu wanakuja kusifu ujinga hapa
Atusifu ujinga ila kama bado unakaa kwenu uwez elewa nini alifanya lukuvi
 
SUKUMA GANG ni mkusanyiko wa wale Wote waliokuwa WANAUNGA MKONO JUHUDI irrespective ya wapi wanakotoka Ndio maana wakina Polepole wanajumuishwa humo!!!
Kama ni hivyo hii Sukuma Gang' Ina zaidi ya robo tatu ya Watanzania kwa hiyo siyo gang Tena...ni mass ....
 
Ni kweli Mheshimiwa Lukuvi,amejitahidi kuchapa kazi wizara ya Ardhi.
-Lakini Kwa kipindi chote ambacho Lukuvi amekaa wizara ya Ardhi,ameshindwa kuajiri maafisa ardhi na wapimaji wa ardhi wa kutosha,ili kukomesha ujenzi holela ,
-wizara imetoa vibali kwa taasisi binafsi (ambazo nyingi ni kampuni za makamishina au wakuu wa idara za ardhi) kupima ardhi kwa gharama kubwa.
-Kampuni nyingi za urasimishaji makazi ni za wakubwa hao.

Ushauri kwa Waziri Mabula na Riziwani
- Ni kuhakikisha kuwa wizara ya Ardhi inaajiri maafisa wa ardhi na wapimaji wa ardhi na mipango miji wa kutosha kwenye halmashauri za wilaya zote.
-wizara inapima viwanja vya kutosha,ili watu wajenge kwenye viwanja vilivyopimwa.
-wizara inaweka mfumo mzuri wa kugawa viwanja na kutoa hati miliki bila mikingamo, ili kuondoa migogoro ya ardhi nchini.
Hivi lukuvi ndo ana ajirii??
 
Mweke adui karibu na wewe ili ujue kaamkaje, kashindaje, anafanya nini anakutana na nani na kila kitu. You need to tame your enemy right?
 
Hi nchi. Sijui tunataka nn hkn Aliye nanafuhu kbsa kila mtu anavitabia za ajabu ajabu sijuu tutawalliwe kinamna gani. Alfu mbaya Zaid hawa watu hawaheshimu katiba
 
Lukuvi amessbabisha Tanzania kushitakiwa kwenye kesi za kimataifa nyingi kudhulumu wawekezaji bila malipo Mfano Sunlodge kilwa walikamata ndege Canada waliposhinda kesi mbona watazania hakuambiwa hiyo?? Tuanzishe uzi wa kesi za ardhi za kimataifa ili tujue ametutia hasara kiasi gani
 
Lukuvi amessbabisha Tanzania kushitakiwa kwenye kesi za kimataifa nyingi kudhulumu wawekezaji bila malipo Mfano Sunlodge kilwa walikamata ndege Canada waliposhinda kesi mbona watazania hakuambiwa hiyo?? Tuanzishe uzi wa kesi za ardhi za kimataifa ili tujue ametutia hasara kiasi gani
Bila Shaka wewe ni muongo mzoefu
 
Back
Top Bottom