Hongera Lukuvi, kazi yako tumeiona

Ukiona KIONGOZI WA CCM anasifiwa HADHARANI mitandaoni basi huyo kawagusa wananchi wa pato la chini moja kwa moja kwa kutenda haki na kuwafikishia kile wanachotaka
hayo unayoyaeleza hayakuwa na manufaa kwa mwananchi mmoja mmoja hasa
WIZARA ilipokuwa chini yake aliitendea haki haswa hilo lipo wazi
Hakika mkuu ata mimi ili swala limenifikirisha sana ajabu waliochwa wapo wa5 lakin aliumiza watu ni mmoja tu Lukuvi
 
Tatizo ukimuangalia kwa jicho la undani utagundua kuna ka chembe ka udini sana kwa upande wake nadhani ni moja ya sababu za kupanguliwa kwake na anahusisgwa na ile Sukuma Gang
Mimi nilidhani sukuma gang ni ya wasukuma, kumbe hata waIringa/Njombe wanaruhusiwa kujiunga?
Kama wasio wasukuma wanaweza kujiunga, kwa nini isiitwe jina jingine badala ya jina la kabila moja?
 
Mimi nilidhani sukuma gang ni ya wasukuma, kumbe hata waIringa/Njombe wanaruhusiwa kujiunga?
Kama wasio wasukuma wanaweza kujiunga, kwa nini isiitwe jina jingine badala ya jina la kabila moja?

SUKUMA GANG ni mkusanyiko wa wale Wote waliokuwa WANAUNGA MKONO JUHUDI irrespective ya wapi wanakotoka Ndio maana wakina Polepole wanajumuishwa humo!!!
 
laana ya WaZanzibari inamuandama huyo,huyu si ndie yule aliesimama kwenye madhabahu na kusema Zanzibar idhibitiwe eti magaidi ndio wanakopitia huko,yaani alikunya sana pale kanisani mpaka wengine wakaguna,wakisema huyu waziri vipi ?
 
Dingi alijitahidi sn sema maza udini unamtafuna sn
Je chuki ya wazi, udini na ubaguzi wa huyo Lukuvi anaetetewa unausemeaje Mkuu? Kumbuka clip yake dhidi ya Zanzibar na Waislamu kisha rejea majibu yake kwa yule bwana wa Mwanza.
 
Lukuvi ni mtu wa Mungu , mawaziri wote wameonewa

Anayeutaka urais ni waziri wa umeme ila ameachwa
Mara amerithi baraza, mara asingewatoa mawaziri. Hata mnalolitaka halieleweki. Ndiyo ni muhimu kutaka urais pale yule uliye naye chama kimoja akimaliza muda wake. Sasa ukitaka urais wakati bosi wake anaendelea, ni lazima utamkwamisha kufikia malengo ya kuwatumikia wananchii
 
Ukiona KIONGOZI WA CCM anasifiwa HADHARANI mitandaoni basi huyo kawagusa wananchi wa pato la chini moja kwa moja kwa kutenda haki na kuwafikishia kile wanachotaka
hayo unayoyaeleza hayakuwa na manufaa kwa mwananchi mmoja mmoja hasa
WIZARA ilipokuwa chini yake aliitendea haki haswa hilo lipo wazi
Wananchi wa pato la chini wengi hawapo humu mitandaoni. JPM alivyowatendea haki watu wa pato la chini mbona humu kila kukicha anatukanwa?
 
Salam!!!
Naweza kusema mh. William Lukuvi ni miongoni mwa viongozi wachache walioweza kusifiwa kwa utendaji wao angali wakiwa hai

Jana baada orodha ya mawaziri waliochwa kwenye baraza la mawaziri kutoka nimeona kwenye mitandao ya kijamii na huku mtaani watu wengi wakiumia sana kwanini mh Rais kamuacha lukuvi wakati huyu kiongozi alikuwa ni mchapa kazi mahiri.

Kinachonishangaza kwanini watu wengi wameuzunishwa na kuondolewa kwake
Hakika hapa kunakitu cha kujifunza kutoka kwa kiongozi huyo

Kwenu viongozi tunapopewa nafasi za kutumikia taifa hili tujitahid kuzitendea haki
Na tusiwe waimba mapambio tuige mfano wa mh Lukuvi.

Kila la kheri William Lukuvi katika majukumu yako..
Nitajie mambo 5 tu aliyofanya Lukuvi yanayostahili sifa kwake?
 
Lukuvi alifanya kazi yake kwa ufanisi sana..ni Moja ya mawaziri walioutendea haki uwaziri,hususan katka sekta ya ardhi ambayo imetawaliwa na maagumashi ya kutosha..
 
Lukuvi personally chini vya uongozi wake tuliamini haki katika ardhi IPO.

Nasikitika hayupo. Namuombea heri. Binafsi nimenufaika Sana na mifumo iliyoleta tija ardhi.
Ardhi unaenda huna hata senti5 na unahudumiwa. Na wahusika unawakuta ofisini.

Ardhi migogoro yake ilihitaji akili kubwa huyu Lukuvi alihakikisha na wasaidizi na watendaji wake wanatoa huduma. Watu wa ardhi walipanga na kupanguliwa na kuhamishwa hamishwa yaani Ile mifumo mibovu akaivunja.
 
alafu fisadi rizimoko anakabidhiwa unaibu waziri wizara ya Ardhi, bila kupindisha maneno apo samia suluhu kafeli vibayaaa
 
Ni kweli Mheshimiwa Lukuvi,amejitahidi kuchapa kazi wizara ya Ardhi.
-Lakini Kwa kipindi chote ambacho Lukuvi amekaa wizara ya Ardhi,ameshindwa kuajiri maafisa ardhi na wapimaji wa ardhi wa kutosha,ili kukomesha ujenzi holela ,
-wizara imetoa vibali kwa taasisi binafsi (ambazo nyingi ni kampuni za makamishina au wakuu wa idara za ardhi) kupima ardhi kwa gharama kubwa.
-Kampuni nyingi za urasimishaji makazi ni za wakubwa hao.

Ushauri kwa Waziri Mabula na Riziwani
- Ni kuhakikisha kuwa wizara ya Ardhi inaajiri maafisa wa ardhi na wapimaji wa ardhi na mipango miji wa kutosha kwenye halmashauri za wilaya zote.
-wizara inapima viwanja vya kutosha,ili watu wajenge kwenye viwanja vilivyopimwa.
-wizara inaweka mfumo mzuri wa kugawa viwanja na kutoa hati miliki bila mikingamo, ili kuondoa migogoro ya ardhi nchini.
 
Back
Top Bottom