Hongera Lukuvi, kazi yako tumeiona

Dingi alijitahidi sn sema maza udini unamtafuna sn
Nyie wakristo mna tabu Sana, Hilo baraza la mawaziri wakristo ni wengi kuliko Waislamu,lkn Wala uwasikii Waislamu kulalama,

Hivi mnataka hii Nchi muongoze peke yenu?! Halafu mlivyo nuksi mkiongoza Nchi mambo kwa wananchi yanakuwa magumu, na matukio ya hovyo yanakuwa mengi,

Acheni chuki zenu za hovyo nyie watu, ndio maana marais wastaafu wengi walio hai ni Waislamu, sababu hawana Roho mbaya, ukiwa na Roho mbaya ni sumu kwa uhai, lingine Basi mumlaumu na Mungu kwanini wastaafu Marais waliotangulia mbele ya Haki ni wa upande mmoja tu (R.i.p)

Udini haufai,Taifa ni letu sote, Rais wa Nchi anateua kwa kuangalia elimu na maadili ya mtu,na sifa za ziada
 
Wanyalukolo hawawezi mtetea mpuuzi HUYU aliyejiunga na sukumagang inaonekana nae ana ROHO mbaya kama ya yule dhalimu la kiburundI
 
Nyie wakristo mna tabu Sana, Hilo baraza la mawaziri wakristo ni wengi kuliko Waislamu,lkn Wala uwasikii Waislamu kulalama,

Hivi mnataka hii Nchi muongoze peke yenu?! Halafu mlivyo nuksi mkiongoza Nchi mambo kwa wananchi yanakuwa magumu, na matukio ya hovyo yanakuwa mengi,

Acheni chuki zenu za hovyo nyie watu, ndio maana marais wastaafu wengi walio hai ni Waislamu, sababu hawana Roho mbaya, ukiwa na Roho mbaya ni sumu kwa uhai, lingine Basi mumlaumu na Mungu kwanini wastaafu Marais waliotangulia mbele ya Haki ni wa upande mmoja tu (R.i.p)

Udini haufai,Taifa ni letu sote, Rais wa Nchi anateua kwa kuangalia elimu na maadili ya mtu,na sifa za ziada
Kwahiyo wakristo ndiyo hawana elimu? maisha ya mtu anapanga MUNGU na siyo dini
 
Salam!

Naweza kusema Mh. William Lukuvi ni miongoni mwa viongozi wachache walioweza kusifiwa kwa utendaji wao angali wakiwa hai

Jana baada orodha ya mawaziri waliochwa kwenye baraza la mawaziri kutoka nimeona kwenye mitandao ya kijamii na huku mtaani watu wengi wakiumia sana kwanini mh Rais kamuacha lukuvi wakati huyu kiongozi alikuwa ni mchapa kazi mahiri.

Kinachonishangaza kwanini watu wengi wameuzunishwa na kuondolewa kwake. Hakika hapa kuna kitu cha kujifunza kutoka kwa kiongozi huyo

Kwenu viongozi tunapopewa nafasi za kutumikia taifa hili tujitahid kuzitendea haki na tusiwe waimba mapambio tuige mfano wa Mh Lukuvi.

Kila la kheri William Lukuvi katika majukumu yako.
Amesema kanisani zanzibar wasipewe nchi yao kujitawala, waendelee kuikalia kijeshi hili halikubaliki
 
yaani siku moja tuu, vishoka, chawa na ma- panyaka buku wamejazana wizara ya Ardhi sijui kuna nehema gani imeibuka huko ? yaani ndani ya wiki hivi ma file ya viwanja kibao yanaenda potea…...
 
Wananchi wa pato la chini wengi hawapo humu mitandaoni. JPM alivyowatendea haki watu wa pato la chini mbona humu kila kukicha anatukanwa?
mm mmoja wananchi wa pato la chini mm pato langu kwa siku ni katiya elf 7 mpk 10
hvyo ninawaongelea wenzangu na ninajua
ambapo kwa ufanyaji wa kazi wa lukuvi tumeweza kupata hatimiliki ya mashamba yetu ya urithi kwa unafuu bira ukilitimba wa rushwa
hivyo ktuongezea thamani ardhi yetu na kuwa na umiliki wa uhakika

kuhusu magufuri yeye pamoja na ubabe wake wa kukandamiza uhuru wa maoni na kuua upinzani
lakini katika uongozi wake FAIDA kwa mwananchi mmoja zilikuwa nyingi zaidi kuliko hasara hilo lipo wazi hata kwa waliokuwa wanampinga
 
Aliyetengua ndiyo amejaa udini sn
Sina muda wa kubishana, ila ukiwa na nafasi ingia mtandaoni hasa youtube na utafute lip ya aliyetenguliwa uone namna alivyosema juu ya wazanzibari na percentage ya uislamu visiwani kule. Mbali ya kuwa huyu jamaa ni bamkwe wa mzanzibari, anawachukuia wazanzibari kwa kuwa tu ni waislamu. Huo kama sio udini ni nin hasa?
 
Dingi alijitahidi sn sema maza udini unamtafuna sn
Umewahi kuona clip ya maza akiwasema kwa ubaya wakiristo? Clip ya Lukuvi ipo mitandaoni akiwewsema kwa ubaya waisalmu hasa wa visiwani zanzibar. Kila kitu kwa ushahidi, jamaa amesimama mbele ya hadahara na kuwasingizia mabaya waislamu, hiyo kwa mimi ni udini tu!
 
Sina muda wa kubishana, ila ukiwa na nafasi ingia mtandaoni hasa youtube na utafute lip ya aliyetenguliwa uone namna alivyosema juu ya wazanzibari na percentage ya uislamu visiwani kule. Mbali ya kuwa huyu jamaa ni bamkwe wa mzanzibari, anawachukuia wazanzibari kwa kuwa tu ni waislamu. Huo kama sio udini ni nin hasa?
Baraza la mapinduzi kuna mkristo hata mmoja?
 
Back
Top Bottom