Hongera Jux kwa mafanikio haya

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
IMG_20231115_162534.jpg


Hongera sana msanii Juma Mkambala aka Jux kwa kufikisha subscribers million 1.

Kutoka kwenye subscribers laki 4 hadi 1 million ndani ya miezi mitatu ni jambo la kupongezwa. Ni nzuri sana kibiashara.

Sisi wapenda burudani na maendeleo ya vijana tunakupongeza sana na tunafurahi kuona kijana mwenzetu anapiga hatua.
 
Sio kweli.. Diamond ana kitu special.

Wimbo wame sample.. jux hana ujanja huo.

Pili hata ma producer walioutengeneza wimbo wote wawili ni wafanyakazi wa diamond. Na tumewajua kwenye game kwa sababu ya diamond
Kwa maelezo yako haya ni kama Jux ndio ameshirikishwa sababu kila kitu kimeanzia kwa Diamond!!!
 
Back
Top Bottom