Hongera Harmonize kwa hii nyimbo (Matatizo)

duh..hii thread inashuka kiushabiki au masikio yangu...nyimbo mbaya kweli,sii hii si ile ya papa wemba wala ya rich mavoko!kuna kitu hakiko sawa wapie maproducer wao na rythim zao....kuna kitu kinakosekana.Ni ushauri,wakichukulia chuki,sawa kila la kheri!
mpaka sasa hakuna nyimbo mbaya iliyotoka wcb sijui we huw unasikiliza rmx za wasanii waliofanya cover za wcb sijui
 
Kiukweli Diamond ataendelea kukumbukwa kwa kumfikisha Harmonize hapa alipo fika! Kwa hii nyimbo yake mpya inayo itwa Matatizo ni dhahiri kadhamilia katika mziki! Kama kuna mtu anaweza kuiweka hapa aiweke ila ni nyimbo nzuri sana kwa soko letu la bongo! Ni vizuri kuimba vitu tofauti vinavyo mgusa kila mmoja wetu katika maisha yetu!

Naona pia kategua kitebdawili cha nani atakuwa wakwanza kushot video katika daraja la Mwalimu Nyerere

Hongera Harmonize
hongera kwake kazi nzur,I appreciate that song alot
 
Nyimbo ni nzuri sana lajini najiuliza mbona WCB wanamwaga nyimbo nyingi Sana? Haipiti miezi miwili,ngoma mpya inaachiwa. Ile ya Papa Wemba na Platinums sidhani hata kama Ina wiki tatu,wanaachia na hii. Ila anyway,labda management yao inaona mbali.

Link ya wimbo wa matatizo ulioimbwa na Harmonize chini ya Label ya WCB hii hapa.

N papa wemba ft diamond sio diamond ft papa wemba so wcb hawahusiki n lini nyimbo kutoka
 
duh..hii thread inashuka kiushabiki au masikio yangu...nyimbo mbaya kweli,sii hii si ile ya papa wemba wala ya rich mavoko!kuna kitu hakiko sawa wapie maproducer wao na rythim zao....kuna kitu kinakosekana.Ni ushauri,wakichukulia chuki,sawa kila la kheri!
Wapie ndo nn Sasa wimbo wa papa wemba wcb wanahusikaje n producer wakati wimbo umefanyika paris inaonekana unaujua mziki kuliko papa wemba anza kuimba n ww
 
Back
Top Bottom