Hongera Harmonize kwa hii nyimbo (Matatizo)

Tatizo pekee kwenye nyimbo hiyo,sehemu kubwa ameimba bila mshindo!Eti kwenye chorus tu ndio unasikia mshindo wa ngoma!
 
Aiseee,nyimbo ya harmonize matatizo ni bonge la nyimbo hakika kijana anajitahidi sana me kwa hii nampa 100%..Vp wenzangu mnampa % ngapi?
 
Mm sio mdau wa bongofleva ila niliposikia huo wimbo nilijua ni wa diamond.
 
Back
Top Bottom