Homa ikipungua kuna haya ya kufikirisha Ndugu Lissu

Nadhani haumjui vizuri Tundu Lissu, kama kuna kitu anakipenda ni kesi na huwa hazimshindi na hajawai kushindwa. mungu yu pamoja na lissu
There is some truth ,,jamaa akiwa mahakamani unamuona kabisa kama yupo mwenye ukumbi wa sherehe
 
1. Sasa ule umbali haupo tena. Ukitukana au kudhalilisha au kusema uongo umbali kati ya kituo cha polisi na mhusika utakuwa umepungua mno.

2. Sasa ile kinga kuwa polisi wangeendelea na uchunguzi bila mhusika mkuu kuwepo sasa imeondoka. Sasa mtihani uko kwake. Atatakiwa atoe ushirikiano na polisi. La kwanza ni kuisaidia polisi ijue alipo dereva. Pili ni kuisaidia polisi ijue ilikuwaje risasi zipige mguu wa kulia badala ya kushoto.

3. Kesi zinazomkabili ni nyingi hasa ukizingatia tunaelekea kwenye kampeni.

4. Kuna tuhuma atatakiwa azitolee ushahidi. Tuhuma kama Magufuli na Serekali yake wanahusika na yeye kupigwa risasi, Magufuli hawezi kuandika hata sentence moja kwa kiingereza, n.k. Ni muda muafaka kujiandaa na ushahidi.

5. Ndani ya chama chake kuna mgombea mwenye fedha. Leo wachache wanamuita raisi lakini hawa sio "wajumbe"! Ajiandae kupambana na tajiri ilhali yeye alikuwa anaomba michango ya wazamiaji.

6. Ikiwa atanyinwa bendera na akakosa ubunge inampasa ajiandalie namna ya kusukuma gurudumu la maisha. Uwakili asiutegemee sana ajifunze kwa Fatuma.

7. Ajiulize sana je aliokuwa akidhani watamuunga mkono kutokea nje ni kweli walikuwa naye? Kitendo cha yeye kudai wamemuahidi kumsindikiza na akarudi na sanduku kiwe funzo kwake. Hakuna mdharau kwao anayethaminika ugenini. Watacheka na kunywa nawe ila mioyoni mwao umeshuka thamani mno.

8. Ajiulize sana katika hali ya ulemavu atamudu shuruba za kukamatwa, kulala gerezani na kushinda mahakamani?

9. Ajiulize mno bila kigugumizi hivi inawezekana Oktoba JPM aende Chato yeye aende Ikulu? Saa ingine njozi ndefu zina madhara yake. Asilewe walevi kumuita "raisi, raisi"! Mrema aliitwa sana cheo hiki hata kuzidi yeye.

10. Ikiwa chadema watampa bendera Nyalandu itampasa ajihoji je chadema ni nyumba salama kwake au aanze?

11. Kwa yeye kurudi nchini bila kusindikizwa ingawa aliihadaa dunia hayuko salama haoni kuwa dunia leo imemjua uongo wake? Hivi wangemsindikiza halafu wakute vile angewaambia nini? Hivi haoni serekali imecheza na hoja yake kwa uhodari mkubwa? Leo aliyepoteza ni yeye sio Serikali.

12. Ajihoji imekuwaje karudi licha ya serikali kupuuza ombi lake la kuhakikishiwa Ulinzi na usalama wake kana kwamba uhai na usalama wake ni special? Haoni kajifedhehesha kurudi bila kutimiziwa alichoomba?

Nimalizie kwa kumshauri huu sio wakati yeye kuanza siasa uchwara. Watoto waliumia sana baba ulioikatalia Ubeljiji. Ni muda ukae nao.

Itakuwa sio sawa ukaanza kuwa wa kulala Segerea. Jitahidi ulale nyumbani. Ningependa upewe bendera lakini uamuzi ni wa wale wachaga. Ila tafadhali jaribu kuacha kunyoa kiduku. Tanzania sio Korea Kaskazini. Utajikosesha kura kama utapewa bendera.

Kila la heri
Jifunzeni siasa nzuri nyie ccm.
 
Namba 2. Kama risasi zinapigwa kutoka upande wa kushoto na mpigwaji akiwa amelala chali, je ni upande gani utakaopigwa risasi?

MATAGA umefeli pakubwa sana.
Ulikuwepo ndani ya gari ukamwona eti alikuwa kalala chali? Unapata wapi akili ya kugeuka na kulala chali kwenye kiti ulichokalia ndani ya gari wakati tayari hiyo miguu yenyewe ilikwisha vunjwa vunjwa kwa risasi?
 
Duh...!.
P
 
Kama atasoma huu uzi,utamsaidia kujitafakari maana kwa chama alichokuwemo majuto ni mengi kuliko faida...
 
Bado naona unamawazo au fikira hasi kwani angekuwa amekufa uchunguzi ungefanywaje? Vitu vingine kwako njozi lakini kwa imani ya mungu hakuna lisilowezkana kama goliath na daudi
 
Mkuu jambo moja baada ya jingine na kwa hekima yake:

1. Mwenzetu aliyekuwa mfu amefufuka na tumemrejesha nyumbani salama juzi. Ashukuriwe bwana wa majeshi mtawala wa mbingu na nchi.

2. Mwenzetu aliyekuwa rais wetu mstaafu, mpendwa wetu William Benjamin Mkapa ametutoka.

Jana tulikuwa pale Uhuru kumwomboleza na kumuaga inavyostahili. Leo kwa masikitiko atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.

Tutawashukuru watanzania wenzetu wote watakao tuwakilisha Lupaso.

Ninaamini sehemu tuliyofanya sisi JKNIA juzi na Uhuru jana ilikuwa ni wajibu wetu uliotukuka.

Bwana alitoa na bwana ametwaa. Jina lake na lihimidiwe.

Haya mawili ni kipaumbele kwa mtanzania yoyote na hasa aliye Mzalendo.

Mzee wetu hata hajazikwa bado, hatuna priority? Jamani mengine haya sasa, si ni uchuro tu?

Apumzike kwa amani Mzee wetu Mkapa.

Eeh Mungu, ukaiepushe nchi yetu na pepo wabaya, ukatufundishe kutambua kuwa wewe ndiye uliye mkuu na kuwa kwa hakika kwako tutarejea.

Eeh mola wetu upokee dua zetu.
 
Ulikuwepo ndani ya gari ukamwona eti alikuwa kalala chali? Unapata wapi akili ya kugeuka na kulala chali kwenye kiti ulichokalia ndani ya gari wakati tayari hiyo miguu yenyewe ilikwisha vunjwa vunjwa kwa risasi?
Hukupita jeshini, Tundu Lissu alipita jeshini. Hiyo ndio tofauti yake na wewe, mbingu na nchi.
 
You are an idiot, a total moron. How dare you can judge someone you have never known before! You don't know nothing about me, na mimi siyo rika yako wala ya Lisu. Better shut off your stinky mouth.
 
Pole pole wakuu. Tusameheane bure wakuu.

Tumlaze mzee wetu kwanza jamani.
 
Hivi ukisimama mbele ya kioo unaona tashwira gani?
Basi ujue hicho kituko ukionacho mbele yako ni binadamu asiyetumia akili kufikiri mambo ya maana wala kuchambua ukweli bali box tupu
Umempa za uso huyo Matanga wa kijani
 
1. Sasa ule umbali haupo tena. Ukitukana au kudhalilisha au kusema uongo umbali kati ya kituo cha polisi na mhusika utakuwa umepungua mno.

2. Sasa ile kinga kuwa polisi wangeendelea na uchunguzi bila mhusika mkuu kuwepo sasa imeondoka. Sasa mtihani uko kwake. Atatakiwa atoe ushirikiano na polisi. La kwanza ni kuisaidia polisi ijue alipo dereva. Pili ni kuisaidia polisi ijue ilikuwaje risasi zipige mguu wa kulia badala ya kushoto.

3. Kesi zinazomkabili ni nyingi hasa ukizingatia tunaelekea kwenye kampeni.

4. Kuna tuhuma atatakiwa azitolee ushahidi. Tuhuma kama Magufuli na Serekali yake wanahusika na yeye kupigwa risasi, Magufuli hawezi kuandika hata sentence moja kwa kiingereza, n.k. Ni muda muafaka kujiandaa na ushahidi.

5. Ndani ya chama chake kuna mgombea mwenye fedha. Leo wachache wanamuita raisi lakini hawa sio "wajumbe"! Ajiandae kupambana na tajiri ilhali yeye alikuwa anaomba michango ya wazamiaji.

6. Ikiwa atanyinwa bendera na akakosa ubunge inampasa ajiandalie namna ya kusukuma gurudumu la maisha. Uwakili asiutegemee sana ajifunze kwa Fatuma.

7. Ajiulize sana je aliokuwa akidhani watamuunga mkono kutokea nje ni kweli walikuwa naye? Kitendo cha yeye kudai wamemuahidi kumsindikiza na akarudi na sanduku kiwe funzo kwake. Hakuna mdharau kwao anayethaminika ugenini. Watacheka na kunywa nawe ila mioyoni mwao umeshuka thamani mno.

8. Ajiulize sana katika hali ya ulemavu atamudu shuruba za kukamatwa, kulala gerezani na kushinda mahakamani?

9. Ajiulize mno bila kigugumizi hivi inawezekana Oktoba JPM aende Chato yeye aende Ikulu? Saa ingine njozi ndefu zina madhara yake. Asilewe walevi kumuita "raisi, raisi"! Mrema aliitwa sana cheo hiki hata kuzidi yeye.

10. Ikiwa chadema watampa bendera Nyalandu itampasa ajihoji je chadema ni nyumba salama kwake au aanze?

11. Kwa yeye kurudi nchini bila kusindikizwa ingawa aliihadaa dunia hayuko salama haoni kuwa dunia leo imemjua uongo wake? Hivi wangemsindikiza halafu wakute vile angewaambia nini? Hivi haoni serekali imecheza na hoja yake kwa uhodari mkubwa? Leo aliyepoteza ni yeye sio Serikali.

12. Ajihoji imekuwaje karudi licha ya serikali kupuuza ombi lake la kuhakikishiwa Ulinzi na usalama wake kana kwamba uhai na usalama wake ni special? Haoni kajifedhehesha kurudi bila kutimiziwa alichoomba?

Nimalizie kwa kumshauri huu sio wakati yeye kuanza siasa uchwara. Watoto waliumia sana baba ulioikatalia Ubeljiji. Ni muda ukae nao.

Itakuwa sio sawa ukaanza kuwa wa kulala Segerea. Jitahidi ulale nyumbani. Ningependa upewe bendera lakini uamuzi ni wa wale wachaga. Ila tafadhali jaribu kuacha kunyoa kiduku. Tanzania sio Korea Kaskazini. Utajikosesha kura kama utapewa bendera.

Kila la heri
#11 iangalie vizuri.Kuwa broad kidogo.Je IGP hakutoa tamko kuwa takamatwa akirudi ili asaidie upelelezi?Amerudi,akikosa atafunguliwa mashtaka,akipatikana na hatia atahukumiwa.
 
Naona mshaanza kuweweseka, na bado mtatajana mmoja mmoja!! Nguvu ya Mungu ni ya ajabu mno, wengine washaanza kulia hadharani na wengine madaraka yamepotea ki-miujiza - wengine wametangulizwa mbele ya haki kupisha uchunguzi wa ki-Mungu.
 
Naomba nijizuie nisiseme Neno

🎶🎵🥁..........Nyerere sema, sema usiogope, sema. Sisi vijana...🎤🎧
Elli Mshana nimekumbuka kale ka wimbo tulikuaga tunaimba primary enzi zile za mwinyi na Mkapa

Hakuna mtu anaweza mzuia mtu mwingine kurudi kwao, hakuna mtu anaweza mzuia mwingine kapokelewa na watu wake, hakuna mtu anaweza mzuia mwingine kupata haki yake ya kuchagua au kuchaguliwa iwapo mtu huyo hajavunja sheria ya nchi
October 28 sio mbali
 
That’s playing dumb. State hostility to Lissu is very vivid: “huwezi kuwa msaliti halafu ukaendelea kusurvive tu - wewe ni nani”. Amerudi kwa ujasiri wa kujua serikali imemuelewa. Na amejibiwa kwa vitendo. Kabla Polisi walibweka vitisho kadhaa kwa watakaokusanyika kumpokea Lissu airport. Kuhakikishiwa ulinzi ni pamoja na kuondolewa tishio; si kupewa bodyguards.

Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia polisi wakijiweka kando kuachia misafara na makundi ya wafuasi wa CHADEMA yajinasibu na kutawala eneo la airport na barabara zake katika mapokezi ya Lissu. Hakukuwa na kipigo cha mbwa koko, kuvunjwa miguu wala kuchakaa. Hii haitokei Tanzania tunayoijua. Ndio maana nasema tuvute subira tuone yajayo.
Nimekuelewa sanaa mkuu
 
Back
Top Bottom