Homa ikipungua kuna haya ya kufikirisha Ndugu Lissu

Wajinga mnatiana moyo! Jana hamkuona ulinzi wa polisi, hamjui kama kukaa kimya nalo linaweza kuwa jibu la kukubali? Hovyo kabisa!
Unachotetea ni kitu cha kijinga na huenda wewe ndo mjinga

Kelele zoote za yeye ni Hadi ahakikishiwe ulinzi Pindi ajapi, Leo ziko wapi, Je amepewa sasa ulinzi au yupo tu na maisha yanaendelea

Je sasa hayuko salama licha ya kutopewa ulinzi na serikali?
Sasa mataifa ambayo alikuwa akiwaaminisha kwamba maisha yake bila kulindwa yako hstarini, wataamini maneno yake?
 
Thus walimshindwa mahakamani wakatumia njia nyingine kummaliza Mungu akamnusuru. Hoja zote za kesi zake zinapanguka. Lisu mahakamani ni sawa na samaki kwenye maji,mtu mwenye haki aogopi polisi au mahakamani kule ni sehemu salama.

Kwann dereva na wasianze na Askari waliokuwa getini waliowafungulia magaidi geti, kwann wasianze na majirani walioshuhudia tukio.

Nani anayo nguvu ya kuondoa ccctv kwenye nyumba za serikali.

Kulemaa miguu sio kulemaa akili.

Msikose visingizio vya kufanya uchunguzi amesharudi muhusika.

Atapitishwa na chama chake Nyalandu ilikuwa na Kama Lisu asingerudi, pesa ni lumumba na sio huku. Akipita atapigiwa kura hata akiwa ndani, from Prison to state house.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Unachotetea ni kitu cha kijinga na huenda wewe ndo mjinga

Kelele zoote za yeye ni Hadi ahakikishiwe ulinzi Pindi ajapi, Leo ziko wapi, Je amepewa sasa ulinzi au yupo tu na maisha yanaendelea

Je sasa hayuko salama licha ya kutopewa ulinzi na serikali?
Sasa mataifa ambayo alikuwa akiwaaminisha kwamba maisha yake bila kulindwa yako hstarini, wataamini maneno yake?
Kulindwa kupo kwa aina nyingi sio lzm Hadi uwaone walinzi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Unachotetea ni kitu cha kijinga na huenda wewe ndo mjinga

Kelele zoote za yeye ni Hadi ahakikishiwe ulinzi Pindi ajapi, Leo ziko wapi, Je amepewa sasa ulinzi au yupo tu na maisha yanaendelea

Je sasa hayuko salama licha ya kutopewa ulinzi na serikali?
Sasa mataifa ambayo alikuwa akiwaaminisha kwamba maisha yake bila kulindwa yako hstarini, wataamini maneno yake?

Elewa Lissu alipodai “kuhakikishiwa ulinzi” maana yake halisi ilikuwa ni serikali na vyombo vyake vya dola kuondoa tishio la kumuangamiza baada ya kushindwa kummaliza kwa risasi mara ya kwanza. Dola ikihakikisha haitamuwinda tena basi usalama wake utakuwa shwari kabisa. Hahitaji bodyguards. Hivyo ndivyo yeye na wadhamini wake wanavyoamini.

Jana ilikuwa mwanzo mwema. Yeye na mashabiki wake hawakuguswa na polisi wala na watu wasiojulikana. Kila kitu kilienda vyema. Inadaiwa Hakuna nzi wala unyasi uliodhurika! Hatujui ya mbeleni. Let’s keep watching.
 
Namba 2. Kama risasi zinapigwa kutoka upande wa kushoto na mpigwaji akiwa amelala chali, je ni upande gani utakaopigwa risasi?

MATAGA umefeli pakubwa sana.
 
Unachotetea ni kitu cha kijinga na huenda wewe ndo mjinga

Kelele zoote za yeye ni Hadi ahakikishiwe ulinzi Pindi ajapi, Leo ziko wapi, Je amepewa sasa ulinzi au yupo tu na maisha yanaendelea

Je sasa hayuko salama licha ya kutopewa ulinzi na serikali?
Sasa mataifa ambayo alikuwa akiwaaminisha kwamba maisha yake bila kulindwa yako hstarini, wataamini maneno yake?
Pumba tupu, hayo mataifa yanasubiri aguswe, yanuke
 
Elewa Lissu alipodai “kuhakikishiwa ulinzi” maana yake halisi ilikuwa ni serikali na vyombo vyake vya dola kuondoa tishio la kumuangamiza baada ya kushindwa kummaliza kwa risasi mara ya kwanza. Dola ikihakikisha haitamuwinda tena basi usalama wake utakuwa shwari kabisa. Hahitaji bodyguards. Hivyo ndivyo yeye na wadhamini wake wanavyoamini.

Jana ilikuwa mwanzo mwema. Yeye na mashabiki wake hawakuguswa na polisi wala na watu wasiojulikana. Kila kitu kilienda vyema. Inadaiwa Hakuna nzi wala unyasi uliodhurika! Hatujui ya mbeleni. Let’s keep watching.
Mkuu, Bado unazunguka tu, Maelezo yake alisema, M/kiti wake aliliandikia Jeshi la police kupitia IGP kuwa, Limhakikishie ulinzi m/kiti mwenza anapojiandaa kurudi home, lkn mpaka anaanza Safari kuja nchini hakuna barua iliyojibiwa na Jeshi la police

Sasa huoni kwamba kile alichokuwa akidai eti kwamba akirudi hatokuwa salama ilikuwa ni uwongo wa kutunga?? Mbona amefika na anaendelea vema tu?
 
Pumba tupu, hayo mataifa yanasubiri aguswe, yanuke
Huoni kwamba wewe ndio unachonganisha!
Unaombea aguswe ili iweje, na nataka nikwambie tukio lililompata mh, halipaswi lijirudie Kwa yeyote ni la kulaani na halifai

Lkn pia, huwezi kurahisisha ki hivyo Kwa mwenzako eti unatamani apigwe tena ili wewe Furaha yako ni kuona mataifa yakiingilia tukio ambalo Eidha laweza kumpotezea uhai, utakachofurahia wewe ni kipi mpumbavu wewe!!

Mijitu mwingine ni mijinga na mipumbavu haswaa

Eti aguswe! Na ukumbuke pia Bado mwenzetu amepata ulemavu wa maisha hujisikii huruma mjinga wewe, unaombea tena aguswe!

Hivi unajua hata akiguswa unaeza ukajikuta wewe ndio unaumia zaidi kuliko aliyemgusa

Jinga kabisa wewe!!

Mungu ibariki Tanzania
 
1. Sasa ule umbali haupo tena. Ukitukana au kudhalilisha au kusema uongo umbali kati ya kituo cha polisi na mhusika utakuwa umepungua mno.

2. Sasa ile kinga kuwa polisi wangeendelea na uchunguzi bila mhusika mkuu kuwepo sasa imeondoka. Sasa mtihani uko kwake. Atatakiwa atoe ushirikiano na polisi. La kwanza ni kuisaidia polisi ijue alipo dereva. Pili ni kuisaidia polisi ijue ilikuwaje risasi zipige mguu wa kulia badala ya kushoto.

3. Kesi zinazomkabili ni nyingi hasa ukizingatia tunaelekea kwenye kampeni.

4. Kuna tuhuma atatakiwa azitolee ushahidi. Tuhuma kama Magufuli na Serekali yake wanahusika na yeye kupigwa risasi, Magufuli hawezi kuandika hata sentence moja kwa kiingereza, n.k. Ni muda muafaka kujiandaa na ushahidi.

5. Ndani ya chama chake kuna mgombea mwenye fedha. Leo wachache wanamuita raisi lakini hawa sio "wajumbe"! Ajiandae kupambana na tajiri ilhali yeye alikuwa anaomba michango ya wazamiaji.

6. Ikiwa atanyinwa bendera na akakosa ubunge inampasa ajiandalie namna ya kusukuma gurudumu la maisha. Uwakili asiutegemee sana ajifunze kwa Fatuma.

7. Ajiulize sana je aliokuwa akidhani watamuunga mkono kutokea nje ni kweli walikuwa naye? Kitendo cha yeye kudai wamemuahidi kumsindikiza na akarudi na sanduku kiwe funzo kwake. Hakuna mdharau kwao anayethaminika ugenini. Watacheka na kunywa nawe ila mioyoni mwao umeshuka thamani mno.

8. Ajiulize sana katika hali ya ulemavu atamudu shuruba za kukamatwa, kulala gerezani na kushinda mahakamani?

9. Ajiulize mno bila kigugumizi hivi inawezekana Oktoba JPM aende Chato yeye aende Ikulu? Saa ingine njozi ndefu zina madhara yake. Asilewe walevi kumuita "raisi, raisi"! Mrema aliitwa sana cheo hiki hata kuzidi yeye.

10. Ikiwa chadema watampa bendera Nyalandu itampasa ajihoji je chadema ni nyumba salama kwake au aanze?

11. Kwa yeye kurudi nchini bila kusindikizwa ingawa aliihadaa dunia hayuko salama haoni kuwa dunia leo imemjua uongo wake? Hivi wangemsindikiza halafu wakute vile angewaambia nini? Hivi haoni serekali imecheza na hoja yake kwa uhodari mkubwa? Leo aliyepoteza ni yeye sio Serikali.

12. Ajihoji imekuwaje karudi licha ya serikali kupuuza ombi lake la kuhakikishiwa Ulinzi na usalama wake kana kwamba uhai na usalama wake ni special? Haoni kajifedhehesha kurudi bila kutimiziwa alichoomba?

Nimalizie kwa kumshauri huu sio wakati yeye kuanza siasa uchwara. Watoto waliumia sana baba ulioikatalia Ubeljiji. Ni muda ukae nao.

Itakuwa sio sawa ukaanza kuwa wa kulala Segerea. Jitahidi ulale nyumbani. Ningependa upewe bendera lakini uamuzi ni wa wale wachaga. Ila tafadhali jaribu kuacha kunyoa kiduku. Tanzania sio Korea Kaskazini. Utajikosesha kura kama utapewa bendera.

Kila la heri
Bahati mbaya kwako na utabiri wako mfu ni kuwa huyo unayempigia ramli ndo Raisi wako wa nchi kuanzia October 2020. Jiandaeni kuwa wapinzani rasmi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huoni kwamba wewe ndio unachonganisha!
Unaombea aguswe ili iweje, na nataka nikwambie tukio lililompata mh, halipaswi lijirudie Kwa yeyote ni la kulaani na halifai

Lkn pia, huwezi kurahisisha ki hivyo Kwa mwenzako eti unatamani apigwe tena ili wewe Furaha yako ni kuona mataifa yakiingilia tukio ambalo Eidha laweza kumpotezea uhai, utakachofurahia wewe ni kipi mpumbavu wewe!!

Mijitu mwingine ni mijinga na mipumbavu haswaa

Eti aguswe! Na ukumbuke pia Bado mwenzetu amepata ulemavu wa maisha hujisikii huruma mjinga wewe, unaombea tena aguswe!

Hivi unajua hata akiguswa unaeza ukajikuta wewe ndio unaumia zaidi kuliko aliyemgusa

Jinga kabisa wewe!!

Mungu ibariki Tanzania
Simple, no one is allowed to touch him now, order from above, like it hate it, FAT monkey!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
1. Sasa ule umbali haupo tena. Ukitukana au kudhalilisha au kusema uongo umbali kati ya kituo cha polisi na mhusika utakuwa umepungua mno.

2. Sasa ile kinga kuwa polisi wangeendelea na uchunguzi bila mhusika mkuu kuwepo sasa imeondoka. Sasa mtihani uko kwake. Atatakiwa atoe ushirikiano na polisi. La kwanza ni kuisaidia polisi ijue alipo dereva. Pili ni kuisaidia polisi ijue ilikuwaje risasi zipige mguu wa kulia badala ya kushoto.

3. Kesi zinazomkabili ni nyingi hasa ukizingatia tunaelekea kwenye kampeni.

4. Kuna tuhuma atatakiwa azitolee ushahidi. Tuhuma kama Magufuli na Serekali yake wanahusika na yeye kupigwa risasi, Magufuli hawezi kuandika hata sentence moja kwa kiingereza, n.k. Ni muda muafaka kujiandaa na ushahidi.

5. Ndani ya chama chake kuna mgombea mwenye fedha. Leo wachache wanamuita raisi lakini hawa sio "wajumbe"! Ajiandae kupambana na tajiri ilhali yeye alikuwa anaomba michango ya wazamiaji.

6. Ikiwa atanyinwa bendera na akakosa ubunge inampasa ajiandalie namna ya kusukuma gurudumu la maisha. Uwakili asiutegemee sana ajifunze kwa Fatuma.

7. Ajiulize sana je aliokuwa akidhani watamuunga mkono kutokea nje ni kweli walikuwa naye? Kitendo cha yeye kudai wamemuahidi kumsindikiza na akarudi na sanduku kiwe funzo kwake. Hakuna mdharau kwao anayethaminika ugenini. Watacheka na kunywa nawe ila mioyoni mwao umeshuka thamani mno.

8. Ajiulize sana katika hali ya ulemavu atamudu shuruba za kukamatwa, kulala gerezani na kushinda mahakamani?

9. Ajiulize mno bila kigugumizi hivi inawezekana Oktoba JPM aende Chato yeye aende Ikulu? Saa ingine njozi ndefu zina madhara yake. Asilewe walevi kumuita "raisi, raisi"! Mrema aliitwa sana cheo hiki hata kuzidi yeye.

10. Ikiwa chadema watampa bendera Nyalandu itampasa ajihoji je chadema ni nyumba salama kwake au aanze?

11. Kwa yeye kurudi nchini bila kusindikizwa ingawa aliihadaa dunia hayuko salama haoni kuwa dunia leo imemjua uongo wake? Hivi wangemsindikiza halafu wakute vile angewaambia nini? Hivi haoni serekali imecheza na hoja yake kwa uhodari mkubwa? Leo aliyepoteza ni yeye sio Serikali.

12. Ajihoji imekuwaje karudi licha ya serikali kupuuza ombi lake la kuhakikishiwa Ulinzi na usalama wake kana kwamba uhai na usalama wake ni special? Haoni kajifedhehesha kurudi bila kutimiziwa alichoomba?

Nimalizie kwa kumshauri huu sio wakati yeye kuanza siasa uchwara. Watoto waliumia sana baba ulioikatalia Ubeljiji. Ni muda ukae nao.

Itakuwa sio sawa ukaanza kuwa wa kulala Segerea. Jitahidi ulale nyumbani. Ningependa upewe bendera lakini uamuzi ni wa wale wachaga. Ila tafadhali jaribu kuacha kunyoa kiduku. Tanzania sio Korea Kaskazini. Utajikosesha kura kama utapewa bendera.

Kila la heri
Naomba nijizuie nisiseme Neno
 
Usimfundishe Lissu uoga,nakueleza Lissu hakuzaliwa na uoga wa kike kama wako mleta mada,yeye ni mtu mzima na ni msomi anajua anachokifanya.
Wewe shauri mumeo na familia yako.
Lissu ana washauri toka kwenye familia yake ambao wana uchungu naye,wewe ni nani?
 
Why should i? Silly bugger!
Mkuu, najuta aisee, nimekukosea Sana tena Sana, nimejikuta naumia moyo Kwa nini nimeandika ujinga kiasi hicho?

naomba unisamehe mkuu ili niwe na Amani asee

samahani Sana sirudii tena ujinga huo nitaheshimu maoni yako
 
Mkuu, Bado unazunguka tu, Maelezo yake alisema, M/kiti wake aliliandikia Jeshi la police kupitia IGP kuwa, Limhakikishie ulinzi m/kiti mwenza anapojiandaa kurudi home, lkn mpaka anaanza Safari kuja nchini hakuna barua iliyojibiwa na Jeshi la police

Sasa huoni kwamba kile alichokuwa akidai eti kwamba akirudi hatokuwa salama ilikuwa ni uwongo wa kutunga?? Mbona amefika na anaendelea vema tu?

That’s playing dumb. State hostility to Lissu is very vivid: “huwezi kuwa msaliti halafu ukaendelea kusurvive tu - wewe ni nani”. Amerudi kwa ujasiri wa kujua serikali imemuelewa. Na amejibiwa kwa vitendo. Kabla Polisi walibweka vitisho kadhaa kwa watakaokusanyika kumpokea Lissu airport. Kuhakikishiwa ulinzi ni pamoja na kuondolewa tishio; si kupewa bodyguards.

Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia polisi wakijiweka kando kuachia misafara na makundi ya wafuasi wa CHADEMA yajinasibu na kutawala eneo la airport na barabara zake katika mapokezi ya Lissu. Hakukuwa na kipigo cha mbwa koko, kuvunjwa miguu wala kuchakaa. Hii haitokei Tanzania tunayoijua. Ndio maana nasema tuvute subira tuone yajayo.
 
Back
Top Bottom