Homa ikipungua kuna haya ya kufikirisha Ndugu Lissu

Thats the difference young lad, you have never been anywhere near an army compound, Tundu Lissu has.

Very possible to have bullet wounds on your right leg while the firing came from left side... and dont be angry with me, its your fault not to be born ages ago.
 
Nadhani haumjui vizuri Tundu Lissu, kama kuna kitu anakipenda ni kesi na huwa hazimshindi na hajawai kushindwa. mungu yu pamoja na lissu
Umenikumbusha kitu...
Walishindwa kesi.... ikafuata pyuu... pyuu... pyuuu...
 
Mbwa hata awe mkali vipi hawezi kuung'ata mkia wake
Kwa kuongezea post ya mleta uzi, pia polisi wamwulize yafuatayo:-
1. Kwa kuwa bunge halikumpatia matibabu, nani aligharamia matibabu ambayo gharama yake ni makubwa sana?
2. Nani alikuwa anamgharimia pesa ya kujikimu huko Ubelgiji?
3. IIikuwakuwaje hakufa wakati alitakiwa kufa?
 
You are an idiot, a total moron. How dare you can judge someone you have never known before! You don't know nothing about me, na mimi siyo rika yako wala ya Lisu. Better shut off your stinky mouth.
You have never been anywhere near an army compound young lad, Tundu Lissu spent time in the army.

He was able to escape death becauce his hands were taught how to fight the war.

You have absolutely no idea how the firing can come from your left and bullet wounds appear on the right.

To understand how this happens i suggest you take some combat lessons.
 
Kwa kuongezea post ya mleta uzi, pia polisi wamwulize yafuatayo:-
1. Kwa kuwa bunge halikumpatia matibabu, nani aligharamia matibabu ambayo gharama yake ni makubwa sana?
2. Nani alikuwa anamgharimia pesa ya kujikimu huko Ubelgiji?
3. IIikuwakuwaje hakufa wakati alitakiwa kufa?
1.Imekuweje karudi wakati walisema hawezi kurudi
2.Kwanini watu wasiojulikana huwa wanendelea kuto julikana ina maana wameshindika?
 
1. Sasa ule umbali haupo tena. Ukitukana au kudhalilisha au kusema uongo umbali kati ya kituo cha polisi na mhusika utakuwa umepungua mno.

2. Sasa ile kinga kuwa polisi wangeendelea na uchunguzi bila mhusika mkuu kuwepo sasa imeondoka. Sasa mtihani uko kwake. Atatakiwa atoe ushirikiano na polisi. La kwanza ni kuisaidia polisi ijue alipo dereva. Pili ni kuisaidia polisi ijue ilikuwaje risasi zipige mguu wa kulia badala ya kushoto.

3. Kesi zinazomkabili ni nyingi hasa ukizingatia tunaelekea kwenye kampeni.

4. Kuna tuhuma atatakiwa azitolee ushahidi. Tuhuma kama Magufuli na Serekali yake wanahusika na yeye kupigwa risasi, Magufuli hawezi kuandika hata sentence moja kwa kiingereza, n.k. Ni muda muafaka kujiandaa na ushahidi.

5. Ndani ya chama chake kuna mgombea mwenye fedha. Leo wachache wanamuita raisi lakini hawa sio "wajumbe"! Ajiandae kupambana na tajiri ilhali yeye alikuwa anaomba michango ya wazamiaji.

6. Ikiwa atanyinwa bendera na akakosa ubunge inampasa ajiandalie namna ya kusukuma gurudumu la maisha. Uwakili asiutegemee sana ajifunze kwa Fatuma.

7. Ajiulize sana je aliokuwa akidhani watamuunga mkono kutokea nje ni kweli walikuwa naye? Kitendo cha yeye kudai wamemuahidi kumsindikiza na akarudi na sanduku kiwe funzo kwake. Hakuna mdharau kwao anayethaminika ugenini. Watacheka na kunywa nawe ila mioyoni mwao umeshuka thamani mno.

8. Ajiulize sana katika hali ya ulemavu atamudu shuruba za kukamatwa, kulala gerezani na kushinda mahakamani?

9. Ajiulize mno bila kigugumizi hivi inawezekana Oktoba JPM aende Chato yeye aende Ikulu? Saa ingine njozi ndefu zina madhara yake. Asilewe walevi kumuita "raisi, raisi"! Mrema aliitwa sana cheo hiki hata kuzidi yeye.

10. Ikiwa chadema watampa bendera Nyalandu itampasa ajihoji je chadema ni nyumba salama kwake au aanze?

11. Kwa yeye kurudi nchini bila kusindikizwa ingawa aliihadaa dunia hayuko salama haoni kuwa dunia leo imemjua uongo wake? Hivi wangemsindikiza halafu wakute vile angewaambia nini? Hivi haoni serekali imecheza na hoja yake kwa uhodari mkubwa? Leo aliyepoteza ni yeye sio Serikali.

12. Ajihoji imekuwaje karudi licha ya serikali kupuuza ombi lake la kuhakikishiwa Ulinzi na usalama wake kana kwamba uhai na usalama wake ni special? Haoni kajifedhehesha kurudi bila kutimiziwa alichoomba?

Nimalizie kwa kumshauri huu sio wakati yeye kuanza siasa uchwara. Watoto waliumia sana baba ulioikatalia Ubeljiji. Ni muda ukae nao.

Itakuwa sio sawa ukaanza kuwa wa kulala Segerea. Jitahidi ulale nyumbani. Ningependa upewe bendera lakini uamuzi ni wa wale wachaga. Ila tafadhali jaribu kuacha kunyoa kiduku. Tanzania sio Korea Kaskazini. Utajikosesha kura kama utapewa bendera.

Kila la heri
Swadakta. Ulemavu alionao sasa ni moja ya kizingiti (ambacho si cha Kikatiba na hakisemwi) cha kuelekea kwenye urais. Ulemavu huo angeupata akiwa tayari ni rais, usingeleta shida. But at this stage, hicho ni kizingiti kirefu kwa sababu Tanzania haijafikiria kuwa na rais mlemavu!
 
Nadhani haumjui vizuri Tundu Lissu, kama kuna kitu anakipenda ni kesi na huwa hazimshindi na hajawai kushindwa. mungu yu pamoja na lissu
Mungu yuko pamoja na kila kiumbe chake alichokiumba, hayuko na Lisu peke yake
 
Jalada la Lissu kupigwa risasi lilishafungwa zamani,au pengine mnataka kumpiga risasi tena ili mfungue jalada lingine? .
 
Back
Top Bottom